mchajikobe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 2,661
- 1,267
Teh teh huyu jamaa kwahiyo Msanii anayeshirikishwa ndiye anaamua kama wimbo uchezwe US? Mi nafikiri ubora wa wimbo ndicho kigezo kikubwa kama ni wimbo wa hovyo utawekwa kapuni tu!!
Kumbe salome ndiyo imemtoa au ungeandika nyingine, huo si ni wa Saida Kaloli!? Mi sijui vizuri mambo haya.Hitmaker huyo wa wimbo wa ‘Salome’ amesema kuwa nyimbo nyingi za wasanii wa Afrika walizowashirikisha wasanii wa Marekani zimekuwa hazichezwi nchini humo.
Amsha zipi ambazo ww unazihitaji?Hapana mkuu...ni hali halisi....
Yani hata hapa nyumbani ni kama watu wako baridi sana.....Zile amsha amsha za Diamond ni kama zimepoa....
Diamond kama ameshaanza kupotea....Toka alivyoboronga kwenye MTV hakuna mtu mwenye tyme naye..
Umepotea ww..Diamond kama ameshaanza kupotea....Toka alivyoboronga kwenye MTV hakuna mtu mwenye tyme naye..
Diamond Platnumz amedai wimbo wake mpya ambao haujatoka ‘Marry You’ aliomshirikisha Ne-Yo utachezwa mpaka kwenye vituo vya redio na runinga nchini Marekani.
Hitmaker huyo wa wimbo wa ‘Salome’ amesema kuwa nyimbo nyingi za wasanii wa Afrika walizowashirikisha wasanii wa Marekani zimekuwa hazichezwi nchini humo.
“Namshukuru Mungu Ne-Yo kanitunuku ni kama bahati wimbo wangu uchezwe mpaka Marekani lakini kwa wasanii wengine wanakataaga,” amekiambia kipindi cha 255 cha Clouds FM.
Tayari video ya wimbo huo imeshafanyika tangu mwezi Septemba mwaka huu huko jijini Los Angeles, Marekani lakini bado haijajulikana muda wa kuachiwa rasmi.
View attachment 429471
Kwahiyo nani anaamua wimbo upigwe Marekani? Jibu swali usiwe kama poyoyoUshamba mzigo.....ukiambiwa kitu uelewe na sio kupinga kila kitu..wimbo wa davido na mikmill haujawahi pigwa marekani....kaa humo
Pokea like yanguvu dude..Yes Thats How Music Is... Utakuwaje Muuza Vitumbua Halafu unaviweka Uvunguni
Duuuu na wewe ni Great Thinker?...... Kwani toka MTV mama ipite katoa wimbo? Au umeona SALOME haija Hit? Hata kama mtu humpendi chuki zingine ziache ziende hata Shetani hata kuunga mkono!Diamond kama ameshaanza kupotea....Toka alivyoboronga kwenye MTV hakuna mtu mwenye tyme naye..
Jana karudia Nigeria... Poor DiamondNi hali halisi...Tuache unafiki...
Mimi ni shabiki wa Diamond ila utumbo alioufanya kule MTV hauvumiliki.....
Kumbe ujui umenaza lini kufatilia mziki sakata la wimbo wa p.square ft rozay wimbo wao kutopata airtime marekani unajua kwann?Teh teh huyu jamaa kwahiyo Msanii anayeshirikishwa ndiye anaamua kama wimbo uchezwe US? Mi nafikiri ubora wa wimbo ndicho kigezo kikubwa kama ni wimbo wa hovyo utawekwa kapuni tu!!
Duuuh tayar mzigo umeachiwa
[HASHTAG]#Worldwidemovements[/HASHTAG]
Bado unaachiwa descembEr wakianza tour n neyoDuuuh tayar mzigo umeachiwa
Ok mkuuBado unaachiwa descembEr wakianza tour n neyo
Dalili njema kwa Diamond Plutnumz, kila la kheri katika safari ya mafanikio
[HASHTAG]#Worldwidemovements[/HASHTAG]
Mara nyingi nimeona Wasanii wetu wakifanya collabo na watu wa nje, lakini imekuwa ni wao ndio wanafanya promo zaidi kwenye page zao lakini huwezi ona hivyo kwenye page za hao walioshikishwa.Kwa utafiti upi ulio fanya nyie ndo darasani mlikuwa mnafauli kwa bahati tu maana hamtaki kushughulisha vichwa kabisa