SI KWELI Marekani na DRC wakubaliana katika mikataba ya madini adimu na ulinzi

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Like serious, usalama wa taifa ni mchezo wa watu wenye uelewa sio ujinga wenu humu.
 
Like what the https://jamii.app/JFUserGuide do we think a security analyst does?

Kuandika uthenge kama mijadala yetu ya hii forum; mpaka kushangwaza na predictable decisions kama hizi,
 
Hao wabaguzi ndo usiwataje kabisa
Hili ni swala la race/udini au watu kujipanga na dunia ya kesho kwa ulinzi wao?

Unasoma michango ya watu humu, mpaka unajiuliza inawezekana vipi asilimia kama 80% ya vitu serious wachangaiajd wakawa na uelewa mdogo hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…