GreatSeal JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 1,785 Reaction score 3,094 May 29, 2020 #21 Chorio said: Mkuu, hakuna cha veto power ya rais. Ila hawezi kujitoa WHO na michango atapeleka tu. Hizo statement ni mwendelezo wa ku inflict fear kwa jamii. Mjadala ni ishu ya WHO, pata time pitia opinions za wanasiasa wa US kuhusu ishu hiyo. Click to expand... Nahis matokeo umeyaona leo ni kama nilivyokwambia ukawa mbishi
Chorio said: Mkuu, hakuna cha veto power ya rais. Ila hawezi kujitoa WHO na michango atapeleka tu. Hizo statement ni mwendelezo wa ku inflict fear kwa jamii. Mjadala ni ishu ya WHO, pata time pitia opinions za wanasiasa wa US kuhusu ishu hiyo. Click to expand... Nahis matokeo umeyaona leo ni kama nilivyokwambia ukawa mbishi
joseph1989 JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 17,420 Reaction score 35,765 May 30, 2020 #22 Chorio said: Hivi Trump kama rais ana uwezo wa kusitisha hiyo michango au kujitoa WHO kwa maamuzi yake yeye binafsi bila kushirikisha bunge na senete? Hizi ni siasa tu, hana uwezo huo. Click to expand... Tayari huko ashasitisha,bila kushirikisha bunge wala senate.
Chorio said: Hivi Trump kama rais ana uwezo wa kusitisha hiyo michango au kujitoa WHO kwa maamuzi yake yeye binafsi bila kushirikisha bunge na senete? Hizi ni siasa tu, hana uwezo huo. Click to expand... Tayari huko ashasitisha,bila kushirikisha bunge wala senate.
C Chorio JF-Expert Member Joined Apr 25, 2020 Posts 313 Reaction score 562 May 30, 2020 #23 GreatSeal said: Nahis matokeo umeyaona leo ni kama nilivyokwambia ukawa mbishi Click to expand... Naomba official source kwamba wamejitoa. Bado sijapata hizo habari mkuu.
GreatSeal said: Nahis matokeo umeyaona leo ni kama nilivyokwambia ukawa mbishi Click to expand... Naomba official source kwamba wamejitoa. Bado sijapata hizo habari mkuu.
STRUGGLE MAN JF-Expert Member Joined May 31, 2018 Posts 8,633 Reaction score 16,586 May 30, 2020 #24 Ni Dalili ya kifo cha mende Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app