Simao Latino
JF-Expert Member
- Jan 11, 2025
- 477
- 608
Hakuna mlugaluga anayeweza kung'amua undercover operations kama hizo za U.S government..Huenda ikawa kweli maana wao si ndio wako huko na wanajua local politics namna zinaenda
Ila wildfire imekuwa ikiwasumbua sana US na Australia kwa mda mrefu
Hakika Mungu hana mpinzani..Vyovyo utakavyoona akili yako na fikira zako zinakokupeleka lakini fahamu yuko Mungu aliyezisimamisha mbingu na kuitandika ardhi na vilivyomo na yeye ndio muweza wa kila kitu.
Kuendelea kujipa moyo it is good for northing.
Mimi sio Muislam, jua hilo kwanza..Waislamu eleweni moto huo umesababishwa na upepo mkali wa Santa Ana sio allah. Mtakatifu Ana sio muislamu, hili ni jina la kikatoliki.
Mmh, Kuna dada angu kule anasema Wala hiko sio chanzo km wanavyosema , wamefanya yao Ili wajengee makazi mapya hapo maghorofa hapo
Basi kama ni hivyo huu moto ungeanzia Tel AvivMungu hafanyiwi dhihaka hata siku moja mkuu. Watoto wadogo wanakufa Gaza bila hatia yoyote kwa silaha za Marekani..
Nitaenda tu km mabara mengine nimeenda ht huko nitaendaAah basi sawa jitahidi uende kuosha macho ni muhimu
Who sponsors Tel Aviv with Billions of Dollars worth of armaments each year?? Plus diplomatic cover at the UN??..Basi kama ni hivyo huu moto ungeanzia Tel Aviv
Dah kumbe wakishua flani!nakukubali sanaNitaenda tu km mabara mengine nimeenda ht huko nitaenda
Jmn kusafiri Nako kunahusiana na WA kishua tu๐ฎ๐๐Dah kumbe wakishua flani!nakukubali sana
Yani ukijua kucheck in na kuvua vitu vyenye chuma chuma we unakaushua tayariJmn kusafiri Nako kunahusiana na WA kishua tu๐ฎ๐๐
๐๐๐๐ UnazinguaYani ukijua kucheck in na kuvua vitu vyenye chuma chuma we unakaushua tayari
Ntakutafuta
Amini,nitakucheki US tuongozane kusafisha macho kule ukiwa na kampani unyama sana๐๐๐๐ Unazingua
Kumbe haya maeneo ni kawaida kukumbwa na majanga ya moto...Najua mtaniponda nyie WAPINGA MUNGU
ila MALIPO NI DUNIANI AKHERA huesabiwa
ukiua kwa UPANGA si lazima na wewe uuliwe kwa UPANGA mkali
MWENYENZIMUNGU atakulipa kwa namna yoyote mpaka MOYO wako utasema hakika haya sasa ndio malipo ya ubaya wangu
pia soma hapa
[URLunfurl="true"]Janga la Moto Marekani: Unaweza Kudhani Vita Vimetokea Katika Eneo Hili[/URL]
[URLunfurl="true"]Marekani yakumbwa na moto mkubwa[/URL]
Ngoja nitoke huku Kwa madiba ๐Amini,nitakucheki US tuongozane kusafisha macho kule ukiwa na kampani unyama sana
Hii ni kazi ya MUNGUMoto mkali umezuka katika eneo la juu la Pacific Palisades huko Los Angeles, na kusababisha uhamishaji wa hofu.
Moto huo, unaosababishwa na upepo mkali wa Santa Ana , tayari umeteketeza karibu ekari 3,000 (hekta 1,200) na kuharibu nyumba nyingi.
Takriban wakaazi 30,000 wameamriwa kuhama huku wengi wakitelekeza magari yao na kukimbia kwa miguu.
Eneo hilo, ambalo lina nyumba za watu mashuhuri, limeathiriwa vibaya na moto huo unaoenea kwa kasi.
Gavana wa California, Gavin Newsom, ametangaza hali ya dharura na kuwataka wakazi kufuata maagizo ya uhamishaji ili kuhakikisha usalama wao. Tayari kikosi cha Zimamoto cha Los Angeles kiko kwenye eneo hilo kupambana na moto huo na kuokoa maisha na mali.
View attachment 3196285
We nae unaongea nini! Kama allah anajibu kwa kuangamiza Gaza si ingewaka Tel avivi?Yaani kupiga apige Israeli,aangamizwe USA!Huyo mungu ana akili kweli?NATO yote inamsaidia Israel kupiga Gaza,kwa nini moto usiunguze miji yao?Huo moto ni mkono wa MUNGU ila sio huyo mungu wenu wa waarabu..MUNGU wa kweli kama angeadhibu kwa kulipa kisasi cha Gaza angeadhibu Israeli katika hali ambayo waathirika wenyewe wangetambua kwa nini wanaadhibiwa.Mungu hawezi kufanya jambo bila kuwafunulia watumishi wake manabii siri yake.(AMOSI 3:7).Mungu wa kweli anaiadhibu miji mikubwa iliyofika kipimo cha uvumilivu wa MUNGU kwa uovu unaofanyika humo.Kwa mfuatiliaji wa mambo atajua maovu yanayifanyika katika miji hiyo.Na mioto itaendelea kutokea kwenye miji mikubwa kadri siku zinavyokaribia mwisho.Tokeni mijini mkaishi mashambani.Huko hadi uovu ufike kikomo cha uvumilivu wa MUNGU basi Yesu atakuwa sebuleni.Mungu hafanyiwi dhihaka hata siku moja mkuu. Watoto wadogo wanakufa Gaza bila hatia yoyote kwa silaha za Marekani..
Umemjibu vema sana huyu mtu.Uovu wafanye Israeli,kuadhibiwa aadhibiwe USA!MUNGU hafanyi upumbavu huo.Labda allah.Na kama allah ndo anafanya hivyo basi ni dhaifu.Kashindwa kufika TelAviv,kaona hasira yake iishie Los Angeles.Basi kama ni hivyo huu moto ungeanzia Tel Aviv