Uchaguzi 2020 Marekani: Kuanzia leo, tunaweka vizuizi kwa waliohusika na kuvuruga Uchaguzi nchini Tanzania

Uchaguzi 2020 Marekani: Kuanzia leo, tunaweka vizuizi kwa waliohusika na kuvuruga Uchaguzi nchini Tanzania

Wapumbavu tu ndio mnaobeza hatua hii. Nchi imechafuka na ina doa baya sana sasa.
Ulikua ni ujinga mkubwa kuharibu uchaguzi bila faida yoyote sio ndani au nje.
We are badly smeared by wasukuma wajinga.
Weka ushahidi mkuu wacha majungu.
 
Kwani acc ya twitter ya trump imefungiwa na serikali ya marekani au wenye twitter yao ndo wamemlima kufuli.
Sijui,ila yoyote aliye mfungia ina MAANA YUPO JUU YA KATIBA.

KWANI KATIBA IMEMPA HAKI YA KILA RAIA WA US KUJIELEZA.

Kwani kwenda kinyume na katiba ni kosa kisheria.
 
The Americans have no moral authority to preach about democracy in the world when we have witnessed massive voter suppression in their just concluded elections!!

...wamarekani wasio weupe [ weusi na Latinos] wengi walijitokeza kupiga kura na wagombea wao kushinda.

Kwa maelezo hayo hapo juu kichwa chako kimebaki kama mfuko wa kubebea meno tu.
Naona hujui unaandika nini!!! Umeuliza maana ya VOTER SUPPRESSION; nimekuleza maana yake na nikaenda zaidi kukuelimisha jinsi inavyofanywa!!! Halafu unaita hiyo ni contradiction? You must be out of your mind because you do not know the meaning of contradiction!!! I challenge you to show me the contradictions.
 
Kwani demokrasia yetu lazima ifanane na yao? Nyerere alisema, democracy is not like a bottle of Cocacola that you can just import from some other place, democracy should be self grown to suite the needs of our country, they can shove their sanctions up their stinky azz holes
Mtakuaje na demokrasi wakati mnatumia dola yao??hata toothpick hamwezi kutengeneza.ata chupi zinawashinda kutengeneza,mnavaa za mitumba???
 
Walichokifanya ni sawa na kumuwekea marufuku Mwanaume ya kulazwa chumba cha kujifungulia au kumuwekea Sheikh marufuku ya kuingia kanisan

Bila ya vikwazo Jembe letu halina mpango wa kwenda huko
 
The Americans have no moral authority to preach about democracy in the world when we have witnessed massive voter suppression in their just concluded elections!!

...wamarekani wasio weupe [ weusi na Latinos] wengi walijitokeza kupiga kura na wagombea wao kushinda.

Kwa maelezo hayo hapo juu kichwa chako kimebaki kama mfuko wa kubebea meno tu.

..maadam tunao ushahidi basi Tz tuwawekee vikwazo Wamarekani.

..serikali ya Tz ikikaa kimya bila kutoa tamko na kuchukua hatua maana yake ni kukubali tuhuma kwamba uchaguzi ulivurugwa.
 
Kuengua Wagombea wa vyama
vingine ili wagombea wao
wapite bila kupingwa,
Huu ujinga,unapatikana,Tanzania tu
 
..maadam tunao ushahidi basi Tz tuwawekee vikwazo Wamarekani.

..serikali ya Tz ikikaa kimya bila kutoa tamko na kuchukua hatua maana yake ni kukubali tuhuma kwamba uchaguzi ulivurugwa.
USA hawajawawekea vikwazo Tanzania (nation) kama una ushahidi tuwekee.
 
..Nadhani UN wanaruhusiwa kwenda.

..ndio maana Gaddafi na Mugabe walikuwa wanatinga UN na kuzoza-zoza.

Je Waziri wa fedha anaweza ruhusiwa kwenda Washington D.C.kwenye mikutano ya WORLD BANK NA IMF?
 
USA hawajawawekea vikwazo Tanzania (nation) kama una ushahidi tuwekee.

..serikali ikikaa kimya, na isipochukua hatua, maana yake ni kukubali kuwa uchaguzi wetu ulikuwa mchafu.
 
Je Waziri wa fedha anaweza ruhusiwa kwenda Washington D.C.kwenye mikutano ya WORLD BANK NA IMF?

..hilo sina uhakika nalo kwasababu mikutano ya WB na IMF huwa haiko public kama ya UN.

..hatua zilizochukuliwa naamini zimetokana na mapendekezo ya balozi wa US aliyeko hapa Tz.

..serikali inapaswa kurekebisha hali hii isifikie kiwango cha nchi kuwekewa vikwazo vikali zaidi.
 
The Americans have no moral authority to preach about democracy in the world when we have witnessed massive voter suppression in their just concluded elections!!

...wamarekani wasio weupe [ weusi na Latinos] wengi walijitokeza kupiga kura na wagombea wao kushinda

Maandiko hayo yanaeleza kuwa Ingawa kuna massive voter suppression wamarekani weusi /latino waliweza kuchagua wawakilishi wao!!! Is that a contradiction you empty skull!!
 
For sure. Hizi bans zinahusisha watoto wao na wake zao pia. Na kama kuna walioko USA teari, wanapewa deportation notice. European Union always inafuatana na USA, naamini itakuwa hivyo for the most part.
Ni Jambo jema USA and europe wawe wanazionea kwenye youtube,wangeanza na baba lao kubwa la maadui kisababishi.
 
Back
Top Bottom