Marekani kuipa Ukraine Patriot air defense system ambayo Zelensyky amekuwa akiililia kila Siku: Ila siyo mwarobaini dhidi ya kipigo cha Urusi!

Marekani kuipa Ukraine Patriot air defense system ambayo Zelensyky amekuwa akiililia kila Siku: Ila siyo mwarobaini dhidi ya kipigo cha Urusi!

Makombora ya Patriot yalikuwa kwa ajili ya kutungua Ballistic Missiles za Iran ambazo zitashambulia nchini Saudi Arabia. Kombora moja la Patriot gharama yake Ni $4m sawa na Tsh 9B. Kwahiyo hauwezi kutumia kombora la Tsh 9B kutungua Drone ambayo hata Uharibifu wake Ni Chini ya $100k. Subiri yatue Ukraine uone ndege za Urusi zinazorusha Makombora kutokea Beralus zitakavyo shushwa Chini.

Note
Marekani inapeleka Mfumo mmoja tu wa Patriot nchini Ukraine lakini Urusi inalalamika balaa. Vipi Kama Ukraine angelipewa Mifumo 10 ya Patriot?
Wapi Russia imelalamikia uwepo wa makombora ya Patriot nchini Ukraine - Putinalicho sema yeye ni kwamba Patriot ni ADS za kizamani na Warusi wanao mwarobaini wake - zitalipuliwa kama za ADS za Ujerumani zilizo kuwa zinasifiwa kama nini - ziliishia wapi?? Drones za Waturuki ziliishia wapi, anti Radition air to ground missiles za Kimerikani ambazo Dunia iliiambiwa kwamba hizo ndizo PANADOL,/ASPRIN za kukomesha jeuri ya Urusi kwa kuwa zina uwezo mkubwa waku haribu asilimia 100% ya rada zote za Urusi nchini Ukraine - sasa nini kilikuja tokea baadae, hakuna missile hata moja iliyofanikiwa kiharibu rada hata moja ya Urusi missiles nyingi zilikosea shabaha na kuishia kwenye misitu au infrastructures nyingine lakini sio kwenye rada zenyewe. - Leo hii USA ndio wajifanye Patriot italinda anga za miji zote ya Ukraine!!!
 
PATRIOT ZIMETUMIKA GULF WAR NA SYRIA SIO JAMBO JIPYA WAKATI RUSSIA ALIMPA IRAQ SCUD .SCUD AL ABAS ILIPENYA
 
Kazi mojawapo ya Russian air defence ni kudungua helicopter yao wenyewe Ka-52 kwenye friendly fireView attachment 2453793
Friendly fire kitu cha kawaida kabisa vitani. Hi hutokea kote duniani si TU angani kwa madege Bali hata vikosi vya ardhini Hili hutokea.
Kwa wazoefu wa hizi habari kivita si Jambo la kushangaza.
Na Hapa bingwa was friendly fire Ni Us army na washirika wake . Friendly fire imeua mamia ya Askari wa Kimarekani gulf war, Vietnam war , Korean war, nk.
Ni ajabu kuona friendly fire katika jeshi la Urusi katika mgogoro huu Ni Jambo la kejeli na utaskia wanakwambia Ni unprofessional.
 
Back
Top Bottom