Nje ya mada WAKUU
LPR
DPR
ZAPORINHE
KHERSON
ODESSA loading
Haya maeneo ukitoa ODESSAA kufikia mwexi kesho yatakua sehem ya shirikisho la URUSI na RAIS wao akiwa ni mwamba PUT IN
Sent using
Jamii Forums mobile app
Putin amekutana na west ambao wamedhamiria lolote.
Dilemma ya Putin ipo hapa,
●LNR, DPR, KHERSON zote zinapiga kura ya kujiunga na Russia, and of course probability kubwa matokeo yatakuwa YES, hvyo yakakuwa sehemu ya nchi ya Russia rasmi.
●Russia kutokana na doctrine yao, watatumia silaha za nucleur endapo sehemu ya ardhi yao itashambuliwa kivyovyote. Russia pia wameonya kwamba hata silaha za West zikitumika kushambulia sehemu ya ardhi yao itapelekea nucleur escalation.
●West wameshasema hawatayatambua hayo maeneo mapya kama sehemu halali ya Russia na kwamba ni fair target, na hawatakubali, na wataisaidia Ukraine kuyarudisha hayo maeneo kijeshi.
-Swali la msingi, je, Russia atatumia silaha za Nuclear kutetea ardhi yake mpya? Je, West atakubali?
*Kwenye hili la kutumia silaha za nucleur Ukraine Biden ameshawaounya warusi wasijaribu.
2nd Scenario, Russia anaweza kutoa matokeo ya kura ya maoni yanayoonyesha kushindwa, na kusema ooh look, watu wa DPR, LNR,KHERSON wamekataa kujiunga na Russia na hvyo hakuna umuhimu wa kuyatetea, hivyo kuwa way out kwa putin kwenye huu mgogoro.
Katika scenario ya Nucleur, wachambuzi wanasema hakuna jinsi US atakaa kimya endapo silaha hizi zitatumika Ukraine, na lazima wata-respond massively ili hata China, Iran, North Korea asijaribu au hata kufikiria kuzitumia dhidi ya nchi nyingine.