Kiev yenyewe ni mji mkubwa wa Russia na wameshajipiga dole wenyewe........anzeni kupanda Scandinavia gari inakujaWampe Silaha kali apige Moscow na miji mikubwa ya Russia
mpate cha kujifunza nyinyi wanazi.
Kyiv imesha papaswa.Usikae hapo utegemee ujibiwe utakavyo wewe, kila mmoja ana maoni yake na tena sote tunashuhudia hii vita tangu Mrusi alipojaribu kuparamia Kyev na mpaka leo anavyoteseka, tunaona sote tena bayana.
Sio mkenya huuyu anajua kiswahili vizuri na kutwa anashinda jf badala ya kule kwao ktalk kutwa kueneza propaganda za mabwana zake wanaomtumaMie Nina wasiwasi kama kweli wewe ni mkenya😄
Mbona huandiki ATI kweny sentensi zako😬😬
Kumbe🤣🤣🤣Sio mkenya huuyu anajua kiswahili vizuri na kutwa anashinda jf badala ya kule kwao ktalk kutwa kueneza propaganda za mabwana zake wanaomtuma
Huyu jamaa tokea muda sana yupo anajitambulisha mkenya ila lugha yake ukiifatilia vizuri ni kama MTanzania sio mkenya huyu.......we soma vizuri post zake.............Mkenya hasa yule wa huko kati anajuaga kiswahili cha mombasa ni kama cha Tanzania hajui kuna tofauti,,,,,sasa huyu kiswahili chake hata kwenye umombasa hakipo huyu ni mbongo sema tu sababu ya id bandia na anafanya kazi aliyotumwa na mabwana. ZakeKumbe🤣🤣🤣
Atakuwa anapenda sana kuitwa mkenya. Ila kweli mbongo anaona Kenya ni pa ukweli mpaka aukane ubongo wake😬🤣Huyu jamaa tokea muda sana yupo anajitambulisha mkenya ila lugha yake ukiifatilia vizuri ni kama MTanzania sio mkenya huyu.......we soma vizuri post zake.............Mkenya hasa yule wa huko kati anajuaga kiswahili cha mombasa ni kama cha Tanzania hajui kuna tofauti,,,,,sasa huyu kiswahili chake hata kwenye umombasa hakipo huyu ni mbongo sema tu sababu ya id bandia na anafanya kazi aliyotumwa na mabwana. Zake
Hao walamba miguu wa mabeberu ndo maana wanatabia za shobo kama wakenya halisiAtakuwa anapenda sana kuitwa mkenya. Ila kweli mbongo anaona Kenya ni pa ukweli mpaka aukane ubongo wake😬🤣
usiturudishe zama za giza ? heshimu mada inachotakaUsilazimishe watu wafungie akili zao ndani ya box!
wao sio vichaa kama Putin , anaamka nataka Ukraine iwe ndan ya UrusiSasa NATO kama wanaamini mavitu Haya yanawapa uwezo si wapeleke majeshi yao kama Afghanistan au Iraq !!
Open minded people wanajadili mada Kwa mapana yakeusiturudishe zama za giza ? heshimu mada inachotaka
Aliyekwambia US inaharaka Nan ,taratibu kwa uhakika kaunta bado taarifa hazijajaa kaunta likijaa urusi kuja kusimama miaka 60 Tena ijayoWampe Silaha kali apige Moscow na miji mikubwa ya Russia
mpate cha kujifunza nyinyi wanazi.