Marekani: Muigizaji Nick Cannon ambaye ni Mume wa zamani wa Mariah Carey, atuhumiwa kwa ubaguzi baada ya kuwafananisha wazungu na wanyama

This guy is so stupid. Huwezi sema kitu kama hicho ukategemea utatoka salama. Watu weusi sijui tuna matatizo gani, tunadhani tukiwa racists ni sawa ila weupe wakiwa racists tunapiga kelele. Stupid ass
Kwahiyo ulitaka afanyeje?
Huu ubaya hauwezi isha kamwe acha waende hivyo tu ubaya ubaya nyie waafrika si mmezoea kumuachia mungu?
 
Sina mungu mimi. Nilitaka atumie akili sio aongee ujinga, ona sasa kazi kafukuzwa, kila kitu kimeanza kwenda ovyo kwenye maisha yake sababu ya ujinga huu. Huwezi kuelewa kama akili zako ni za kijinga, ubaya ubaya unadhani hua mwisho wake nini? Hivi we unadhani watu wote duniani tuanze kubaguana kwa rangi tutaishia wapi? Shukuru sana sasa hivi ubaguzi umepungua, miaka ya 60 tu watu walikua wanachinjana. Tumia akili sio makalio
 
Inaitwa mihemko...
Terry Crews,Kareem A.J,Chance the rapper na baadhi ya Watu weusi wamekuwa wakitoa maoni ambayo jamii kubwa ya wenye mrengo wa kushoto wanawaona Kama wasaliti wa weusi wenzao.
mrengo wa kushoto ndo nini?
 
Hatuwezi kuacha kufanya nao kazi, sababu hatujitoshelezi katika SCIENCE & TECHNOLOGY.
Taifa Kubwa ni lile Taifa ambalo linalojiweza sana katika Science & Technology.
Ukiwa na Sayansi na Teknolojia bora basi itakufanya uendelee katika nyanja zifuatazo :-
• MILITARY (Ukiwa na Teknolojia bora basi utakuwa na zana bora za kisasa unazoziunda mwenyewe iwe ni Computerized & Software Systems, Jet-fighters, Drones, Biological Weapons etc.)
• INDUSTRIAL REVOLUTION (nchi kubwa zote ni nchi zilzoendelea kiviwanda, hususani Manufacturing industries)
• HEALTHCARE SYSTEM ( sayansi na teknolojia bora itakufanya uwe na Mfumo Bora wa Afya, Vifaa-Tiba Bora, Taaluma Bora ya Afya pia)
• AGRICULTURAL SECTOR (kilimo kinaleta chakula, chakula ni Uhai.. Sayansi na Teknolojia bora husaidia sekta ya kilimo na kuongeza Uzalishaji kwa mbinu za kisasa)
• RESEARCH & DEVELOPMENT (nchi kubwa duniani huwa ni zile zinazofanikiwa katika Tafiti zao za Kisayansi)
• ENERGY (sayansi na teknolojia bora itasaidia katika Uzalishaji wa Nishati, Nishati ni muhimu katika Viwanda, Matumizi ya Majumbani etc. Umeme wetu bado wa kusuasua na haujasambaa nchi nzima)

Nchi za Kiafrika badooooo sana hazijafinikiwa katika Sayansi na Teknolojia. Hahahah!! Tumeachwa nyuma miaka kama Mia Moja Tisini (190) hivi....
Ukifanikiwa katika sekta hizo basi VIWANDA (Manufacturing industries na Processing Industries) utakuwa navyo vingi na Mzunguko wa Pesa utakuwa Mkubwa, Sekta ya Afya itakuwa Bora, Umaskini wa Kipato kwa Mwananchi Mmoja Mmoja Utapungua Sana, na FURSA ZA BIASHARA na AJIRA zinakuwa nyingi pia sababu MZUNGUKO WA PESA utakuwa mkubwa.
Hakuna gape la teknolojia la miaka mia,umesoma chuo gani waliokufundisha hivyo? The only gape ni 10-20 years.Afrika ina misingi yote ya kuweza kufikia teknolojia, kinachotakiwa ni comjmitment
 
Sina mungu mimi. Nilitaka atumie akili sio aongee ujinga, ona sasa kazi kafukuzwa, kila kitu kimeanza kwenda ovyo kwenye maisha yake sababu ya ujinga huu. Huwezi kuelewa kama akili zako ni za kijinga, ubaya ubaya unadhani hua mwisho wake nini? Hivi we unadhani watu wote duniani tuanze kubaguana kwa rangi tutaishia wapi? Shukuru sana sasa hivi ubaguzi umepungua, miaka ya 60 tu watu walikua wanachinjana. Tumia akili sio makalio
Hakuna sehemu nimesema nasapoti hiki kitendo chake ,lakini mbona Siku zote sijaona unakemea ubaguz unaofanyika toka karne zilizopita .? huyo ni tajiri unafkiri kama wewe?.
To a kwanza boriti mwenye jicho lako kabla ujatoa kijiti kwenye jicho la mwenzio
 
Hakuna gape la teknolojia la miaka mia,umesoma chuo gani waliokufundisha hivyo? The only gape ni 10-20 years.Afrika ina misingi yote ya kuweza kufikia teknolojia, kinachotakiwa ni comjmitment
Nimesoma Chekechea tu. Kama wewe umeona kwamba Africa inahitaji miaka 10-20 kufikia Sayansi na Maendeleo mahali zilipo Western Countries basi sawa ni opinions zako na naziheshimu.
ila if only and only if you will be true to yourself na ukafanya critical thinking and analysis basi utagundua miaka hiyo 10-20 haitoshi kurekebisha Mifumo yote kuanzia chini mpaka Juu, Kuandaa Sera, Kusomesha Wataalamu Wabobezi Wengi wa Sayansi (Health, Astronomy, Engineering etc.) wa Kutosheleza Mahitaji ya Nchi. Kujenga MiundoMbinu wezeshi nchi nzima, Kujenga Manufacturing Industries za kutosha, Kubobea katika Technology za Aviation na kuwa Factories za Aviation, Energy & Nuclear Physics, Automotive Industry, Medicine, Pharmacy, Viwanda vya kuunda Equipments za Mining Engineering, Semiconductors and Software etc.
Kwangu mimi kiuhalisia hiyo miaka 10-20 HAITOSHI kuandaa Policies na kufanya Implementation yote.
 
Magufuli amesema sisi ni nchi tajiri, wewe unasema wazungu wametuacha mbali sana.
Kwa hiyo wewe hata ukiangalia tu picha halisi huioni. Fanya upembuzi yakinifu vizuri tena kati ya Afrika na Western Countries hususani G8 countries zile halafu utaona.
 
Nimesoma Chekechea tu. Kama wewe umeona kwamba Africa inahitaji miaka 10-20 kufikia Sayansi na Maendeleo mahali zilipo Western Countries basi sawa ni opinions zako na naziheshimu.
ila if only and only if you will be true to yourself na ukafanya critical thinking and analysis basi utagundua miaka hiyo 10-20 haitoshi kurekebisha Mifumo yote kuanzia chini mpaka Juu, Kuandaa Sera, Kusomesha Wataalamu Wabobezi Wengi wa Sayansi (Health, Astronomy, Engineering etc.) wa Kutosheleza Mahitaji ya Nchi. Kujenga MiundoMbinu wezeshi nchi nzima, Kujenga Manufacturing Industries za kutosha, Kubobea katika Technology za Aviation na kuwa Factories za Aviation, Energy & Nuclear Physics, Automotive Industry, Medicine, Pharmacy, Viwanda vya kuunda Equipments za Mining Engineering, Semiconductors and Software etc.
Kwangu mimi kiuhalisia hiyo miaka 10-20 HAITOSHI kuandaa Policies na kufanya Implementation yote.
Hakuna mtaalamu asiepatikana Tanzania,hayup!! Kila utaalamu unaouna wabongo wapo.Ndio maana nikakwambia tunamisingi yote , ila tunakosa utashi.Commitment Ndio kila kitu.Korea kaskazini wameweza kuunda nuclear technology wakiwa wametengwa na dunia sembuse sisi tupo huru kushirikiana na dunia.Wataalamu wa kumwaga, waliosoma nje na ndani.,Vyuo vikuu vipo.
The only hard technology ambayo hataChina inapambana ni "State of the art" Chip making technology, hio pekee.But.machinery technology sio ngumu ki vile, hata lasaba wanaweza kuikuza..Nano scale technology Ndio umiza kichwa.
Hivi watanzania wanaweza shindwa kuunda mitambo ya viwandani,engine za magari, machine za mashambani, ni kweli itawachukua miaka mia kuunda engine ya gari???
 
Kwa hiyo wataka kuniambia kuwa hapa TZ na Sub-Saharan Countries za Africa kuwa wapo wataalamu wa Nyuklia Fizikia wabobezi kuliko waliopo katika Nchi za Magharibi? Duuh!!
Pia wataka kuniambia TZ inahitaji miaka 10-20 ili iwe imeendelea kama Uingereza, Ufaransa au Ujerumani katika Miundo Mbinu, Nishati, Afya, Pato la Mwananchi Mmoja Mmoja, Sayansi na Teknolojia etc..
Daah!! Hebu tuwe realistic aisee, hata kama ndiyo una damu ya uzalendo sio kihivo aisee. Au unadhani Rais hana commitment ya kutaka nchi iwe ni developed country kama USA au Canada!??, kwa 10-20 years Daah! HAPANA!!

Afu pia kuhusu North Korea, Nuclear Physics na Atomic Technology hii ya North Korea unayoiona sasa ilianzishwa kwa Partnership na SOVIET UNION (RUSSIA) tangu miaka ya 1950s.
Labda kama wataka kuniambia kuwa RUSSIA sio Developed Country ya Wazungu eeh.?? Au labda wataka kusema Korea Kaskazini imefika hapo kwa miaka 10-20 eeh bila hao Wazungu wa RUSSIA

My Point is, Wazungu wametuzidi mbali sana tena saaaana, Afrika inatakiwa Kujifunza toka kwa Wazungu na kuweka Sera Imara za Long Term Plans, Kuwekeza muda ili angalau miaka 100 ijayo tuwe mahali flani kama wao au karibu na wao.
 
Nimekwambia Tanzania ina kila mtaalamu unaemjua wewe ktk nyanja zote.Sijakwambia Tanzania inawataalamu kuzidi magharibi.Tafiti zinaonesha Nchi inaweza kuendelea kwa kipindi cha miaka 10-20.Teknolojia ya sasa inasapoti nchi iendelee fasta kuliko miaka 10 mpaka 50 iliopita.Ukitaka kuunda kitu huanzi from scratch kwa sababu vifaa vya Ku boost idea yako vipo. Viongozi wetu
teknolojia sio kipaumbele chake.Viongozi wangekuwa na commitment ya kutaka tech basi shule zetu zingekuwa tayari na miundombinu inayosapoti mapinduzi ya technolojia.
Mapinduzi ya kiteknolojia yanataka commitment ya hali ya juu,sio propaganda za kisiasa.Kaisome Iran,Singapore, Korea zote,China,Pakistani ilivyopata nuklia tech nk.Walijipanga wakasimamia
Pia wa
 
Kwa hiyo wataka kuniambia kuwa hapa TZ na Sub-Saharan Countries za Africa kuwa wapo wataalamu wa Nyuklia Fizikia wabobezi kuliko waliopo katika Nchi za Magharibi? Duuh!!
Pia wataka kuniambia TZ inahitaji miaka 10-20 ili iwe imeendelea kama Uingereza, Ufaransa au Ujerumani katika Miundo Mbinu, Nishati, Afya, Pato la Mwananchi Mmoja Mmoja, Sayansi na Teknolojia etc..
Daah!! Hebu tuwe realistic aisee, hata kama ndiyo una damu ya uzalendo sio kihivo aisee. Au unadhani Rais hana commitment ya kutaka nchi iwe ni developed country kama USA au Canada!??, kwa 10-20 years Daah! HAPANA!!

Afu pia kuhusu North Korea, Nuclear Physics na Atomic Technology hii ya North Korea unayoiona sasa ilianzishwa kwa Partnership na SOVIET UNION (RUSSIA) tangu miaka ya 1950s.
Labda kama wataka kuniambia kuwa RUSSIA sio Developed Country ya Wazungu eeh.?? Au labda wataka kusema Korea Kaskazini imefika hapo kwa miaka 10-20 eeh bila hao Wazungu wa RUSSIA

My Point is, Wazungu wametuzidi mbali sana tena saaaana, Afrika inatakiwa Kujifunza toka kwa Wazungu na kuweka Sera Imara za Long Term Plans, Kuwekeza muda ili angalau miaka 100 ijayo tuwe mahali flani kama wao au karibu na wao.
Tunatakiwa tujifunze Asia sio ulaya.Wa Asia wameweza Ku adapt teknolojia kwa muda mfupi sana,kama utaendelea kufikiria njia walizopita wazungu utasubiri sana.
Asia wame prove teknolojia inaweza kukuzwa kwa miaka 10+.
Kusaidiwa kupata teknolojia sio mbaya ili mradi unaipata kadri ulivyojipangia, hivyo hata sisi Afrika tunaweza pata wabia wa kuendeleza teknolojia, hakuna taifa linakuza teknolojia bila ushirikiano.Marekani yenyewe inatumia vipaji vya mataifa mengine
Kuhusu commitment, viongozi wanayo ila kwenye mambo wanaodhania wao.Labda nitumie neno dhamira ya kweli maana commitment husimamia dhamira.
Afrika inawabobezi wa mambo ya teknolojia huko ualaya na Asia, ila viongozi wa kiafrika hawajawahi kukaa na kujadili nao mustakabali wa tech in Afrika, sasa dhamira ipo wapi kama wataalamu wako huwajali, teknolojia ya Afrika itakuzwa na waafrika wenyewe na sio wahindi au wachina.
 
Back
Top Bottom