Marekani inataka maridhiano baina ya Serikali na vyama vya upinzani

Tanzania haina chombo cha habari in the strictest sense of the word!
CBS, CNN na axios ndiyo vyombo vya habari in the strictest sense!?.. hakuna media iliyo huru duniani kote,hata Al Jazeera haiisemi vibaya serikali ya Qatar na viongozi wake
 
CBS, CNN na axios ndiyo vyombo vya habari in the strictest sense!?.. hakuna media iliyo huru duniani kote,hata Al Jazeera haiisemi vibaya serikali ya Qatar na viongozi wake
Huna mshipa wa aibu? Hizo news media unaweza kuzilinganisha na news media zako zinazoingia mitini mazima?
 
Ina maana vichwa vyote vile vyote vya ccm havikuona kuridhiana na upinzani mpaka vishauriwe na marekani kufanya hivyo? Ishu hapa ni kukubaliana na matakwa ya upinyani unataka nini. Walishupaza shingo wakakaza mafuvu mambo yakaharibika vibaya na sasa watalazimika kula sahani moja na upinzani. Na wakikubali tu upinzani utashinda kirahisi na wao kukaa kando na kuwa chama cha upinzani cha ccm
 
Habari za uongo.Wangetangaza kwamba, CCM yaomba kufanya maridhiano na vyama vya ACT-ZAMBARAU na CHAUMMAMA.
 
Maridhiano ni kufanya uchaguzi upya, na waliotoa oda na walioua wafungwe
Hizi ni agenda tu za kisiasa,yaliyotukumba uchaguzi uliopita hayawezi kusawazishwa kamwe waliokufa hawawezi kurudishwa na walioua hizi image zitaishi nao daima.
Hapa ni kujaribu kusahau nakuganga yajayo!
 
Hakuna aliyekulazimisha kuwaza kijima namna hiyo.Nawe ni kiumbe.Sasa tukufanyaje na ndipo ulipoishia kimawazo?
 
Kichwa maji kweli wewe,hebu leta hayo mawazo yako modern niyaone.
Kama umekaa kwa kutulia muda mrefu ukaandika huo ujingaujinga wako usioeleweka,mimi nikikuandikia kwa mawazo yangu utaweza hata kutafsiri na kuelewa chochote kweli?Hebu jihurumie basi!
 
Kama umekaa kwa kutulia muda mrefu ukaandika huo ujingaujinga wako usioeleweka,mimi nikikuandikia kwa mawazo yangu utaweza hata kutafsiri na kuelewa chochote kweli?Hebu jihurumie basi!
Kama huna hoja endelea kuangalia za wenzako ukosoe mshamba mmoja.
Wewe bila shaka mboga mboga sitakujibu tena.
 
ITV siku hizi ni chombo Cha propaganda haiaminiki tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…