CBS, CNN na axios ndiyo vyombo vya habari in the strictest sense!?.. hakuna media iliyo huru duniani kote,hata Al Jazeera haiisemi vibaya serikali ya Qatar na viongozi wakeTanzania haina chombo cha habari in the strictest sense of the word!
Tanzania daima vipi?ITV imekua takataka kama TBC, uchawa tu
... MURAA WEITO!Ndoto mbaya sana hii, amka uende chooni utajinyea
... hapo kosa la ITV ni kufikisha taarifa bila kuipindisha?ITV si ni kama gazeti la kifungia vitumbua
Huna mshipa wa aibu? Hizo news media unaweza kuzilinganisha na news media zako zinazoingia mitini mazima?CBS, CNN na axios ndiyo vyombo vya habari in the strictest sense!?.. hakuna media iliyo huru duniani kote,hata Al Jazeera haiisemi vibaya serikali ya Qatar na viongozi wake
Hakuna kitu kama hicho toka USA, ndiyo maana inaitw takataka kuandika uchawa wa Msigwa... hapo kosa la ITV ni kufikisha taarifa bila kuipindisha?
DEMOKRASIA ZA BONGO BWANA!!!
Hizi ni agenda tu za kisiasa,yaliyotukumba uchaguzi uliopita hayawezi kusawazishwa kamwe waliokufa hawawezi kurudishwa na walioua hizi image zitaishi nao daima.Maridhiano ni kufanya uchaguzi upya, na waliotoa oda na walioua wafungwe
Hakuna aliyekulazimisha kuwaza kijima namna hiyo.Nawe ni kiumbe.Sasa tukufanyaje na ndipo ulipoishia kimawazo?Hizi ni agenda tu za kisiasa,yaliyotukumba uchaguzi uliopita hayawezi kusawazishwa kamwe waliokufa hawawezi kurudishwa na walioua hizi image zitaishi nao daima.
Hapa ni kujaribu kusahau nakuganga yajayo!
Kichwa maji kweli wewe,hebu leta hayo mawazo yako modern niyaone.Hakuna aliyekulazimisha kuwaza kijima namna hiyo.Nawe ni kiumbe.Sasa tukufanyaje na ndipo ulipoishia kimawazo?
Kama umekaa kwa kutulia muda mrefu ukaandika huo ujingaujinga wako usioeleweka,mimi nikikuandikia kwa mawazo yangu utaweza hata kutafsiri na kuelewa chochote kweli?Hebu jihurumie basi!Kichwa maji kweli wewe,hebu leta hayo mawazo yako modern niyaone.
Kama huna hoja endelea kuangalia za wenzako ukosoe mshamba mmoja.Kama umekaa kwa kutulia muda mrefu ukaandika huo ujingaujinga wako usioeleweka,mimi nikikuandikia kwa mawazo yangu utaweza hata kutafsiri na kuelewa chochote kweli?Hebu jihurumie basi!
Utoto unakutesa pakashume wewe!Kama huna hoja endelea kuangalia za wenzako ukosoe mshamba mmoja.
Wewe bila shaka mboga mboga sitakujibu tena.
ITV siku hizi ni chombo Cha propaganda haiaminiki tena#HABARI: Bunge la Seneti la Marekani limetaka kuanza kwa mazungumzo ya maridhiano kati ya Serikali inayoongozwa na CCM na vyama vya upinzani, ikiwa ni sehemu ya mapitio ya uhusiano wa Kidiplomasia kati ya Marekani na Tanzania.
Sharti hilo limejumuishwa katika fasili B(4) ya kifungu cha saba cha Muswada wa Mapitio ya Uhusiano wa Uwili kati ya nchi hizo mbili uliowasilishwa Juni 17, 2026.
"Kuanza kwa mazungumzo na viongozi wa vyama vya upinzani kujadili kuhusu maridhiano hasa baada ya matukio ya vurugu wakati wa uchaguzi wa Oktoba 29, 2025,” kimeeleza kifungu hicho.
Hatua hiyo inaonekana kuendana na msimamo wa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye awali alieleza utayari wa kuanzisha mchakato wa maridhiano ya kitaifa na kutangaza mpango wa kuunda Tume ya Maridhiano kwa lengo la kuimarisha umoja na mshikamano wa Watanzania.
Hatua hii ya Marekani inaweza kupokewa vibaya na baadhi ya wanaharakati ambao kabla, wakati na baada ya vurugu za Oktoba 29, 2025 wamekuwa wakipinga kufanyika kwa maridhiano ya aina yoyote hapa nchini.
View attachment 3610715
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M - Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
Ghambaa tuighwe nyang'ombe... MURAA WEITO!
View attachment 3610804