Uchaguzi 2020 Marekani: Kuanzia leo, tunaweka vizuizi kwa waliohusika na kuvuruga Uchaguzi nchini Tanzania

Uchaguzi 2020 Marekani: Kuanzia leo, tunaweka vizuizi kwa waliohusika na kuvuruga Uchaguzi nchini Tanzania

Ww washindwe yao ya trump viwalet kwetu waangaliee wasituzooee tutaanzisha tifu patachimbika
 
Wakuu, na wale walivuruga uchaguzi wa marekani amesemaje? Nao kawawekea vikwazo?
Ushahidi tunao kuwa uchaguzi ulicurugwa: rais wa marekani aliutangazia ulimwengu kuwa uchaguzi wao uliibiwa!
 
Upuuuuzi.......mtupu.

Wanahamasisha uhuru wa kujieleza, huku wameifungia acc ya twitter ya Trump.

Wanacho kihamasisha wao hawakiishi, wadeal na hali yao wanaiyoipitia sasa baada ya uchaguzi.
Account ya twitter ya Trump imefungiwa na CEO wa Twitter sio serikali ya Marekani..

Ni sawa leo umtukane Dewji afu akufungie kushabikia mikia na kukuzuia kuja mechi zao halafu uwe mkali unalalamikia serikali ya Tz.
 
Unadhani Marekani akimfanyia mtu Travel Ban anaishia hapo? Anakwenda mbali zaidi. Stay tuned usiwe mjinga mjinga
 
Unajua maana ya vingi? Vingi vinaanzia vingapi?
Katika muktadha wa nilichokisema, nimetofautisha kati ya vyama viwili na vyama vingi, hivyo kwa context ya nilichokizungumza vingi namaanisha zaidi ya viwili, ‘Multiparty system’ na ‘Two party system’; sasa wewe kaza ubongo
 
Mbona wao pia wana vyama zaidi ya viwili!
Huo ni mfano tu, demokrasia ina vipengele
Vingi ndani yake, na vinatofautiana kati ya nchi na nchi kulingana na mazingira, mfano wao wakipiga kura online bila kwenda kituoni haimaanishi kwamba sisi tunaoenda kutumbukiza karatasi tunaijua sana demokrasia, ila ni mazingira ya kiteknolojia ndio yametulwamisha, hivyo demokrasia inavyotekelezwa kwao wasilazimishe ndio iwe hivyo huku, tunatofautiana...
 
Demokrasia ya wapi hiyo duniani ambapo karatasi za wagombea zinazagaa , mtaani siku moja kabla ya siku ya kupiga kura?huku zimeshatikiwa kwenye majina ya wagombea?hata hapa kwetu tu toka uhuru haijawahi tokea?!!vitu vingine vya kipuuzi acheni kushabikia!!kama ni hivyo basi anza kuishi bila misaada yao!!
Kwani utaratibu wa kupinga matokeo si upo wazi? Na utaratibu ni kwamba matokeo ya Urais hayapingwi, kumbe basi, vya vya upinzani havipaswi kushiriki uchaguzi endapo hawakubaliani na misingi ya katiba inayoendesha uchaguzi, badala yake wanapaswa kupigania kwanza katiba mpya kwa njia halali za kiharakati, ikumbukwe kwamba, hata hiyo katiba inayowalinda walio madarakani ilipitishwa kidemokrasia, hivyo iondolewenpia kidemokrasia
 
Nikiziangalia sura zilizojazana NEC na kwa msajili wa vyama vya siasa kwa hakika wamejaa wazalendo watupu na wengi wao hata huko Marekani hawakujui...
Kwanza nikukumbushe.

Bashilte alipowekewa vikwazo kama hivi, alikataliwa kupanda na kusafiria mashirika ya ndege za warabu. Piga picha sasa za makubwa wetu kusafiri popete.

Jitayarishe na utumbuaji wa kufa mtu katika jitihada za kujisafisha.

Vikwazo vinafuata kama sikosei vimeshanza.

Kama nchi yetu ni huru kiasi cha kudhulumu haki za binadamu, dunia ina haki ya kuwachukulia hatua madhulmati yaani maCCM na hili mliambiwa mapema.
 
Mtakuaje na demokrasi wakati mnatumia dola yao??hata toothpick hamwezi kutengeneza.ata chupi zinawashinda kutengeneza,mnavaa za mitumba???
 
kama umepokea misaada mbali mbali,matundu ya choo kwa hisani ya watu wa marekani! ...kuwa mpole
 
Vijana wa kitanzania wameanza kuwa wazalendo .
Screenshot_20210119-194346.jpg
Screenshot_20210119-200208.jpg
Screenshot_20210119-204028.jpg
 
Back
Top Bottom