Uchaguzi 2020 Marekani: Kuanzia leo, tunaweka vizuizi kwa waliohusika na kuvuruga Uchaguzi nchini Tanzania

Kama ukipewa kibano (blacklist) na Marekani na EU, sidhani kama utakuwa uko salama sana, kwa sbb miamba yote ya dunia iko maeneo hayo mawili, including taasisi nyingi za kimataifa.
Unazungumzia Marekani ya kwenye sinema hii!
 
JIWE YEYE AENDE ULAYA KUFANYA NINI KAMA HUKU TU TAYATI ANA ENEO LA ARDHI KAMA TARAFA AU WILAYA NZIMA ANAFUGA MAGOMBE YA ANKOLE .....
 
Hivi misaada huwa wanatoa kwa viongozi au sie wananchi? haya mambo ya vikwazo ni vitu ambavyo haviingii akilini kabisa.

ni kwa wananchi lakini wanatumia tofauti zao kuwakwamisha viongozi
 
Rais waonae alikumbana na rungu la kufungiwa account zake za mawasiliano akiwa madarakani kama rais.
Kule hawacheki na kima yeyote anaetaka kuvuruga na kuinyamazisha demokrasia.
Domekrasia ipi hiyo ya kumkwanyua mwenzao kura halali zaidi ya 9 million!?
 
Mahera akinyimwa visa kwenda USA anaathirika vipi?

Kwanza Mahera aende USA kufanya nini? Kuna nini kule? Hana ndoto za kujiendeleza kimdasomo maana hapo alipo ameshayapatia! Hivyo vikwazo ni bure kabisa

Kitendo cha kupigwa BAN tu ni athari tosha ya kisaikolojia.
 
Huyu Pompeo ashughulike na Uchaguzi wa Marekani.
Trump analalamika hadi leo
 
Mkuu nafikiri saikolojia ya Mahera iko vizuri zaidi ukilinganisha na wanaoshabikia humu wakati hata hela ya kula hawana. Hivyo vikwazo ni hopeless

Sawa Ngoja tuone effect itakayotokea kwao watakavyosagiwa Kunguni na Mabeberu!!
 
Kwan hakuna maisha bila kwenda marekani?
 
Pompeo amebakisha dakika chache tu aende kulima

Hizo restrictions sijui hata wanamuwekea Nani, wanadhani US ni sehemu ya hijja?
Ujinga mzigo!! mnafananisha mifumo ya Nchi za watu wenye akili na huu ujinga wenu kila Rais akiingia madarakani ili aendelee kuiba nakusaga bongo za wajinga anaingia na maulimbiu yakipuuzi kabisa

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Pogeni pini ya miradi yote ya USAID !!
 
Hili suala litabaki kama lilivyo, kwasababu hata EU wanamsimamo huo huo. Wanaelewa kuwa Uchaguzi uligeuzwa kuwa Uchafuzi.
 
Ujinga huu usinge uleta hapa kwa watu,America yenyewe ni lini tulisha ingilia mambo yao?

Nyambafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…