Marekani kusimika TPS-80, nayo Uhispania kusimika TPS-43 pale Romani, maskini Urusi analo

Wampe Silaha kali apige Moscow na miji mikubwa ya Russia

mpate cha kujifunza nyinyi wanazi.
Kiev yenyewe ni mji mkubwa wa Russia na wameshajipiga dole wenyewe........anzeni kupanda Scandinavia gari inakuja
 
Usikae hapo utegemee ujibiwe utakavyo wewe, kila mmoja ana maoni yake na tena sote tunashuhudia hii vita tangu Mrusi alipojaribu kuparamia Kyev na mpaka leo anavyoteseka, tunaona sote tena bayana.
Kyiv imesha papaswa.
 
Mie Nina wasiwasi kama kweli wewe ni mkenya😄
Mbona huandiki ATI kweny sentensi zako😬😬
 
Sio mkenya huuyu anajua kiswahili vizuri na kutwa anashinda jf badala ya kule kwao ktalk kutwa kueneza propaganda za mabwana zake wanaomtuma
 
Kumbe🤣🤣🤣
Huyu jamaa tokea muda sana yupo anajitambulisha mkenya ila lugha yake ukiifatilia vizuri ni kama MTanzania sio mkenya huyu.......we soma vizuri post zake.............Mkenya hasa yule wa huko kati anajuaga kiswahili cha mombasa ni kama cha Tanzania hajui kuna tofauti,,,,,sasa huyu kiswahili chake hata kwenye umombasa hakipo huyu ni mbongo sema tu sababu ya id bandia na anafanya kazi aliyotumwa na mabwana. Zake
 
Atakuwa anapenda sana kuitwa mkenya. Ila kweli mbongo anaona Kenya ni pa ukweli mpaka aukane ubongo wake😬🤣
 
Hao walamba miguu wa mabeberu ndo maana wanatabia za shobo kama wakenya halisi
 
Watu wanaona vita vimewashinda na urusi anapokea kipondo wameanza kumshambulia mleta mada.
 
Back
Top Bottom