Marekani kuanza kusitisha ufadhili wa fedha kwa WHO ndani ya siku 30 zijazo

Marekani kuanza kusitisha ufadhili wa fedha kwa WHO ndani ya siku 30 zijazo

Mkuu, hakuna cha veto power ya rais. Ila hawezi kujitoa WHO na michango atapeleka tu. Hizo statement ni mwendelezo wa ku inflict fear kwa jamii.

Mjadala ni ishu ya WHO, pata time pitia opinions za wanasiasa wa US kuhusu ishu hiyo.
Nahis matokeo umeyaona leo ni kama nilivyokwambia ukawa mbishi
 
Hivi Trump kama rais ana uwezo wa kusitisha hiyo michango au kujitoa WHO kwa maamuzi yake yeye binafsi bila kushirikisha bunge na senete?

Hizi ni siasa tu, hana uwezo huo.
Tayari huko ashasitisha,bila kushirikisha bunge wala senate.
 
Back
Top Bottom