Marekani: Moto Mkali Wateketeza Ekari 3,000 na Kuwafurusha Maelfu ya Watu Los Angeles

Mmh, Kuna dada angu kule anasema Wala hiko sio chanzo km wanavyosema , wamefanya yao Ili wajengee makazi mapya hapo maghorofa hapo
Huenda ikawa kweli maana wao si ndio wako huko na wanajua local politics namna zinaenda
Ila wildfire imekuwa ikiwasumbua sana US na Australia kwa mda mrefu
 
hapo wana adhibiwa wale lost angels wafuasi wa lucifer unaambiwa yanayofanyika los angeles kwa sasa ni zaidi ya sodoma na gomora
 
Kariakoo .upaanga ulitutembelea pia msumbij kimbunnga fred pia upanga uliwatembelea hv vitu ni vya kisayansi si vya kimwamposa na shkhe kishk
Vyovyo utakavyoona akili yako na fikira zako zinakokupeleka lakini fahamu yuko Mungu aliyezisimamisha mbingu na kuitandika ardhi na vilivyomo na yeye ndio muweza wa kila kitu.
Kuendelea kujipa moyo it is good for northing.
 
Mioto ya maporini hiyo. Kipande cha sigara kimetupwa ovyo kinasambaa.
Wazungu pia wana itikadi hiyo hiyo wanaita Wildfire,
get your head my brother, Allah is the Greatest
 
Daaaa tuseme ikiwa kweli aya ni majanga ya asili basi kweli mungu Fundi nyumba zote zile sijaona popote Duniani niwe mkweli ktk huu moto hatari sana.
Mungu hafanyiwi dhihaka hata siku moja mkuu. Watoto wadogo wanakufa Gaza bila hatia yoyote kwa silaha za Marekani..
 
Mungu hafanyiwi dhihaka hata siku moja mkuu. Watoto wadogo wanakufa Gaza bila hatia yoyote kwa silaha za Marekani..
Waislamu eleweni moto huo umesababishwa na upepo mkali wa Santa Ana sio allah. Mtakatifu Ana sio muislamu, hili ni jina la kikatoliki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…