Marekani: Mkuu wa Idara ya Ulinzi wa Viongozi (Secret Service) ajiuzulu

Marekani: Mkuu wa Idara ya Ulinzi wa Viongozi (Secret Service) ajiuzulu

Black Butterfly

Senior Member
Joined
Aug 31, 2022
Posts
130
Reaction score
368
U.S Mkurugenzi wa Huduma ya Ulinzi wa Viongozi (Secret Service) Kimberly Cheatle amejiuzulu baada ya shinikizo kutoka kwa wabunge kumtaka ajiuzulu kufuatia kushindwa kudhibiti shambulio la jaribio la mauaji ya Rais wa zamani Donald Trump mnamo Julai 13, vyanzo vitatu viliiambia NBC News.

Kujiuzulu kwa Cheatle kunakuja siku moja baada ya kukabiliwa na maswali kutoka kwa wabunge wenye hasira kutoka pande zote mbili ambao walikuwa wamekasirishwa na kushindwa kwa Huduma ya Siri kumlinda Trump.

WASHINGTON — U.S. Secret Service Director Kimberly Cheatle has stepped down after widespread calls from lawmakers for her to resign following the assassination attempt of former President Donald Trump on July 13, three sources told NBC News.

An official announcement on her resignation is expected later this morning, two law enforcement sources said.

Cheatle’s resignation comes a day after she faced questions from angry lawmakers from both parties who were exasperated over the Secret Service’s failure to protect Trump.

Her responses didn’t satisfy the leaders of the House Oversight Committee, which held the hearing Monday.

“Today, you failed to provide answers to basic questions regarding that stunning operational failure and to reassure the American people that the Secret Service has learned its lessons and begun to correct its systemic blunders and failures,” Chairman James Comer R-Ky., and Ranking Member Jamie Raskin, D-Md., wrote in a joint letter to Cheatle hours after the hearing ended.

The two members said that the committee and American people “demand serious institutional accountability and transparency that you are not providing,” especially during a presidential election year.

“We call on you to resign as Director as a first step to allowing new leadership to swiftly address this crisis and rebuild the trust of a truly concerned Congress and the American people,” they wrote.

Speaker Mike Johnson, R-La., and several other top Republicans, including House Majority Leader Steve Scalise, R-La., and Senate Republican Conference Chairman John Barrasso, R-Wyo., had called on Cheatle to resign.

“She needs to go,” Barrasso, told NBC News’ Hallie Jackson after a Senate briefing on the shooting last week.
Screenshot_2024-07-23-18-03-57-216_com.brave.browser_beta-edit.jpg
 
Marekani wanafanya makosa ambayo hata Bongo hawawezi kufanya.

I mean Some-year yeye ana ulinzi wa msafara wa magari 100 kwa mkupuo!

Marekani nadhani wajifunze kwetu. Hilo si kosa wala fedheha.
 
Trump ndiye binadamu mwenye thamani zaidi kwa sasa chini ya Jua. Ulinzi wake unatakiwa kuwa wa kiwango cha juu kuliko kiumbe chochote.

"God created only two genders"; Mungu ambariki sana.
 
Tofauti ya hao watu na sisi ni kama usiku na mchana, yaani sisi huku huyo aliyejiuzulu ndio anatumwa kumuua kiongozi wa upinzani kama huyo Trump alivyo yaani kama walivyomfanya Lissu.

Ndio maana Afrika kuendelea ni ndoto na hata Mungu anazidi tu kutulaani. Bure kabisa.
 
Tatizo ni kwamba si kila mtu aweza kuwa kiongozi khasa wa idara za usalama.

Huyo mwanamke ametumikia idara hiyo kwa miaka 27 lakini kashindwa kuingoza kiufanisi.
 
Back
Top Bottom