Marekani kutumia trilioni 98.9 Tzs katika vita dhidi ya Irani hadi mwezi Septemba 26

Marekani kutumia trilioni 98.9 Tzs katika vita dhidi ya Irani hadi mwezi Septemba 26

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Haya ndio makadirio ya gharama ya vita vinavyoendelea dhidi ya Irani.

Unaweza kuona ni namna gani duniani tunavyotifautiana na hivyo tusipende kukopi na kupaste yaliyopo nje na kutaka yatumike hapa kwetu.

Bado tunayo safari ndefu ya kujipanga na kutekeleza.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
==
WASHINGTON — Facing down senators’ questions about an Iran spending request, Defense Secretary Pete Hegseth said that he expects “certain aspects” of the Iran war to cost $37.5 billion through the end of September.

During a hearing on Capital Hill today Hegseth did not detail just what is excluded from that total but said by the end of fiscal 2026, or Sept. 30, it would cover military pay, operation and maintenance, and other “anticipated costs.” That figure is up from the $25 billion price tag given in late April and the $29 billion offered a month later for costs incurred so far.

It’s tens of billions of dollars less, however, than the $67.1 billion the Trump administration has requested in defense funds it says it needs related to the Iran conflict as part of a larger, nearly $90 billion supplemental request. The administration has said that money would pay for everything from restocking munitions to drone purchases to classified programs.

Source: Breaking defense
 
Haya ndio makadirio ya gharama ya vita vinavyoendelea dhidi ya Irani.
Unaweza kuona ni namna gani duniani tunavyotifautiana na hivyo tusipende kukopi na kupaste yaliyopo nje na kutaka yatumike hapa kwetu.
Bado tunayo safari ndefu ya kujipanga na kutekeleza.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Machawa ya Samia yakiambiwa Elimu imeboreshwa nchini yanashangilia kama mazuzu huku watoto wa mawaziri wa kupachikwa wakipelekwa shule binafsi sasa kama Elimu imeboreshwa kwanin wasisome hizo shule, ccm ni washenzi sana.
 
Punguza mihemko rudi kwenye mada ielewe vyema
 
Hauoni kama dunia ni ujinga , hizo pesa wangeweza kuweka gharama bure kwa baadhi ya huduma nchini kwao , bado wanasemawatu waendelee kupata tabu , huku pesa ndefu inapelekwa kwenye vita .
 
Hauoni kama dunia ni ujinga , hizo pesa wangeweza kuweka gharama bure kwa baadhi ya huduma nchini kwao , bado wanasemawatu waendelee kupata tabu , huku pesa ndefu inapelekwa kwenye vita .

Watapata zaidi ya hizo. Hao sio wajinga. Vita kwao ni biashara.
Wakishinda watachukua zaidi ya hizo.
 
Mbona hapa akina Abdul wanatumia hela za serikali kufanya uhalifu mwingi tu huku watanzania wakiwa hawana kabisa huduma za kijamii lakini hakuna anayekohoa...!!!
 
Watapata zaidi ya hizo. Hao sio wajinga. Vita kwao ni biashara.
Wakishinda watachukua zaidi ya hizo.
Ni wajinga na ndio maana sasa hivi wanashituka usingizini hatua za kimaendeleo anazopiga China.

Vita siku zote ni upuuzi hakuna faida kwenye vita zaidi ya hasara tu labda ufisadi wa kupindukia
 
Ni wajinga na ndio maana sasa hivi wanashituka usingizini hatua za kimaendeleo anazopiga China.

Vita siku zote ni upuuzi hakuna faida kwenye vita zaidi ya hasara tu labda ufisadi wa kupindukia
Siku ukijua faida ya vita utatamani kila muda uanzishe vita........
 
Siku ukijua faida ya vita utatamani kila muda uanzishe vita........
Vita hazina faida.

Ni mtu mpumbavu pekee ambae anaona mauaji ya watu na uharibifu ni jambo lililo jaa faida kuliko hasara.
 
Na bado atatumia Sana tu kama akizidi kukaa muda mrefu kwenye vita, kumbuka muda wowote US wanaweza kuingia Iran, Trump kajichanganya kukaa muda mrefu kwenye hii vita na Hiki ndicho exactly Israel alichotaka ili amvunje nguvu Iran coz nafasi ya Aina hii aliisubiria miaka zaidi ya ishirini. US Hana option zaidi kuendelea kushambulia then Iran nao wamejiandaa na hii vita muda mrefu hasa kwenye strategic decision maana hawawezi kushindana na US & Israel Kwa pamoja, inachofanya Iran ni kukamata na kuharibu sehemu muhimu za oxygen ya uchumi na hapo ndipo Tatizo linakuja.
 
Back
Top Bottom