Teh! Hamas wanataka wao washirikishwe! Sijui huo ubaguzi wanaouzungumzia wa mgao wa chakula toka kwa makafir ni nani wanahisi atabaguliwa? Majambazi kweli hao.Maafisa kutoka Hamas na mashirika ya umoja wa mataifa wamesema mpango huo unafanana sana na ule uliotajwa na Israel hivi karibuni ambao utakuwa ukitoa misaada hiyo kibaguzi na kuwanyima wahitaji wengi misaada hiyo.
Hamas na UN wamesema mpango huo unaweza usifanikiwe bila wao kushirikishwa kikamilifu kutokana na uzoefu wao.
Acheni uongo, nimeiona hii taatifa kwenye Aljazira, markani itagawa vyakula chini ya ulinzi wa askari kutoka Israel lakini Israel haitajihusiha na ugawaji huo " Israel itatoa ulinzi kuhakikisha midaada haijibiwi na magaidiMwanadiplomasia wa Marekani nchini Israel amefichua mpango ambao utaanza hivi punde wa kuingiza misaada eneo la Gaza ili kuokoa maisha.
Huckabee amesema mpango huo utashirikisha makampuni binafsi na kwamba Israel haitohusika isipokuwa kwenye ulinzi tu kwani hilo ni eneo la vita bado.Mpango huo unakwenda sambamba na ziara ya Trump inayoanza hivi karibuni mashariki ya kati.
Maafisa kutoka Hamas na mashirika ya umoja wa mataifa wamesema mpango huo unafanana sana na ule uliotajwa na Israel hivi karibuni ambao utakuwa ukitoa misaada hiyo kibaguzi na kuwanyima wahitaji wengi misaada hiyo.
Hamas na UN wamesema mpango huo unaweza usifanikiwe bila wao kushirikishwa kikamilifu kutokana na uzoefu wao.
Kwa vyovyote vile mpango huu utaleta nafuu kwa malaki ya wapalestina wanaokaribia kufa kwa njaa na itakuwa ni pigo kiasi fulani kwa malengo Israel iliyojipangia mwanzoni mwa vita.
Makundi ya kihafidhina ya kiyahudi tayari nayo yamelaani mpango huo bila kuhusisha na masharti ya kuachiwa mateka wote waliobaki.
Ngoja tuone itakavyokuwa.Acheni uongo, nimeiona hii taatifa kwenye Aljazira, markani itagawa vyakula chini ya ulinzi wa askari kutoka Israel lakini Israel haitajihusiha na ugawaji huo " Israel itatoa ulinzi kuhakikisha midaada haijibiwi na magaidi
Mkuu hiyo ndo inaitwa bora kula sumu, kuliko kufa na njaa.Hahaha msaga sumu ndiye mgawaji wa chakula utakubali kweli?
Akili kama zako ndio zimesababisha hadi leo vita haiishi..Hapi vyakula vishawekewa sumu kama zote.
Hawatazaliana hovyo,wengine hawatadisa
Bora kinyume chake, nife na njaa kuliko kufa kwa sumu.Mkuu hiyo ndo inaitwa bora kula sumu, kuliko kufa na njaa.
Mkuu wanasema bora kujaribu, kuliko kujaribu kushindwa.Bora kinyume chake, nife na njaa kuliko kufa kwa sumu.
Msaga sumu sili chakula chake, kifo kipo tu lakini bora nichelewe.Mkuu wanasema bora kujaribu, kuliko kujaribu kushindwa.
Nyani wale wale isipokuwa tu pori ndiyo tofauti.Mwanadiplomasia wa Marekani nchini Israel amefichua mpango ambao utaanza hivi punde wa kuingiza misaada eneo la Gaza ili kuokoa maisha.
Huckabee amesema mpango huo utashirikisha makampuni binafsi na kwamba Israel haitohusika isipokuwa kwenye ulinzi tu kwani hilo ni eneo la vita bado.Mpango huo unakwenda sambamba na ziara ya Trump inayoanza hivi karibuni mashariki ya kati.
Maafisa kutoka Hamas na mashirika ya umoja wa mataifa wamesema mpango huo unafanana sana na ule uliotajwa na Israel hivi karibuni ambao utakuwa ukitoa misaada hiyo kibaguzi na kuwanyima wahitaji wengi misaada hiyo.
Hamas na UN wamesema mpango huo unaweza usifanikiwe bila wao kushirikishwa kikamilifu kutokana na uzoefu wao.
Kwa vyovyote vile mpango huu utaleta nafuu kwa malaki ya wapalestina wanaokaribia kufa kwa njaa na itakuwa ni pigo kiasi fulani kwa malengo Israel iliyojipangia mwanzoni mwa vita.
Makundi ya kihafidhina ya kiyahudi tayari nayo yamelaani mpango huo bila kuhusisha na masharti ya kuachiwa mateka wote waliobaki.
Hivi we umepata kujua kwanini taifa takatifu km israel, linashirikiana na taifa la marekani ambalo ndo kinara wa kupushi ajenda za kishetani, je! kweli mungu na shetani wanaweza kushirikiana?.Msaga sumu sili chakula chake, kifo kipo tu lakini bora nichelewe.
Hawa watu wanampango kuwahamisha raia wa palestina kutoka gaza ili waijenge kama mji wa biashara.
Leo wagawe chakula Gaza halafu wapokee hicho chakula watakuwa wajinga.