jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,342
Unatuwekea site za magaidi sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatuwekea site za magaidi sasa
mitandao yao c mnasema wanapika data sasa mkiletewa ya ambao wanachemsha data nayo pia hamuitaki mnatakaje ss ?!Unatuwekea site za magaidi sasa
Mkuu kamanda qaseem anafufuka lini?mitandao yao c mnasema wanapika data sasa mkiletewa ya ambao wanachemsha data nayo pia hamuitaki mnatakaje ss ?!
Sent using My COVID-19
Wakitupa idadi kamili ya wanajeshi wao walo uwawa pale kambini basi jamaa atafufuka.Mkuu kamanda qaseem anafufuka lini?
Drone ni noma!!
Mwanafunzi mvivu ndo anaamini kufeli Kwame ni kwa sababu hakupewa taarifa na mwanafunzi aliyepita kuwa mtihani ni mgumu ili ajiandae kwa ugumu wakeWamarekani wakitaka kufanya yao haijalishi ni wanachama au siyo wanachama.
WHO imetumika. sana kusambaza huu ugonjwa duniani kutokana na kuwa kibaraka wa Beijing
1. WHO ilipinga vikali mataifa kufunga mipaka yao dhidi ya wachina, leo tunajua kuwa wakati majimbo mengine ya China yakiwazuia watu kutoka Hubei kuingia, lakini China haikufanya lolote kuzuia raia wake hata waliotoka Hubei kupanda ndege kwenda kwenye mataifa mengine na kusambaza kirusi
2. WHO walichukua taarifa za China kuwa kirusi siyo man to man trsnsmitted, kitendo kilichofanya mataifa yaamini taarifa hizo na kuacha kuchukua hatua za kuyaandaa mataifa yao
3. WHO ilijivutavuta kutangaza hili janga ni Pandemic, kitendo ambacho kilimislead mataifa kuelevate status zao za kujilinda dhidi ya huyu kirusi
4. WHO ilikuwa ikiamini taarifa za wachina bila kuzichallenge, au kutuma wataalamu wake wafanye kazi bega kwa bega na wachina ili kureport kwa usahihi situation huko China, na badala yake WHO ilikuwa ikiparrot taarifa za China kama kasuku
5. Wachina wamepika data nyingi, wamedanganya sana kuhusu idadi ya visa vya maambukizi na vifo lakini WHO haijaonyesha kuchallenge uwongo huu wa beijing
Mrusi kashughulishwa na kirusi😂😂😂
Muumba awalinde asee ila kiukweli wanapukutika mnooo[emoji22][emoji22]Wakati mnaendeleza mjadala wenu, zinatieni kuwa Trump jana kapoteza raia 2482
View attachment 1420491