mchajikobe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 2,661
- 1,267
Teh teh huyu jamaa kwahiyo Msanii anayeshirikishwa ndiye anaamua kama wimbo uchezwe US? Mi nafikiri ubora wa wimbo ndicho kigezo kikubwa kama ni wimbo wa hovyo utawekwa kapuni tu!!
Mimi nadhani ni maamuzi ya management ya msanii wa kimataifa uliyemshirikisha ndio inayoweza kuidhiniha lkn kutokana na mikataba waliyoingia na wasanii