Weka ushahidi mkuu wacha majungu.Wapumbavu tu ndio mnaobeza hatua hii. Nchi imechafuka na ina doa baya sana sasa.
Ulikua ni ujinga mkubwa kuharibu uchaguzi bila faida yoyote sio ndani au nje.
We are badly smeared by wasukuma wajinga.
Sijui,ila yoyote aliye mfungia ina MAANA YUPO JUU YA KATIBA.Kwani acc ya twitter ya trump imefungiwa na serikali ya marekani au wenye twitter yao ndo wamemlima kufuli.
Kwani Marekani kuna ulazima gani wa kwenda? Li nchi lenyewe lina macorona, hakuna hata jipya ambalo utalikosa nchi zingineSafi sana, Jaji Mitungi na Mahera
Unafahamu maana ya vikwazo?Hivi unaelewa maana ya kuwekewa vikwazo na America ?! Waulize Iranian
Odhis *
Naona hujui unaandika nini!!! Umeuliza maana ya VOTER SUPPRESSION; nimekuleza maana yake na nikaenda zaidi kukuelimisha jinsi inavyofanywa!!! Halafu unaita hiyo ni contradiction? You must be out of your mind because you do not know the meaning of contradiction!!! I challenge you to show me the contradictions.
Mtakuaje na demokrasi wakati mnatumia dola yao??hata toothpick hamwezi kutengeneza.ata chupi zinawashinda kutengeneza,mnavaa za mitumba???Kwani demokrasia yetu lazima ifanane na yao? Nyerere alisema, democracy is not like a bottle of Cocacola that you can just import from some other place, democracy should be self grown to suite the needs of our country, they can shove their sanctions up their stinky azz holes
Haya ni matamko ya Wizara ya Mambo ya Nje... Yeye ni mwenye cheo tu sasa hivi.Huyu kibarua chake kinakwisha kesho, itakuwaje kuhusu haya matamko yake?
The Americans have no moral authority to preach about democracy in the world when we have witnessed massive voter suppression in their just concluded elections!!
...wamarekani wasio weupe [ weusi na Latinos] wengi walijitokeza kupiga kura na wagombea wao kushinda.
Kwa maelezo hayo hapo juu kichwa chako kimebaki kama mfuko wa kubebea meno tu.
USA hawajawawekea vikwazo Tanzania (nation) kama una ushahidi tuwekee...maadam tunao ushahidi basi Tz tuwawekee vikwazo Wamarekani.
..serikali ya Tz ikikaa kimya bila kutoa tamko na kuchukua hatua maana yake ni kukubali tuhuma kwamba uchaguzi ulivurugwa.
..Nadhani UN wanaruhusiwa kwenda.
..ndio maana Gaddafi na Mugabe walikuwa wanatinga UN na kuzoza-zoza.
USA hawajawawekea vikwazo Tanzania (nation) kama una ushahidi tuwekee.
Waziri wa fedha yuko Tume ya uchaguzi?Je Waziri wa fedha anaweza ruhusiwa kwenda Washington D.C.kwenye mikutano ya WORLD BANK NA IMF?
Je Waziri wa fedha anaweza ruhusiwa kwenda Washington D.C.kwenye mikutano ya WORLD BANK NA IMF?
Ishu sio mbinguni nani anaeingia gharama za kuhudumia wakimbizi afrika wanaosababishwa na watawala waliokosa malezi Bora utotoni? Yaliyopelekea kukosa utu.Kwani USA ni mbunguni? Kwanza huko hapafai kabisa kuishi kwa sababu hakuna ubinadamu wanaishi kama robbot.
The Americans have no moral authority to preach about democracy in the world when we have witnessed massive voter suppression in their just concluded elections!!
...wamarekani wasio weupe [ weusi na Latinos] wengi walijitokeza kupiga kura na wagombea wao kushinda
Ni Jambo jema USA and europe wawe wanazionea kwenye youtube,wangeanza na baba lao kubwa la maadui kisababishi.For sure. Hizi bans zinahusisha watoto wao na wake zao pia. Na kama kuna walioko USA teari, wanapewa deportation notice. European Union always inafuatana na USA, naamini itakuwa hivyo for the most part.
Bila wao waafrika wangepata tabu Sana dhidi ya wakoloni weusiMungu wabariki Wazungu