Marekani: Kijana wa miaka 15 kutoka Ghana auawa kwa risasi na vijana wenzake

Marekani: Kijana wa miaka 15 kutoka Ghana auawa kwa risasi na vijana wenzake

Changamoto ya Marekani ni uwepo wa silaha holela

Hili janga litawasumbua sana

Sio kama huku Bongo, zoezi la kumiliki silaha huwa ni gumu sana

Na wengi wanazipata baada ya kupitia mlolongo mrefu
Ni second ammendment ya katiba yao
 
Ni second ammendment ya katiba yao
Ila kiuhalisia walikosea sana hili suala la kumilikisha kila mtu silaha. Marekani ina watu milioni 350 na kati yao watu zaidi ya milioni 100 wanamiliki silaha
Marekani peke yake inaaccount asilimia 46 ya raia wa kawaida wanaomiliki silaha za moto duniani
 
Ni second ammendment ya katiba yao
Kwetu huku ili upate kibali cha kumiliki silaha ni lazima upitie mchujo mrefu

Otherwise uwe na connection kwenye Kamati za Usalama za Wilaya
 
Naona uzi hautembei kabisa,
ingekua huyo kijana kauawa Saudi Arabia au Dubai,huu uzi ungekua unakimbiza kinoma.

Ungesikia Waislamu ni janga la Dunia!!! Makondooo ya waliopotea ni zaidi ya Msiba wenyewe

Ndiomana Mchungaji Joseph kibweteere kuyauwa mia900 kanisani kwake!!

Mana akili ayana kabisa 😳😳
 
Kwetu huku ili upate kibali cha kumiliki silaha ni lazima upitie mchujo mrefu

Otherwise uwe na connection kwenye Kamati za Usalama za Wilaya
Wala sio mrefu kama unavyodhani, usimamizi ndio mkali
Nikupe barua zake?
 
Siwezi kuishi Marekani. Hakuna usalama hata lidogo, watu wanauwana kama kuku!!
Nabaki TANZANIA.
 
A tragedy all around. Very sad.
 
Karibu Dodoma uje unitishie maisha boss
Nikutishie umefanya nini Mkuu? Labda unidhurumu hela ama niwe na ushahidi unatembea na mke wangu ama mabinti zangu 🤗

Kumiliki silaha ni lazima uwe na uwezo wa kudhibiti hasira
 
Back
Top Bottom