Eh🤪🚶Wanaposafiri kwenda wapi?
Hawajafungia mitandao Bali ac ya trumpUpuuuuzi.......mtupu.
Wanahamasisha uhuru wa kujieleza, huku wameifungia acc ya twitter ya Trump.
Wanacho kihamasisha wao hawakiishi, wadeal na hali yao wanaiyoipitia sasa baada ya uchaguzi.
Blessed sanaNa walioharibu uchaguzi kwao wamechukulia hatua gani? Waliominya uhuru wa kujieleza wa Rais Trump wamewachukulia hatua gan?
Sent using Jamii Forums mobile app
Account ya twitter ya Trump imefungiwa na CEO wa Twitter sio serikali ya Marekani..Upuuuuzi.......mtupu.
Wanahamasisha uhuru wa kujieleza, huku wameifungia acc ya twitter ya Trump.
Wanacho kihamasisha wao hawakiishi, wadeal na hali yao wanaiyoipitia sasa baada ya uchaguzi.
Tanzania wachukulieni hatua Nyie SI donor countryNa walioharibu uchaguzi kwao wamechukulia hatua gani? Waliominya uhuru wa kujieleza wa Rais Trump wamewachukulia hatua gan?
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika muktadha wa nilichokisema, nimetofautisha kati ya vyama viwili na vyama vingi, hivyo kwa context ya nilichokizungumza vingi namaanisha zaidi ya viwili, ‘Multiparty system’ na ‘Two party system’; sasa wewe kaza ubongoUnajua maana ya vingi? Vingi vinaanzia vingapi?
Huo ni mfano tu, demokrasia ina vipengeleMbona wao pia wana vyama zaidi ya viwili!
Kwani utaratibu wa kupinga matokeo si upo wazi? Na utaratibu ni kwamba matokeo ya Urais hayapingwi, kumbe basi, vya vya upinzani havipaswi kushiriki uchaguzi endapo hawakubaliani na misingi ya katiba inayoendesha uchaguzi, badala yake wanapaswa kupigania kwanza katiba mpya kwa njia halali za kiharakati, ikumbukwe kwamba, hata hiyo katiba inayowalinda walio madarakani ilipitishwa kidemokrasia, hivyo iondolewenpia kidemokrasiaDemokrasia ya wapi hiyo duniani ambapo karatasi za wagombea zinazagaa , mtaani siku moja kabla ya siku ya kupiga kura?huku zimeshatikiwa kwenye majina ya wagombea?hata hapa kwetu tu toka uhuru haijawahi tokea?!!vitu vingine vya kipuuzi acheni kushabikia!!kama ni hivyo basi anza kuishi bila misaada yao!!
Hii ni sawa na CCM kulalamika wameibiwa kura pamoja na Magu kulalamika kunyimwa haki yake ya kujieleza.Na walioharibu uchaguzi kwao wamechukulia hatua gani? Waliominya uhuru wa kujieleza wa Rais Trump wamewachukulia hatua gan?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza nikukumbushe.Nikiziangalia sura zilizojazana NEC na kwa msajili wa vyama vya siasa kwa hakika wamejaa wazalendo watupu na wengi wao hata huko Marekani hawakujui...
Mtakuaje na demokrasi wakati mnatumia dola yao??hata toothpick hamwezi kutengeneza.ata chupi zinawashinda kutengeneza,mnavaa za mitumba???
kama umepokea misaada mbali mbali,matundu ya choo kwa hisani ya watu wa marekani! ...kuwa mpole
Huyo Gody Moshi ndio vijana?!Vijana wa kitanzania wameanza kuwa wazalendo .View attachment 1681528View attachment 1681529View attachment 1681530