Ni second ammendment ya katiba yaoChangamoto ya Marekani ni uwepo wa silaha holela
Hili janga litawasumbua sana
Sio kama huku Bongo, zoezi la kumiliki silaha huwa ni gumu sana
Na wengi wanazipata baada ya kupitia mlolongo mrefu
Ila kiuhalisia walikosea sana hili suala la kumilikisha kila mtu silaha. Marekani ina watu milioni 350 na kati yao watu zaidi ya milioni 100 wanamiliki silahaNi second ammendment ya katiba yao
Kwetu huku ili upate kibali cha kumiliki silaha ni lazima upitie mchujo mrefuNi second ammendment ya katiba yao
Naona uzi hautembei kabisa,
ingekua huyo kijana kauawa Saudi Arabia au Dubai,huu uzi ungekua unakimbiza kinoma.
Wala sio mrefu kama unavyodhani, usimamizi ndio mkaliKwetu huku ili upate kibali cha kumiliki silaha ni lazima upitie mchujo mrefu
Otherwise uwe na connection kwenye Kamati za Usalama za Wilaya
Mimi tayari ninayo, useme nina mtu wa Usalama kwahiyo walinisaidia mchakatoWala sio mrefu kama unavyodhani, usimamizi ndio mkali
Nikupe barua zake?
Kumbe unamiliki gun Graha..Mimi tayari ninayo, useme nina mtu wa Usalama kwahiyo walinisaidia mchakato
Kumbe unamiliki gun Graha..
Hongera na pole
Karibu Dodoma uje unitishie maisha bossAsante Mkuu
Huwa nasafiri mara kwa mara, kwahiyo ni muhimu kwa Usalama binafsi
Nikutishie umefanya nini Mkuu? Labda unidhurumu hela ama niwe na ushahidi unatembea na mke wangu ama mabinti zangu 🤗Karibu Dodoma uje unitishie maisha boss