Marekani inataka maridhiano baina ya Serikali na vyama vya upinzani

Bunge la Seneti la Marekani limetaka kuanza kwa mazungumzo ya maridhiano kati ya Serikali inayoongozwa na CCM na vyama vya upinzani, ikiwa ni sehemu ya mapitio ya uhusiano wa kidiplomasia kati ya Marekani na Tanzania.

Sharti hilo limejumuishwa katika fasili B(4) ya kifungu cha saba cha Muswada wa Mapitio ya Uhusiano wa Uwili kati ya nchi hizo mbili uliowasilishwa Juni 17, 2026.

“Kuanza kwa mazungumzo na viongozi wa vyama vya upinzani kujadili kuhusu maridhiano hasa baada ya matukio ya vurugu wakati wa uchaguzi wa Oktoba 29, 2025,” kimeeleza kifungu hicho.

Hatua hiyo inaonekana kuendana na msimamo wa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye awali alieleza utayari wa kuanzisha mchakato wa maridhiano ya kitaifa na kutangaza mpango wa kuunda Tume ya Maridhiano kwa lengo la kuimarisha umoja na mshikamano wa Watanzania.

Hatua hii ya Marekani inaweza kupokewa vibaya na baadhi ya wanaharakati ambao kabla, wakati na baada ya vurugu za Oktoba 29, 2025 wamekuwa wakipinga kufanyika kwa maridhiano ya aina yoyote hapa nchini.

WhatsApp Image 2026-06-18 at 19.48.29.jpeg
 
Huna mshipa wa aibu? Hizo news media unaweza kuzilinganisha na news media zako zinazoingia mitini mazima?
Ahahaha pole sana,ongezea na fox news ambayo democrats wanasema pro Trump, hakuna media zisizo biased,mmedanganywa na wazungu muda mrefu sana,vita vya Gaza Vimeonesha media za magharibi ni kitu gani,upuuzi mtupu
 
View attachment 3611024

Bunge la Seneti la Marekani limetaka kuanza kwa mazungumzo ya maridhiano kati ya Serikali inayoongozwa na CCM na vyama vya upinzani, ikiwa ni sehemu ya mapitio ya uhusiano wa Kidiplomasia kati ya Marekani na Tanzania.

Sharti hilo limejumuishwa katika fasili B(4) ya kifungu cha saba cha Muswada wa Mapitio ya Uhusiano wa Uwili kati ya nchi hizo mbili uliowasilishwa Juni 17, 2026.

"Kuanza kwa mazungumzo na viongozi wa vyama vya upinzani kujadili kuhusu maridhiano hasa baada ya matukio ya vurugu wakati wa uchaguzi wa Oktoba 29, 2025,” kimeeleza kifungu hicho.

Hatua hiyo inaonekana kuendana na msimamo wa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye awali alieleza utayari wa kuanzisha mchakato wa maridhiano ya kitaifa na kutangaza mpango wa kuunda Tume ya Maridhiano kwa lengo la kuimarisha umoja na mshikamano wa Watanzania.

Hatua hii ya Marekani inaweza kupokewa vibaya na baadhi ya wanaharakati ambao kabla, wakati na baada ya vurugu za Oktoba 29, 2025 wamekuwa wakipinga kufanyika kwa maridhiano ya aina yoyote hapa nchini.
Shida ni hapo kwenye Third Party Mediator. CCM hawawezi kukubali.
 
Ahahaha pole sana,ongezea na fox news ambayo democrats wanasema pro Trump, hakuna media zisizo biased,mmedanganywa na wazungu muda mrefu sana,vita vya Gaza Vimeonesha media za magharibi ni kitu gani,upuuzi mtupu
Being biased is one thing, shirking your responsibilities is quite another! Press inayoingia mitini mazima sio press.
 
You’re arguing for the sake of arguing! American news media huwa zinaingia mitini Marekani inapokuwa on fire (e.g., wakati wa civil unrests kama zile za 2020 na 2021)?
Huamua kutoripoti habari za kukosoa mambo ya serikali,mfano vita Iraq,vita vya Gaza,maandamano ya wamarekani kuchukua serikali Yao vyombo vilikua against raia, Venezuela na Maduro wameripoti tukio tu hawakuchambua ubeberu,9/11 ilipotokea CNN walirusha picha za wapalestina 1994 wakifyatua risasi kushangalia
Vita vya Iran wamarekani wengi waliifollow Al Jazeera
 
Bias is debatable! Mazafakas wa Bongo wao waliingia mitini mazima mwaka jana. Watu kama hao wanawezaje kujiita vyombo vya habari?
 
Bias is debatable! Mazafakas wa Bongo wao waliingia mitini mazima mwaka jana. Watu kama wanawezaje kujiita vyombo vya habari?
Hakuna tofauti ya kuingia mitini na kuwa bias, halafu hao wa bongo ulitaka waripoti vipi yale matukio na nyote mlifungiwa ndani, internet ikazimwa
 
View attachment 3611024

Bunge la Seneti la Marekani limetaka kuanza kwa mazungumzo ya maridhiano kati ya Serikali inayoongozwa na CCM na vyama vya upinzani, ikiwa ni sehemu ya mapitio ya uhusiano wa Kidiplomasia kati ya Marekani na Tanzania.

Sharti hilo limejumuishwa katika fasili B(4) ya kifungu cha saba cha Muswada wa Mapitio ya Uhusiano wa Uwili kati ya nchi hizo mbili uliowasilishwa Juni 17, 2026.

"Kuanza kwa mazungumzo na viongozi wa vyama vya upinzani kujadili kuhusu maridhiano hasa baada ya matukio ya vurugu wakati wa uchaguzi wa Oktoba 29, 2025,” kimeeleza kifungu hicho.

Hatua hiyo inaonekana kuendana na msimamo wa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye awali alieleza utayari wa kuanzisha mchakato wa maridhiano ya kitaifa na kutangaza mpango wa kuunda Tume ya Maridhiano kwa lengo la kuimarisha umoja na mshikamano wa Watanzania.

Hatua hii ya Marekani inaweza kupokewa vibaya na baadhi ya wanaharakati ambao kabla, wakati na baada ya vurugu za Oktoba 29, 2025 wamekuwa wakipinga kufanyika kwa maridhiano ya aina yoyote hapa nchini.
Mtu unapata ushindi wa 98% halafu bado unasema unataka maridhiano.
Kama sio ussengge ni nini?
 
Hakuna mwandishi wa nje aliyekua field,walinyimwa vibali, Malcolm Webb wa Al Jazeera alitumiwa video na wanaharakati
The fact kwamba kuna news somehow ziliwafikia foreign reporters maana yake waandishi wetu waliamua tu kutotimiza wajibu wao (walichagua kuingia mitini). Otherwise, hata kwenye battlefield kuna news coverage!
 
Utimize majukumu kwenye curfew, unafikiri sawasawa?
 
Come on now, are you seriously trying to sell me that nonsense? The press isn’t required to comply with curfews. You know (or should know) that the press fulfills an essential role and serves the public's right to know. Legally enacted emergency curfews typically exempt credentialed journalists!
 
Back
Top Bottom