Hizo ndiyo sera zao walizojiwekea. Na sisi tunaweza kuwa na sera zetu kuwahusu wao na nchi nyingine. Hata baba mlevi huwa ana sheria zake nyumbani kwake na familia inazifuata. Kwanza hatulamishwi kwenda huko Marekani sasa tatizo liko wapi??Upuuuuzi mtupu.
Wanahamasisha uhuru wa kujieleza, huku wameifungia acc ya twitter ya Trump....
Bora kama umeliona hilo. Wako kadhaa humu JF, we wasome mabandiko yao. Wanadhani kuvuruga uchaguzi kunaishia kwenye visa ban, watatupiga spana mpaka kwenye uchumi na afya. Kwa mfano wakizuia pesa za afya, nadhani wizara nzima ita paralyze, kwa sababu 70% ya miradi ya afya ni pesa za Wamarekani.Nchi hii imejaa wajinga first class! Huyu nae sijui ni wa wapi?
Tulee ujinga kwa sababu unaogopa kukomoka ?!.Ndio nimeuliza misaada wanayotupa ni kwa ajili ya watu kama akina Makonda au ni kwa ajili ya wananchi? kwa sababu wanapositisha misaada au kuweka vikwazo wanaothirika zaidi ni mimi na wewe sio Makonda. Sasa sijui hapo wewe mwenzangu unafurahia vp na hivi vikwazo....
Watu wenye vichwa vyenye bumps wana roho mbaya sanaMahera inakuhusu hii
Ni msiba wa wote hakuna anayefurahia, zamani ilikuwa mwanafunzi mmoja akipatikana na paper shule nzima inafungiwa miaka 10Ndio nimeuliza misaada wanayotupa ni kwa ajili ya watu kama akina Makonda au ni kwa ajili ya wananchi? kwa sababu wanapositisha misaada au kuweka vikwazo wanaothirika zaidi ni mimi na wewe sio Makonda. Sasa sijui hapo wewe mwenzangu unafurahia vp na hivi vikwazo...
Na kazia tu, wanasikilizia kama watachukuliwa hatua au lah!Bora kama umeliona hilo. Wako kadhaa humu JF, we wasome mabandiko yao. Wanadhani kuvuruga uchaguzi kunaishia kwenye visa ban, watatupiga spana mpaka kwenye uchumi na afya. Kwa mfano wakizuia pesa za afya, nadhani wizara nzima ita paralyze, kwa sababu 70% ya miradi ya afya ni pesa za Wamarekani.
Kama kweli hamtaki kulea ujinga basi hata hivyo vikwazo visingewepo maana kusingekuwa na yale ambayo yangesababisha hadi kupigwa vikwazo,sasa mmeruhusu mambo ambayo yanasababisha hadi mpigwe vikwazo ambavyo vinatugusa wote na hasa sie wananchi halafu unasema hamtaki kulea ujinga?Tulee ujinga kwa sababu unaogopa kukomoka ?!.
Wafuasi wa watawala wa ki Africa sijui mnakwama wapi masikini ?!
Odhis *
Huyu ni mjinga aliyekubuhu mzkuu.Nchi hii imejaa wajinga first class! Huyu nae sijui ni wa wapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Muulize the late Mugabe nini kilimpata, mwenye nguvu mpishee.... Unaweza kuwa mtemi nyumbani kwako lakini ukiupeleka utemi kwa majirani uwe umejiandaaKwani demokrasia yetu lazima ifanane na yao? Nyerere alisema, democracy is not like a bottle of Cocacola that you can just import from some other place, democracy should be self grown to suite the needs of our country, they can shove their sanctions up their stinky azz holes
Kwahiyo mimi ntapata tabu sana sababu Mahera kazuiwa kwenda USA?Pole sana mkuu, huko ni taasisi ndio inadeal na wewe wala sio pompeo au Trump yaan ni sawa uwe na kesi ya mauaji na hapa katikati majaji wote wakafa unadhani ndio mwisho wa kesi yako
Kwa hio usa ni baba yako?shika adabu we binti hivi haya mautumbo unaweza kumwambia babako
Unasema ni msiba wa wote hakuna anayefurahia wakati watu humu hushabikia hivyo vikwazo na hutaka viongezwe zaidi,vikwazo vingekuwa vinawaathiri na hao viongozi basi Mugabe angekubali yaishe ila wakati wananchi wake wanateseka na vikwazo yeye ndio kwanza alikuwa anajibu jeuri hao wazungu. Sasa mimi nashangaa mtu anashabikia vikwazo.Ni msiba wa wote hakuna anayefurahia, zamani ilikuwa mwanafunzi mmoja akipatikana na paper shule nzima inafungiwa miaka 10
JK alifanya uteuzi mpaka dakika za majeruhi...Huyu kibarua chake kinakwisha kesho, itakuwaje kuhusu haya matamko yake?
Kwani demokrasia yetu lazima ifanane na yao? Nyerere alisema, democracy is not like a bottle of Cocacola that you can just import from some other place, democracy should be self grown to suite the needs of our country, they can shove their sanctions up their stinky azz holes
Rais waonae alikumbana na rungu la kufungiwa account zake za mawasiliano akiwa madarakani kama rais.Mpumbavu huyu, angemuwekea kwanza Rais wake hivyo vikwazo kwa kutoitii democrasia yao
Itakuwaje kama Kabudi nae yupo kwenye hiyo list?Kama namuona Kabudi macho yanavyomtoka[emoji28]
Kama ukipewa kibano (blacklist) na Marekani na EU, sidhani kama utakuwa uko salama sana, kwa sbb miamba yote ya dunia iko maeneo hayo mawili, including taasisi nyingi za kimataifa.Ukifikia hatua umeenda marekani na kurudi safari yako dunia hii imeishia hapo, kikichobaki wewe nikujiandaa kwenda mbinguni ..
Hao viongozi wajiandae tu kwenda kule shetani wanaposema alipo maana hii dunia hawajaitembea kuona ilivyo..
Mwizi wa kura ndio ana akili za kitumwa kwanini msishinde kihalaliMjinga wewe na ukoo wako wote! Una akili ya kitumwa hamia kwa hao mabwana zako. Hawatufanyi chochote hao mabwana zako.