Marekani kuipa airtime ya kutosha Wimbo mpya wa Diamond na Neyo

Marekani kuipa airtime ya kutosha Wimbo mpya wa Diamond na Neyo

Teh teh huyu jamaa kwahiyo Msanii anayeshirikishwa ndiye anaamua kama wimbo uchezwe US? Mi nafikiri ubora wa wimbo ndicho kigezo kikubwa kama ni wimbo wa hovyo utawekwa kapuni tu!!

Mimi nadhani ni maamuzi ya management ya msanii wa kimataifa uliyemshirikisha ndio inayoweza kuidhiniha lkn kutokana na mikataba waliyoingia na wasanii
 
Hitmaker huyo wa wimbo wa ‘Salome’ amesema kuwa nyimbo nyingi za wasanii wa Afrika walizowashirikisha wasanii wa Marekani zimekuwa hazichezwi nchini humo.
Kumbe salome ndiyo imemtoa au ungeandika nyingine, huo si ni wa Saida Kaloli!? Mi sijui vizuri mambo haya.
 
Diamond Platnumz amedai wimbo wake mpya ambao haujatoka ‘Marry You’ aliomshirikisha Ne-Yo utachezwa mpaka kwenye vituo vya redio na runinga nchini Marekani.

Hitmaker huyo wa wimbo wa ‘Salome’ amesema kuwa nyimbo nyingi za wasanii wa Afrika walizowashirikisha wasanii wa Marekani zimekuwa hazichezwi nchini humo.

“Namshukuru Mungu Ne-Yo kanitunuku ni kama bahati wimbo wangu uchezwe mpaka Marekani lakini kwa wasanii wengine wanakataaga,” amekiambia kipindi cha 255 cha Clouds FM.

Tayari video ya wimbo huo imeshafanyika tangu mwezi Septemba mwaka huu huko jijini Los Angeles, Marekani lakini bado haijajulikana muda wa kuachiwa rasmi.

View attachment 429471

Tayar wamejifunza kitu wale wasiopenda mzk wa Tz usonge mbele
 
Ushamba mzigo.....ukiambiwa kitu uelewe na sio kupinga kila kitu..wimbo wa davido na mikmill haujawahi pigwa marekani....kaa humo
Kwahiyo nani anaamua wimbo upigwe Marekani? Jibu swali usiwe kama poyoyo
 
Kuna watu Humu Diamond hata Afanye Jema Gani Lazimaa wamchukie! Kweli usuper star ni mzigo wa Mwiba! Wengine hata kwenye kwaya tuu walifukuzwa na wamepanga kwenye chumba kimoja haakina Fan wala tiles ni vumbi tuu ila kutwa kwao Diamond ni kumchukia then mnamuomba Mungu awatoe kwenye Janga la Umaskini
 
Teh teh huyu jamaa kwahiyo Msanii anayeshirikishwa ndiye anaamua kama wimbo uchezwe US? Mi nafikiri ubora wa wimbo ndicho kigezo kikubwa kama ni wimbo wa hovyo utawekwa kapuni tu!!
Kumbe ujui umenaza lini kufatilia mziki sakata la wimbo wa p.square ft rozay wimbo wao kutopata airtime marekani unajua kwann?
 
d18c9d70627eac850e63842f880c375c.jpg


[HASHTAG]#Worldwidemovements[/HASHTAG]
 
Kwa utafiti upi ulio fanya nyie ndo darasani mlikuwa mnafauli kwa bahati tu maana hamtaki kushughulisha vichwa kabisa
Mara nyingi nimeona Wasanii wetu wakifanya collabo na watu wa nje, lakini imekuwa ni wao ndio wanafanya promo zaidi kwenye page zao lakini huwezi ona hivyo kwenye page za hao walioshikishwa.
 
Back
Top Bottom