Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 8,000
- 16,414
Javitz Frimpong (15) kutoka Ghana, ameuawa siku ya jana tarehe 29, October kwa kupigwa risasi na vijana wenzake waliokuwa wamevaa nguo nyeusi na mask huko The Bronx, New York Marekani
Javitz amekuwa akiishi Marekani kwa mwaka mmoja sasa baada ya baba yake anayeishi Marekani kumleta aishi naye. Mama yake amebaki Ghana
Tangu Javitz alipokuwa Marekani amekuwa akilalamika kuhusu bullying shuleni, kuna wanafunzi wamekuwa wakimuonea kila siku akiwa shuleni. Ikumbukwe pia Waafrika wengi wamekuwa wakilalamika kuhusu suala la kuwa bullied mashuleni, na wengi wao wanakuwa bullied zaidi na Black Americans just for being Africans
Siku si nyingi Javitz aliripoti kwa principal kuwa kuna watu wanambully na safari hii Principal akachukua maamuzi ya kuwasuspend vijana hao, maana wamekuwa wakimbully kwa muda mrefu
Hazijapita siku nyingi video zimesambaa mitandaoni zikionesha vijana wenzake wakimkimbiza Javitz alipokuwa akielekea shule jana, walimkimbiza na kumpiga risasi iliyompata tumboni, jambo lilipelekea kukatisha uhai wake
Kwa sasa vijana wanaohusika hawajakamatwa lakini baba yake Javitz anaamini huenda ni wanafunzi waliokuwa wakimbully mwanae ndio wamemuua. Pia anasema mwanae alikuwa mkimya na sio muongeaji, huenda hii ikawa sababu kwa nini wanafunzi wenzake walikuwa wanambully, ukizingatia ni immigrant kutoka Afrika