joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Katiba imempa kila raia wa US uhuru wa kujieleza kwa kufunga acc ya Trump manake umemnyima haki yake ambayo imetambulika kikatiba na kwa kufanya hivyo wameenda kinyume na katiba na kwenda kinyume na katiba ni kosa.Hawajafungia mitandao Bali ac ya trump
Kwa hiyo CEO wa Twitter yupo juu ya katiba,manake kufanya hivyo ni kumnyima Trump uhuru wa kujieleza na siku zote US wanakuaga wakali kama akitokea mtu akaubana uhuru wa kujieleza.Account ya twitter ya Trump imefungiwa na CEO wa Twitter sio serikali ya Marekani..
Ni sawa leo umtukane Dewji afu akufungie kushabikia mikia na kukuzuia kuja mechi zao halafu uwe mkali unalalamikia serikali ya Tz.
Hilo ni tamko la Serikali ya Marekani ambayo ipo wakati wote hata vibarua vya wafanyakazi fulani vitakwisha, wengine wanapokea saa hiyohiyo kuendeleza maamuzi ya huko nyuma yenye maslahi kwa Taifa. Kama kuna maamuzi ya nyuma Serikali mpya itagundua hayafai, mchakato wa kutupilia mbali ni mrefu sana lazima upitie vitengo vyote viwili vya Bunge na kukubalika lakini inakuwa vigumu sana kwa sababu Wabunge fulani walikuwepo wakati maamuzi yanafanywa. Tofauti na Serikali ya Marekani, Serikali ya Magufuli ikimaliza muda wake madarakani, maamuzi na mamiradi mengi yasiyo na tija yatatupiliwa mbali na wahusika kuswekwa lupango. Mamiradi kama madege tupa baharini yasibane nafasi ya Uwanja wa Dar na likiwanja la Chato kuwarudishia wakulima wasiyo na mashamba ya kulima walionyang'anywa ardhi yao kupisha Mradi usiyo na tija. Mamiradi mengine yataachwa tu magofu maana yatakuwa yametekelezwa chini ya kiwango!Huyu kibarua chake kinakwisha kesho, itakuwaje kuhusu haya matamko yake?
Yuko wapi? mtu hata kwenye misiba anajificha unasema maisha yanaendelea?Mbona Makonda kazuiliwa na maisha yanaendelea manka?
Marekani kitu gani bhana dunia iko kiganjani!
Una uhakika na ulisemalo?mashirika yote yaliyochini ya UN, marekani ndio mchangiaji mkubwa!!bado hiyo.misaada ya kibinadamu duniani kote ni yeye!!Marekani hahudumii sana wakimbizi ungesema Scandinavian countries ningekuelewa!
Marekani ilikuwa zamani bhana!
Nakuapia wazi kuwa kutokana na foreign policy principles za marekani, hakuna watakalofanya, kwa vile kuchokonoa serikali kunaweza kuleta instability kwenye region hii. Hawataigusa Tanzania, wala Uganda wala Rwanda. Hilo nakuapia kabisa...unadhani Joe Biden na Antony Blinken watafumbia macho ukatili wa serikali ya Magufuli dhidi ya vyama vya upinzani?
Vijana wa kitanzania wameanza kuwa wazalendo .View attachment 1681528View attachment 1681529View attachment 1681530
Kwa wengine waibe, watese wapinzani, wawaengue kizembe, vituo hewa yote sawa tu. Tuondolee ujingaKwani demokrasia yetu lazima ifanane na yao? Nyerere alisema, democracy is not like a bottle of Cocacola that you can just import from some other place, democracy should be self grown to suite the needs of our country, they can shove their sanctions up their stinky azz holes
Umeridhika sasa baada ya kutoa hayo maneno Mkuu?Pompeo go to hell you ass!!
Acha uongo wewe umewajuaje kwani Marekani hawajatoa hiyo orodha ya majina, kwa taarifa sio lazima mtu aende Marekani,nani ana demokrasia zaidi Tanzania au Marekani kwa wahuni wanaovamia bunge,Pompeo na timu yake ni sawatu na akina Amsterdam.Kwa Taarifa yako waliozuiliwa wengi ni viongozi wako japo wa Tume nao wamo , kuna lundo la viongozi wanaokutumikisha , halafu kingine unachopaswa kufahamu ni kwamba ukizuiliwa na USA , basi kuna mataifa mengine kama 10 hivi hutakanyaga , omba Mungu msiugue Tezi dume au maradhi mengine ya kukata viungo kama naniliuu aliyekatwa vidole
Kamanda, ni kina nani hao waliozuiliwa? Wakati wa Makonda walitaja jina kabisa, mbona wakati huu wanatupiga mafumbo jumla jumla tu?Kwa Taarifa yako waliozuiliwa wengi ni viongozi wako japo wa Tume nao wamo , kuna lundo la viongozi wanaokutumikisha , halafu kingine unachopaswa kufahamu ni kwamba ukizuiliwa na USA , basi kuna mataifa mengine kama 10 hivi hutakanyaga , omba Mungu msiugue Tezi dume au maradhi mengine ya kukata viungo kama naniliuu aliyekatwa vidole
Nikiziangalia sura zilizojazana NEC na kwa msajili wa vyama vya siasa kwa hakika wamejaa wazalendo watupu na wengi wao hata huko Marekani hawakujui....