johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Viongozi wetu wanaenda China, yatosha sana bwashee!Ukifikia hatua umeenda marekani na kurudi safari yako dunia hii imeishia hapo, kikichobaki wewe nikujiandaa kwenda mbinguni...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viongozi wetu wanaenda China, yatosha sana bwashee!Ukifikia hatua umeenda marekani na kurudi safari yako dunia hii imeishia hapo, kikichobaki wewe nikujiandaa kwenda mbinguni...
Unazungumzia Marekani ya kwenye sinema hii!Kama ukipewa kibano (blacklist) na Marekani na EU, sidhani kama utakuwa uko salama sana, kwa sbb miamba yote ya dunia iko maeneo hayo mawili, including taasisi nyingi za kimataifa.
Hivi misaada huwa wanatoa kwa viongozi au sie wananchi? haya mambo ya vikwazo ni vitu ambavyo haviingii akilini kabisa.
Hapana. Blacklisted ni Mr No more, no lessItakuwaje kama Kabudi nae yupo kwenye hiyo list?
Domekrasia ipi hiyo ya kumkwanyua mwenzao kura halali zaidi ya 9 million!?Rais waonae alikumbana na rungu la kufungiwa account zake za mawasiliano akiwa madarakani kama rais.
Kule hawacheki na kima yeyote anaetaka kuvuruga na kuinyamazisha demokrasia.
Mahera akinyimwa visa kwenda USA anaathirika vipi?
Kwanza Mahera aende USA kufanya nini? Kuna nini kule? Hana ndoto za kujiendeleza kimdasomo maana hapo alipo ameshayapatia! Hivyo vikwazo ni bure kabisa
Huyu Pompeo ashughulike na Uchaguzi wa Marekani.Kupitia akaunti yake ya Twitter, Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje, Mike Pompeo ameandika "Kuna matokeo ya kuingilia mchakato wa kidemokrasia. Kuanzia leo, tunaweka vizuizi vya visa kwa wale wanaohusika na uvurugaji wa uchaguzi nchini Tanzania. Tunabaki kujitolea kufanya kazi pamoja kuendeleza demokrasia na ustawi wa pande zote kwa nchi zetu zote mbili."
View attachment 1681412
Soma pia: Visa Restrictions on Tanzanians for Undermining the Democratic Process and Human Rights - United States Department of State
___________________________________________________
Marekani imetangaza kuwawekea vikwazo vya vya kuingia nchini humo maafisa wa Tanzania ambao nchi hiyo inawatuhumu kwa kile wanachokitaja kuwa kuharibu uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, mwaka 2020.
Maofisa hao wanatajwa kuhusika kuingilia mchakato wa uchaguzi na kuminya utekelezaji wa demokrasia.
Hata hivyo taarifa hiyo ya wizara ya mambo ya nje ya Marekani haijabainisha ni viongozi gani hasa kutoka Tanzania waliowekewa vikwazo vya kuingia Marekani.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na waziri wa mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo, Waangalizi wa uchaguzi na mashirika ya kiraia wanadai kuwepo kwa udanganyifu katika uchaguzi huo pamoja na uvunjifu wa haki za binadamu wakati na baada ya uchaguzi.
Marekani inasema kuzimwa ama kuzimika kwa mitandao, kuminywa kwa waandishi wa habari na nguvu kubwa iliyotumiwa na jeshi la Polisi kunafanya uchaguzi huo kutokua huru na wa haki.
Katika uchaguzi huo, baadhi ya wagombea kutoka vyama vya upinzani walienguliwa kwa sababu mbalimbali na wengine kukamatwa.
Tume ya uchaguzi nchini humo na hata Serikali kupitia waziri wake wa mambo ya nje, Palamagamba Kabudi ilieleza kwamba uchaguzi ulikua huru na wa haki.
Marekani inasema pamoja na hatua hii iliyochukua dhidi ya maafisa wa Tanzania, inaendelea kufuatilia kwa karibu maendeleo ya hoja hiyo, huku ikisema haitasita kuchukua hatua zaidi dhidi ya wale wanaominya demokrasia na kuvunja haki za binadamu.
''Tunaitaka Tanzania, kuwachukulia hatua wale wote waliohusika kuvuruga uchaguzi, kufanya vurugu na kuleta vitisho'' ilisema sehemu ya taarifa hiyo.
Juhudi za kumpata msemaji wa serikali ya Tanzania kuzungumzia suala hilo mpaka sasa hazijazaa matunda, na tutaendelea kuwatafuta kwa ajili ya kuzungumzia suala hilo
Haya ni moja ya maamuzi ya mwisho ya utawala wa rais Donald Trump ambaye amebakiza saa chache kuachia mamlaka ya urais. Mpaka sasa haijafahamika iwapo utawala wa rais mpya Joe Biden kama utatekeleza maamuzi hayo. Tayari ofisi ya Biden imetangaza kuwa itatengua sera kadhaa za Trump mara tu baada ya kuingia ofisini kesho.
BBC.
Mkuu nafikiri saikolojia ya Mahera iko vizuri zaidi ukilinganisha na wanaoshabikia humu wakati hata hela ya kula hawana. Hivyo vikwazo ni hopelessKitendo cha kupigwa BAN tu ni athari tosha ya kisaikolojia.
Mkuu nafikiri saikolojia ya Mahera iko vizuri zaidi ukilinganisha na wanaoshabikia humu wakati hata hela ya kula hawana. Hivyo vikwazo ni hopeless
Da huyu MTU nuksi sitamani hata kusikia jina lake.Mahera inakuhusu hii
Kwan hakuna maisha bila kwenda marekani?Wakati serikali ya Tanzania ilishapiga marufuku ya kusafiri taangu mwaka 2015 Serikali ya marekani kupitia kwa waziri wa mambo ya nje ndugu Pompeo wamewazuia waliojaribu kuvuruga uchaguzi wa October 2020
Pompeo ame tweet ::
There are consequences for interfering in the democratic process. Starting today, we are imposing visa restrictions on those involved in election interference in Tanzania. We remain committed to working together to advance democracy and mutual prosperity for both our countries.
US babby, muulize Palamakande Kabudi utamu wa kulala Manhattan.Hivi Mtu akiwekewa vikwazo kama hivi anabanwa maeneo gani haswa, yaani anaumiaje maana lengo hapa ni kutoa adhabu.
Ujinga mzigo!! mnafananisha mifumo ya Nchi za watu wenye akili na huu ujinga wenu kila Rais akiingia madarakani ili aendelee kuiba nakusaga bongo za wajinga anaingia na maulimbiu yakipuuzi kabisaPompeo amebakisha dakika chache tu aende kulima
Hizo restrictions sijui hata wanamuwekea Nani, wanadhani US ni sehemu ya hijja?
Spear za bombadi itakuaje na ile chenchi ya 10% iliyoko kuleKwan hakuna maisha bila kwenda marekani?
SEMA huna uwezo wa kwenda huko.Mie mwenyewe raia wa kawaida tu sina hata hamu ya kwenda huko marekani kwa jinsi ninavyoskia kutoka kwa marafiki zangu wa karibu,maisha ya waafrika na watu weusi huko.
Hili suala litabaki kama lilivyo, kwasababu hata EU wanamsimamo huo huo. Wanaelewa kuwa Uchaguzi uligeuzwa kuwa Uchafuzi.Kupitia akaunti yake ya Twitter, Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje, Mike Pompeo ameandika "Kuna matokeo ya kuingilia mchakato wa kidemokrasia. Kuanzia leo, tunaweka vizuizi vya visa kwa wale wanaohusika na uvurugaji wa uchaguzi nchini Tanzania. Tunabaki kujitolea kufanya kazi pamoja kuendeleza demokrasia na ustawi wa pande zote kwa nchi zetu zote mbili."
View attachment 1681412
Soma pia: Visa Restrictions on Tanzanians for Undermining the Democratic Process and Human Rights - United States Department of State
___________________________________________________
Marekani imetangaza kuwawekea vikwazo vya vya kuingia nchini humo maafisa wa Tanzania ambao nchi hiyo inawatuhumu kwa kile wanachokitaja kuwa kuharibu uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, mwaka 2020.
Maofisa hao wanatajwa kuhusika kuingilia mchakato wa uchaguzi na kuminya utekelezaji wa demokrasia.
Hata hivyo taarifa hiyo ya wizara ya mambo ya nje ya Marekani haijabainisha ni viongozi gani hasa kutoka Tanzania waliowekewa vikwazo vya kuingia Marekani.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na waziri wa mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo, Waangalizi wa uchaguzi na mashirika ya kiraia wanadai kuwepo kwa udanganyifu katika uchaguzi huo pamoja na uvunjifu wa haki za binadamu wakati na baada ya uchaguzi.
Marekani inasema kuzimwa ama kuzimika kwa mitandao, kuminywa kwa waandishi wa habari na nguvu kubwa iliyotumiwa na jeshi la Polisi kunafanya uchaguzi huo kutokua huru na wa haki.
Katika uchaguzi huo, baadhi ya wagombea kutoka vyama vya upinzani walienguliwa kwa sababu mbalimbali na wengine kukamatwa.
Tume ya uchaguzi nchini humo na hata Serikali kupitia waziri wake wa mambo ya nje, Palamagamba Kabudi ilieleza kwamba uchaguzi ulikua huru na wa haki.
Marekani inasema pamoja na hatua hii iliyochukua dhidi ya maafisa wa Tanzania, inaendelea kufuatilia kwa karibu maendeleo ya hoja hiyo, huku ikisema haitasita kuchukua hatua zaidi dhidi ya wale wanaominya demokrasia na kuvunja haki za binadamu.
''Tunaitaka Tanzania, kuwachukulia hatua wale wote waliohusika kuvuruga uchaguzi, kufanya vurugu na kuleta vitisho'' ilisema sehemu ya taarifa hiyo.
Juhudi za kumpata msemaji wa serikali ya Tanzania kuzungumzia suala hilo mpaka sasa hazijazaa matunda, na tutaendelea kuwatafuta kwa ajili ya kuzungumzia suala hilo
Haya ni moja ya maamuzi ya mwisho ya utawala wa rais Donald Trump ambaye amebakiza saa chache kuachia mamlaka ya urais. Mpaka sasa haijafahamika iwapo utawala wa rais mpya Joe Biden kama utatekeleza maamuzi hayo. Tayari ofisi ya Biden imetangaza kuwa itatengua sera kadhaa za Trump mara tu baada ya kuingia ofisini kesho.
BBC.
Ujinga huu usinge uleta hapa kwa watu,America yenyewe ni lini tulisha ingilia mambo yao?Kupitia akaunti yake ya Twitter, Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje, Mike Pompeo ameandika "Kuna matokeo ya kuingilia mchakato wa kidemokrasia. Kuanzia leo, tunaweka vizuizi vya visa kwa wale wanaohusika na uvurugaji wa uchaguzi nchini Tanzania. Tunabaki kujitolea kufanya kazi pamoja kuendeleza demokrasia na ustawi wa pande zote kwa nchi zetu zote mbili."