Uchaguzi 2020 Marekani: Kuanzia leo, tunaweka vizuizi kwa waliohusika na kuvuruga Uchaguzi nchini Tanzania

Msiwe na wasiwasi; jamaa bado ana saa 20 tu madarakani. Jana alipokuwa Europe alisusiwa!

..unadhani Joe Biden na Antony Blinken watafumbia macho ukatili wa serikali ya Magufuli dhidi ya vyama vya upinzani?
 
Uongo mtupu na story za matango pori ya vijiweni.Mara ya mwisho mgombea wa Democrat kushinda Texas ni mwaka 1976. Texas ni red state pimbi

Wewe bwege mbona huzungumzii kuwa GEORGIA ilikuwa RED state ? This time TEXAS was almost flipped, unajua hilo?
 
..Nadhani UN wanaruhusiwa kwenda.

..ndio maana Gaddafi na Mugabe walikuwa wanatinga UN na kuzoza-zoza.
Sikumbuki mwaka gani, lakini kiongozi wa PLO ya Palestina marehemu YESSER Arafat aliwahi kualikwa UN, US walimnyima viza akashindwa kuhudhuria. Wakati huo uhasama wa Palestina na Israel ulikuwa umekolea sana
 
..unadhani Joe Biden na Antony Blinken watafumbia macho ukatili wa serikali ya Magufuli dhidi ya vyama vya upinzani?
Mnachotegea hakitakuwapo hata siku moja,
Bakini na mawazo ya kijinga hayo wakati biden mwenyewe kaiba kula na kusababisha watu watano kuafa.
 
Na walioharibu uchaguzi kwao wamechukulia hatua gani? Waliominya uhuru wa kujieleza wa Rais Trump wamewachukulia hatua gan?

Sent using Jamii Forums mobile app
Trump ndiyo ameeneza uvumi usio na ushahidi. Ameenda kortini akabwagwa , ameombwa ushahidi hana.

Je kwetu, Rais alie madarakani angeweza kuangukia pua ?!

Odhis *
 
Mnachotegea hakitakuwapo hata siku moja,
Bakini na mawazo ya kijinga hayo wakati biden mwenyewe kaiba kula na kusababisha watu watano kuafa.

..sasa kwanini tujilinganishe na wezi?

..kwanini ccm inatumia dola kuwaumiza ndugu zao walioko ktk vyama vya upinzani?
 
Pompeo mwenyewe kaandika hata hajui ameandika nini, huenda ni stress za kukosa hiyo nafasi baada ya biden kuapishwa.
 
Aibe kuLa kwani umeambiwa mtu aliyewahi kuwa makamu wa Rais wa US anaweza kuumwa njaa kiasi hicho
Mnachotegea hakitakuwapo hata siku moja,
Bakini na mawazo ya kijinga hayo wakati biden mwenyewe kaiba kula na kusababisha watu watano kuafa.
 
Katika ujinga na upuuzi wa kwanza kuusikia mwaka huu toka kwa 'Pempuu' ndio huu.Trump mwenyewe ni aibu tupu.Mijitu mijinga mijinga kama hii itaisha lini hapa duniani ? Walivyosikia balozi wa uingereza kapongezwa ndiyo sasa wanakurupuka.
 
..sasa kwanini tujilinganishe na wezi?

..kwanini ccm inatumia dola kuwaumiza ndugu zao walioko ktk vyama vya upinzani?
Kama mlivyo ua vijana wa CCM kule mbeya na mtwara inabidi.pia nanyi mzuiwe kwenda huko kwa pompeo
 
Pompeo mwenuyewe kaandika hata hajui ameandika nini, huenda ni stress za kukosa hiyo nafasi baada ya biden kuapishwa.

..usimshambulie Pompeo.

..shambulia hoja yake.

..Pompeo anadai uchaguzi wa Tz haukuwa huru na wa haki.
 
Hayo ni mawazo yako tu
Akiri zenu mmekabidhi kusiko julikana.
Aibe kuLa kwani umeambiwa mtu aliyewahi kuwa makamu wa Rais wa US anaweza kuumwa njaa kiasi hicho
 
..usimshambulie Pompeo.

..shambulia hoja yake.

..Pompeo anadai uchaguzi wa Tz haukuwa huru na wa haki.
Hana akiri huyo, unazuiaje mtu ambaye hana haja ya kuja kwako, huoni kama pompeo zimemruka?
 
Kama mlivyo ua vijana wa CCM kule mbeya na mtwara inabidi.pia nanyi mzuiwe kwenda huko kwa pompeo

..walioua vijana wa ccm wanapaswa kuchukuliwa hatua.

..na walioua na kuumiza wafuasi wa vyama vya upinzani wanastahili kuchukuliwa hatua.

..tatizo mambo mabaya yanayofanywa dhidi ya wapinzani yanaonekana kuwa na baraka za mamlaka za kiserikali na dola.
 
Hana akiri huyo, unazuiaje mtu ambaye hana haja ya kuja kwako, huoni kama pompeo zimemruka?

..waliorukwa na akili ni hawa wanaoua na kuumiza wafuasi wa vyama vya upinzani hapa Tz.
 
..waliorukwa na akili ni hawa wanaoua na kuumiza wafuasi wa vyama vya upinzani hapa Tz.
Mi nadhani wewe pia zimekuruka, mpelekee ushahidi Amsterdam aongeze huko ICC kama unao, acha kulialia kama pompeo ambae kibarua kinaisha kesho.
 
Stupidddf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…