Marekani kuiuzia Taiwan silaha za Dola Bilioni 1.1

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Marekani imeidhinisha uwezekano wa kuiuzia silaha Taiwan zenye thamani ya Dola Bilioni 1.1, hatua ambayo inaweza kuzidisha mvutano ambao tayari upo kati ya Marekani na China.

Mauzo hayo yatajumuisha makombora 60 ya kukinga meli, makombora 100 ya angani na msaada wa vifaa vya ufuatiliaji wa rada.

Pamoja na hivyo, Bunge la Marekani lina nafasi ya kupinga uuzwaji huo, lakin hakuna uwezekano wa kufanya hivyo kwa kuwa Wabunge wao wengi kutoka vyama vyote wanaiunga mkono Taiwan.



===============================-


US approves potential $1.1bn weapons sale to Taiwan

The United States has approved the potential sale of $1.1bn in weapons to Taiwan, the Pentagon announced, in a move that will likely worsen already heightened tensions between Washington and Beijing.

The Pentagon’s Defense Security Cooperation Agency said on Friday that the arms package would include 60 anti-ship missiles, 100 air-to-air missiles and contractor logistics support for a surveillance radar programme.

US news outlet Politico first reported earlier this week on the potential US weapons deal. While Congress can still disapprove the sale, it is unlikely to do so as US lawmakers from both major parties strongly support Taiwan.

A spokesperson for the US Department of State, which approved the sale, said the package was “essential for Taiwan’s security”.

“These proposed sales are routine cases to support Taiwan’s continuing efforts to modernise its armed forces and to maintain a credible defensive capability,” the spokesperson said.

The Pentagon’s announcement comes amid strained relations between the US and China, which has not ruled out the use of force to take control of Taiwan, a self-governed island that China views as part of its territory.

China called on Friday for the United States to “immediately revoke” the arms sales.

Liu Pengyu, spokesman for the Chinese embassy in Washington, said Beijing would respond.

“It sends wrong signals to ‘Taiwan independence’ separatist forces and severely jeopardises China-US relations and peace and stability across the Taiwan Strait,” he said.

“China will resolutely take legitimate and necessary counter-measures in light of the development of the situation.”

Taiwan’s defence ministry expressed thanks to the US, adding that China’s recent “provocative” activities represented a serious threat and the arms sale would help it face China’s military pressure.

“At the same time, it also demonstrates that it will help our country strengthen its overall defence capabilities and jointly maintain the security and peace of the Taiwan Strait and the Indo-Pacific region,” the ministry said in a statement.


Source: Aljazeera
 
Nilitaraji ni msaada.Kumbe !
 
Marekani kamaliza upande wake,Sasa kazi imebaki kwa China kuchukua uamuzi.

1. 60 Ant-Ship Missiles. Haya Ni Makombora 60 za Masafa Marefu (1200km) ya kuzamisha Meli. Makombora haya Ni GPS Guided Missiles na yanaweza kubebwa na Ndege za Kivita za F-16 au Kurushwa kutoka kwenye Meli za Kivita za Taiwan. Wakati Ukraine Haina hata ndege moja ya Kimarekani Aina ya F-16,Taiwan Ina ndege 180 za F-16 alizonunua kutoka Marekani Tangu 1982. Kwahiyo China akivamia,ajiandae Meli zake 60 za Kijeshi kuzamishwa.Je,Yuko Tayari? Ngoja tuone.

2. 100 Air-to-Air Missiles. Haya Ni Makombora ya Masafa Marefu (850km) ambayo yanarushwa na ndege za Kijeshi Aina ya F-16. Hii ni kwa ajili ya Dog Fight. Kwahiyo China ajiandae kukabiliana na ndege 50 za Taiwan Aina ya F-16 angani huku kila moja ikiwa na Makombora 2 ya Masafa Marefu yenye uwezo wa kuangusha ndege za China umbali wa 850km.

Kiufupi TU Ni kwamba,Maji yalishakuwa Marefu kwa China kuivamia Taiwan. Hasara Ni kubwa Sana kuliko faida. Ukraine Haina hata Meli moja ya Kivita wakati Taiwan ikiwa na Meli 35 za Kivita (Guided Warship).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…