Marekani na EU wakitaka kumuondoa Rais yeyote wa 'Third World Countries' hawashindwi

Ilikua zaman sio sasa, karne hii lazima uchague upande mfano wa wamarekani na genge lake ama upande wa china na genge lake
US ndio kila kitu dunia hii na hakuna chochote China atafanya. Maduro alijifanya kuwa karibu na Russia na China, ila leo kachukuliwa kama binti wa darasa la kwanza. Na atafungwa hata kunyongwa. Ccm mnajifanya mko karibu na China na Russia sio kwasababu ya ubora wao, bali ni kwa sababu huwa hawahoji mambo ya utawala bora. Na US ametukosea sana, ilitakiwa aingilie popote watu wakichezea demokrasia.
 
Ilikua zaman sio sasa, karne hii lazima uchague upande mfano wa wamarekani na genge lake ama upande wa china na genge lake
Mchina au mrusi sio wakuwategea kabisa angalia Syria na Venezuela mifano ya karibu
 
Kuhusu Ghadaffi, Hawakumuondoa madarakani kwa kutaka kuunganisha waafrica. Acheni kudanganya watu.....Ghadafi alifanya kosa kubwa sana kuangusha ndege ya Pan Am Flight 103, kuua wamarekani zaidi ya 200 kwenye anga ya Lockerbie, Scotland na kulipua club iliyopendelewa kutembelewa na askari wa USA kule Bali, Indonesia. Guys.....USA na Europe hawaachia kitu kipite, hata siku moja, watakutafuta hata kama imepita miaka mingapi....Bado Makonda hayupo salama.....Tusubiri tu. Mliona Charles Taylor alivyokamatwa?
 
Mchina au mrusi sio wakuwategea kabisa angalia Syria na Venezuela mifano ya karibu
Venezuela anashirikiana na nan? china yupo pale kibiashara zaidi ya ulinzi, tanzania uhusiano unaanzia jeshini
 
Mkuu
Venezuela anashirikiana na nan? china yupo pale kibiashara zaidi ya ulinzi, tanzania uhusiano unaanzia jeshini
Mkuu Urusi walikuwa na makubaliano ya kijeshi na Urusi kilicho mkuta, hao washirika sio wa kuwaamini sana na kuwatwgemea
 
Thanks for this, hili limetokea kwa Miduro Venezuela.
P
 
Kuna nchi kiongozi mmoja anazunguka kwa masultani kuipeleka ujumbe wa kutaka mahusiano akifikiri watamkingia kifua
 
Kuna nchi kiongozi mmoja anazunguka kwa masultani kuipeleka ujumbe wa kutaka mahusiano akifikiri watamkingia kifua
Anafikiri hao jamaa zake wana mbavu za kupimana na USA?
 
China is a white paper tiger, Urusi masaada wao ni bunduki wakuuzie ujimalize mwenyewe hawana msaada mwingine.
 
China is a white paper tiger, Urusi masaada wao ni bunduki wakuuzie ujimalize mwenyewe hawana msaada mwingine.
Uko sahihi mno, ccm huwa wanajifanya ni marafiki zao, sababu hasa ni kwakuwa hawahoji mambo ya chaguzi na utawala bora.
 
Angeanza kwanza kukamatwa Netanyahu kauwa wapalestina laki tano mchana kweupe mbele ya kamera za CNN, BBC na Al Jazeera.

Angefuatia kukamatwa Trump, kaingia kwenye anga la nchi nyingine kamkwapua Rais kampeleka New York. Kavunja sheria za kimataifa (international laws)

Ndio uone ugumu wa kumkamata SSH ulipo, hiyo ni dunia yenye kutazama maslahi kwanza, hizi siasa za haki za binadamu hazipewi kipaumbele chochote.
 
Ilikua zaman sio sasa, karne hii lazima uchague upande mfano wa wamarekani na genge lake ama upande wa china na genge lake
China haaminiki, washirika wake wakiwa kwenye matatizo hatokei
 
Keep on dreaming, salama yake mwambieni apunguze mdomo Trump hatanii.
 
Watapigwa risasi wote watakaofanya huo upuuzi, kumbuka namna JPM alivyowauwa wale jamaa wa Mkuranga na Rufiji zaidi ya 4,000 maiti zao zikawa zinaokotwa baharini zikiwa ndani ya viroba.

Muda huu mlitakiwa muwaze namna ya kufaidika na teknolojia zinazokuwa kwa kasi duniani, mlitakiwa mjikite kwenye namna mbalimbali za kutafuta pesa kupitia apps mbalimbali na kilimo kikubwa cha kisasa.

Ukisafiri kwa gari kushoto na kulia njia nzima ipo ardhi nzuri haijaguswa kabisa inatusubiri sisi tunaopoteza nguvu kwenye kuwaza kutafuta bunduki eti tupambane na vikosi vya JWTZ, Pathetic way of thinking.
 
Kila mbabe na mbabe wake, Magu aliwaua magaidi wa Mkiru hakumaliza hata mwaka akanyakuliwa, Maduro aliwakanyaga waandamanaji kwa deraya za polisi ni juzi tu alikuwa rais leo ananyea debe. Leo Samia ana power ya kuamlisha jeshi liue kesho unaweza kusikia kanyakuliwa.
 
Si mpaka anyakuliwe, tatizo la wanaharakati wetu wanadhani haki ipo upande wao peke yao.

Vipi ukiambiwa kwamba SSH alikuwa na haki kufanya alivyofanya siku ile ya October 29?.
 
Si mpaka anyakuliwe, tatizo la wanaharakati wetu wanadhani haki ipo upande wao peke yao.

Vipi ukiambiwa kwamba SSH alikuwa na haki kufanya alivyofanya siku ile ya October 29?.
Niambiwe na nani kwani jamii haioni na wewe huoni hadi uambiwe na mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…