Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Marekani kuchunguza suala la raia wake kuadaiwa kukamatwa na mabomu Tanzania.
je, walimbambikizia kesi ? ili wamkamate mwanajeshi wa marekani wakategemea hawato chunguzwa tunajua mamlaka ya Tanzania imezoea uongo uongo na kubambikizia watu kesi za uongo
=================
Marekani imesema inafuatilia kwa karibu taarifa za kukamatwa kwa mwanajeshi wake ndani ya mipaka ya Tanzania.
Taarifa fupi iliyotolewa kwa Mkuu wa Maudhui wa Crown Media - Salim Kikeke @salim_kikeke na afisa wa ngazi ya juu wa Ubalozi wa Marekani Media imesema:
“Tunafahamu kuwepo na taarifa za raia wa Marekani kukamatwa nchini Tanzania. Tunachukua umuhimu mkubwa jukumu la kusaidia kila raia wa Marekani anayeishi nje ya nchi. Kwa sasa hatuna la zaidi la kulizungumza.”
Umesema ujumbe huo uliotumwa kwa Salim Kikeke baada ya kuhoji taarifa hiyo moja kwa moja ubalozini.
Mtu huyo anadaiwa kuwa na uraia pacha wa Marekani na Kenya.
Soma Pia: Polisi: Tumemkamata Mwanajeshi wa Marekani, cheo cha Sajenti akiwa ana mabomu 4, akitokea Kenya kuingia Tanzania
Hivi karibuni vyombo mbalimbali vya habari ndani na nje ya Tanzania vilitangaza kukamatwa kwa raia wa Marekani akivuka mpaka kuingia Tanzania akiwa na vilipuzi.