hadi Marekani wanaojinadi ni wakuu wa Demokrasia haya mambo yapo
Majimbo mekundu alikoshinda Trump ID zinahitajika, Majimbo ya Blue alikoshinda Kamala ID hazihitajiki, kama zinahitajika zisiwe na picha
NON PHOTO ID - Mpiga kura anahitaji nyaraka yoyote isiyo na picha kuthibitisha utambulisho wake, mfano bank statement, bili ya maji, kitambuliisho cha shule, risiti, n.k.
NO ID - Mpiga kura hatakiwi kuonesha kitambulisho chochote, utafika sehemu ya kupiga kura, utaandika jina lako na kuweka sahihi, imeisha hio !!
Hali hii imepelekea kuiba kura, mtu moja anaweza kupiga kura mara nyingi maeneo tofauti, mamilioni ya maharamia walioingizwa awamu ya Biden na kupelekwa majimbo hayo wameweza kupiga kura,
Sehemu zfuatazo ni lazima uwe na kitambulisho chenye picha, unapoishi, mawasilano, tarehe ya kuzaliwa, utaifa, n.k.
- kununua nyumba
- kuendesha gari
- kulipia chumba hotel
- kukata tiketi ya ndege
- kukodi gari / boti
- kuchukua mzigo posta
- kujiandkisha shule / chuo
- kuoa / kuolewa
- kutuma pesa
- kununua bunduki
- n.k.