Marekani: Moto Mkali Wateketeza Ekari 3,000 na Kuwafurusha Maelfu ya Watu Los Angeles

Marekani: Moto Mkali Wateketeza Ekari 3,000 na Kuwafurusha Maelfu ya Watu Los Angeles

Tena nakumbuka kulr Mafinga miaka ya nyuma ulitokea moto, ukaunguza msitu wa miti ya kupanda ekari laki 1, siyo hizo ekari elfu 3 za USA. Australia pia wamewahi kukumbwa na majanga mengi ya moto.

Nchi zote ambazo zipo strict sana na masuala ya utunzaji wa mazingira, siyo ajabu kukumbwa na majanga ya moto.
 
Tena nakumbuka kulr Mafinga miaka ya nyuma ulitokea moto, ukaunguza msitu wa miti ya kupanda ekari laki 1, siyo hizo ekari elfu 3 za USA. Australia pia wamewahi kukumbwa na majanga mengi ya moto.

Nchi zote ambazo zipo strict sana na masuala ya utunzaji wa mazingira, siyo ajabu kukumbwa na majanga ya moto.
 
Mmh, Kuna dada angu kule anasema Wala hiko sio chanzo km wanavyosema , wamefanya yao Ili wajengee makazi mapya hapo maghorofa hapo

Huu ujinga huwa wanapenda sana kuuneza ili wasionakane kama wameshindwa bali waendelee kuonekana ya kuwa wanauwezo na hawashindwi kitu.

Habari kama hizi si za kuzisadiki au kuzikanusha.
 
Najua mtaniponda nyie WAPINGA MUNGU
ila MALIPO NI DUNIANI AKHERA huesabiwa
ukiua kwa UPANGA si lazima na wewe uuliwe kwa UPANGA mkali

MWENYENZIMUNGU atakulipa kwa namna yoyote mpaka MOYO wako utasema hakika haya sasa ndio malipo ya ubaya wangu

pia soma hapa
[URLunfurl="true"]Janga la Moto Marekani: Unaweza Kudhani Vita Vimetokea Katika Eneo Hili[/URL]


[URLunfurl="true"]Marekani yakumbwa na moto mkubwa[/URL]
Kumbe haya maeneo ni kawaida kukumbwa na majanga ya moto...
 
Moto mkali umezuka katika eneo la juu la Pacific Palisades huko Los Angeles, na kusababisha uhamishaji wa hofu.

Moto huo, unaosababishwa na upepo mkali wa Santa Ana , tayari umeteketeza karibu ekari 3,000 (hekta 1,200) na kuharibu nyumba nyingi.

Takriban wakaazi 30,000 wameamriwa kuhama huku wengi wakitelekeza magari yao na kukimbia kwa miguu.

Eneo hilo, ambalo lina nyumba za watu mashuhuri, limeathiriwa vibaya na moto huo unaoenea kwa kasi.

Gavana wa California, Gavin Newsom, ametangaza hali ya dharura na kuwataka wakazi kufuata maagizo ya uhamishaji ili kuhakikisha usalama wao. Tayari kikosi cha Zimamoto cha Los Angeles kiko kwenye eneo hilo kupambana na moto huo na kuokoa maisha na mali.

View attachment 3196285
Hii ni kazi ya MUNGU
NI bonge la somo
Babu zao WALIMCHA MUNGU wakafanikiwa...
wao wanamkufuru MUNGU wanachapika...
 
Mungu hafanyiwi dhihaka hata siku moja mkuu. Watoto wadogo wanakufa Gaza bila hatia yoyote kwa silaha za Marekani..
We nae unaongea nini! Kama allah anajibu kwa kuangamiza Gaza si ingewaka Tel avivi?Yaani kupiga apige Israeli,aangamizwe USA!Huyo mungu ana akili kweli?NATO yote inamsaidia Israel kupiga Gaza,kwa nini moto usiunguze miji yao?Huo moto ni mkono wa MUNGU ila sio huyo mungu wenu wa waarabu..MUNGU wa kweli kama angeadhibu kwa kulipa kisasi cha Gaza angeadhibu Israeli katika hali ambayo waathirika wenyewe wangetambua kwa nini wanaadhibiwa.Mungu hawezi kufanya jambo bila kuwafunulia watumishi wake manabii siri yake.(AMOSI 3:7).Mungu wa kweli anaiadhibu miji mikubwa iliyofika kipimo cha uvumilivu wa MUNGU kwa uovu unaofanyika humo.Kwa mfuatiliaji wa mambo atajua maovu yanayifanyika katika miji hiyo.Na mioto itaendelea kutokea kwenye miji mikubwa kadri siku zinavyokaribia mwisho.Tokeni mijini mkaishi mashambani.Huko hadi uovu ufike kikomo cha uvumilivu wa MUNGU basi Yesu atakuwa sebuleni.
 
Basi kama ni hivyo huu moto ungeanzia Tel Aviv
Umemjibu vema sana huyu mtu.Uovu wafanye Israeli,kuadhibiwa aadhibiwe USA!MUNGU hafanyi upumbavu huo.Labda allah.Na kama allah ndo anafanya hivyo basi ni dhaifu.Kashindwa kufika TelAviv,kaona hasira yake iishie Los Angeles.
 
Back
Top Bottom