Marekani inataka kujiondoa kuwa Mwanachama kuficha idadi ya wagonjwa wa Corona na vifo kusitisha mchango wake WHO ni mwanzo wa Safari

Unatuwekea site za magaidi sasa
mitandao yao c mnasema wanapika data sasa mkiletewa ya ambao wanachemsha data nayo pia hamuitaki mnatakaje ss ?!

Sent using My COVID-19
 
mitandao yao c mnasema wanapika data sasa mkiletewa ya ambao wanachemsha data nayo pia hamuitaki mnatakaje ss ?!

Sent using My COVID-19
Mkuu kamanda qaseem anafufuka lini?
Drone ni noma!!
 
Mwanafunzi mvivu ndo anaamini kufeli Kwame ni kwa sababu hakupewa taarifa na mwanafunzi aliyepita kuwa mtihani ni mgumu ili ajiandae kwa ugumu wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati mnaendeleza mjadala wenu, zinatieni kuwa Trump jana kapoteza raia 2482

View attachment 1420491
Muumba awalinde asee ila kiukweli wanapukutika mnooo[emoji22][emoji22]

Kwahili turampet alibidi ajiwajibishe mwenyewe kwa ubishi alouonyeha be4 hakujawa na athari kubwa ila sijajua anakwamia wap asee

Chinese Virus Kwasasa Imekua US Virus

Sent using My COVID-19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…