Corticopontine
JF-Expert Member
- Sep 20, 2019
- 666
- 1,277
The blame game continues. Other countries responded quickly & aggressively to combat the spread of #COVIDー19. You failed to do the same; this is the RESULT. The world had the SAME info from W.H.O./China. YOU WERE WARNED by your WHO aides/intel!Kwa mnaofuatilia siasa za Marekani huwa hayuko tayari. Kukubali kushindwa anapopata aibu hutafuta wa kumsingizia ili yy aendelee kuilinda heshima take kwa propaganda
Mmarekani amesema atafikia kilele cha maambukizi wiki hii huku akijua wazi mdudu huyu haonekani na hatabiriki kwa hiyo mmarekanii ni mwoga sn anataka kuweka Mpira kwapani anataka kuficha aibu ya kwamba ameshindwa
Wakat UCHINA Anaruhusu RAIA Wake Wasafiri Kwenda Mataifa Mengine Hayo Mataifa Mengine Yangewazuia WACHINA Wasiingie Mataifani Mwao Wangepitia Wapi Ama Wangeingia Kwanjia Gani ?!Wamarekani walitala kufanya yao haijalishi ni wanachama au siyo wanachama.
WHO imetumika. sana kusambaza huu ugonjwa duniani kutokana na kuwa kibaraka wa Beijing
1. WHO ilipinga vikali mataifa kufunga mipaka yao dhidi ya wachina, leo tunajua kuwa wakati majimbo mengine ya China yakiwazuia watu kutoka Hubei kuingia, lakini China haikufanya lolote kuzuia raia wake hata waliotoka Hubei kupanda ndege kwenda kwenye mataifa mengine na kusambaza kirusi
2. WHO walichukua taarifa za China kuwa kirusi siyo man to man trsnsmitted, kitendo kilichofanya mataifa yaamini taarifa hizo na kuacha kuchukua hatua za kuyaandaa mataifa yao
3. WHO ilijivutavuta kutangaza hili janga ni Pandemic, kitendo ambacho kilimislead mataifa kuelevate status zao za kujilinda dhidi ya huyu kirusi
4. WHO ilikuwa ikiamini taarifa za wachina bila kuzichallenge, au kutuma wataalamu wake wafanye kazi bega kwa bega na wachina ili kureport kwa usahihi situation huko China, na badala yake WHO ilikuwa ikiparrot taarifa za China kama kasuku
5. Wachina wamepika data nyingi, wamedanganya sana kuhusu idadi ya visa vya maambukizi na vifo lakini WHO haijaonyesha kuchallenge uwongo huu wa beijing
Mnajiua wenyewe halaf mnatafta pakujifichia poleni sanaaa.China culture is killing us.
Popo wa wuhanMnajiua wenyewe halaf mnatafta pakujifichia poleni sanaaa.
Sent using My COVID-19
Yaani US Wanaotoa Mchango cjui msaada kwa WHO Wameshindwa Kuwafanya WHO Kuwa vibaraka wao ila CHINA Anaetoa Sent Kadhaa Ndio Awafanye WHO Vibaraka Akilini Hai ingii (PROPAGANDA)Wakat UCHINA Anaruhusu RAIA Wake Wasafiri Kwenda Mataifa Mengine Hayo Mataifa Mengine Yangewazuia WACHINA Wasiingie Mataifani Mwao Wangepitia Wapi Ama Wangeingia Kwanjia Gani ?!
US Akishamaliza Propaganda Zake Anatakiwa Akalale Hakuna Anaejali Propaganda Zake Watu Washa Anza Kumzoea Nakumchoka.
Sent using My COVID-19
Popo wame anza kula jana naleo ?!Popo wa wuhan
Kwa mnaofuatilia siasa za Marekani huwa hayuko tayari. Kukubali kushindwa anapopata aibu hutafuta wa kumsingizia ili yy aendelee kuilinda heshima take kwa propaganda
Mmarekani amesema atafikia kilele cha maambukizi wiki hii huku akijua wazi mdudu huyu haonekani na hatabiriki kwa hiyo mmarekanii ni mwoga sn anataka kuweka Mpira kwapani anataka kuficha aibu ya kwamba ameshindwa
Kila global initiative USA ndio wachangiaji wakuuChina iingize pesa hapo awe super power tushawachoka hao waropokaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Walianza lini mkuu?Popo wame anza kula jana naleo ?!
Sent using My COVID-19
Yaani US Wanaotoa Mchango cjui msaada kwa WHO Wameshindwa Kuwafanya WHO Kuwa vibaraka wao ila CHINA Anaetoa Sent Kadhaa Ndio Awafanye WHO Vibaraka Akilini Hai ingii (PROPAGANDA)Wakat UCHINA Anaruhusu RAIA Wake Wasafiri Kwenda Mataifa Mengine Hayo Mataifa Mengine Yangewazuia WACHINA Wasiingie Mataifani Mwao Wangepitia Wapi Ama Wangeingia Kwanjia Gani ?!
US Akishamaliza Propaganda Zake Anatakiwa Akalale Hakuna Anaejali Propaganda Zake Watu Washa Anza Kumzoea Nakumchoka.
Sent using My COVID-19
Linapokuja suala la usalama wako achana namaneno maneno ya kangaUmesahau baadhi ya mataifa kama Marekani yaliyofunga mipaka mapema dhidi ya China, WHO iliita kitendo hicho ni racism huku China ikiita kuwa ni overreation?
Jibu la hii kitu litakua la kibaiolojia.Kifo kitamuumbua tu na biashara kufungwa yeye c kajiandaa vizur na kujiita super power ndo atumie nyuklia Sasa kuua virusi
Sent using Jamii Forums mobile app
www.google.comWalianza lini mkuu?
Weka hapa itafaa kwa ushahidi
Kabsa aseeee.
Sio lapopo tena kutoka WUHAN ?!Jibu la hii kitu litakua la kibaiolojia.
Kutokea wapi mii sijui!