Acha Ujinga hao jamaa Kwa nchi hizi za Dunia ya 3 hakuna wanacho shindwa una kaza fuvu katika mambo ambayo yapo waziMaisha sio marahisi ivo, nchi kama congo ni rahisi kwa sababu nchi ni kubwa sana kuna sehem wana msa tafauti lugha tafauti, yaani community mpya kwa tz sio rahisi ivo
Kama hakuna maslahi makubwa Kwa Russia china and the likes Hawa wezi kukupa support yoyote Ile vita na siasa ni hisabati zinazo lenga kukuza uchumi na ushawishi wa kisiasa hayo mataifa Huwa haya Lindi mataifa mengine bila faida , wakiona faida watakayo ipata ni ndogo Wana kukaushia tu upigikeKwani walipomtoa Sadam ilikuwa karne gani, walipomtoa Gadafi China haikuwepo, walipomtoa Mugabe Urusi hawakuwepo.
Mind you first world countries zinajuana, Syria imesbaratishwa na Mrusi akiwa ndani
🤣🤣Nimecheka kama mazuri. Mkuu,kwamba Gen-Z anakuwa anaona kama anacheza PS kumbe ndio ananyofoa Roho za watu uraiani huko🤣🤣🤣🤣
China ni wepesi sana katika tawala za kidunia kwa karne hizi. Hawana power ya kushikiniza tawala yoyote ikafuata inachotaka, kwanza wenyewe wako katika nchi zinazojipigania na mashinikizo nje ya tawala zao. Tofauti na mataifa kama marekani na ulaya. Wachina watakusaidia kukufanyia miradi ukiwa na pesa zako lakini hawana tools za kushinikiza tawala zozote zaidi ya kujilinda wao. USA wana tools za kukuinamisha chini wakiamua, wanainfluence kwenye mashirika ya fedha, jumuiya za kikanda na kimataifa, mashirika ya haki za binadamu, wanasauti kupitia vyombo vya habari na wanateknolojia ya kufanya hivyo.Ilikua zaman sio sasa, karne hii lazima uchague upande mfano wa wamarekani na genge lake ama upande wa china na genge lake
Uimara wa TISS sio kulinda serikali bali kulinda rasilimali za nchi kama masilahi ya bandari na kufanya ujasusi wa kiuchumi kama inavyofanya CIA hata NSA ya Kagame inavyopora madini huko Goma Congo.
TISS yetu fahari yake ni kuzunguruka na Cruza mitaani kuvaa suti na kutisha watu kwenye mabaa.
amka utachafua sakafu, china unayemuongele ndo huyo huyo anaemyima tramp usingizi, leo kaamka kodi ni 180% kesho 500%, china sio yule wa akina romeo must dieChina ni wepesi sana katika tawala za kidunia kwa karne hizi. Hawana power ya kushikiniza tawala yoyote ikafuata inachotaka, kwanza wenyewe wako katika nchi zinazojipigania na mashinikizo nje ya tawala zao. Tofauti na mataifa kama marekani na ulaya. Wachina watakusaidia kukufanyia miradi ukiwa na pesa zako lakini hawana tools za kushinikiza tawala zozote zaidi ya kujilinda wao. USA wana tools za kukuinamisha chini wakiamua, wanainfluence kwenye mashirika ya fedha, jumuiya za kikanda na kimataifa, mashirika ya haki za binadamu, wanasauti kupitia vyombo vya habari na wanateknolojia ya kufanya hivyo.
punguza story za vijiweniAcha Ujinga hao jamaa Kwa nchi hizi za Dunia ya 3 hakuna wanacho shindwa una kaza fuvu katika mambo ambayo yapo wazi
Yaani USA Wana yapelekesha mchaka mchaka mataifa ya Ulaya Uarabuni na amerca then washindwe Kwa tz
Kuna mwanajeshi wa TANZANIA ataweza kusimama na mjeda wa marekani kupigana we una masikhara WABONGO TU bila silaha mbio walizo kimbia acha tu seize Leo mashine ziingie hapa kibabeNato na usa wakiamua kufanya Tanzania kama walichomfanyia Gaddafi wa Libya. Ni suala la muda mchache sana ni coup d'etat ya chapchap au civil war. Kati ya jeshi la ccm na anti-ccm rebels
Good, wanasubiri nini?Kama GenZ wa kibongo wakiamua kutengeneza kundi la waasi kama genz rebels anti-samia rebels anti-ccm rebels, genz freedom fighters, genz resistance movement, au MO29 Rebels, wakiomba msaada wa usa au eu watapewa silaha hata kwa ndege toka angani. Kama walivyofanya kwa Gaddafi. Na kwa bahati nzuri hawa vijana wengi sana wamepita JKT kwa hiyo wana ABC za kutumia silaha. CCM watapigika vibaya mno.
Hahahah....nakuapia walahi hii nchi hata rwanda tu anatubagazaMnaichukulia hii nchi kizembe sanaa.... Wajaribu tu
WajaribuGood, wanasubiri nini?
Hahahah....nakuapia walahi hii nchi hata rwanda tu anatubagaza
Sisi hatuna jeshi, tuna kikundi cha wapasua matofali na waimba mapambio.Wajaribu
Tanzania hii haina hata haja ya Civil war.. wakitaka tu ni sekunde mtu anarudi kizimjobNato na usa wakiamua kufanya Tanzania kama walichomfanyia Gaddafi wa Libya. Ni suala la muda mchache sana ni coup d'etat ya chapchap au civil war. Kati ya jeshi la ccm na anti-ccm rebels
Mm baada ya kuona ile video Kagame anawalambisha vumbi chini, tangu siku hiyo Imani yangu ilikufa kabsa kwenye hili Jeshi letuSisi hatuna jeshi, tuna kikundi cha wapasua matofali na waimba mapambio.
Watanzania mdomoni tuko vizuri ila kwa ground mambo huwa na tofauti kabisa.
Wazee kwa kifupi tambuen hii nchi ipo kwa neema ya Mungu tu, lakini jinsi unavyoona Taasisi za serekali zote zilivyo weak kuanzia Mahospitali,mashule, Tanesco, TBC, Brela, TRA, Mahakama nk. basi ujue hata majeshi yetu na usalama vipo weak hivo hivo.
Pascal Mayalla unataka kusema EU kukata misaada Tz ni Kwa sababu Wana chuki dhidi ya binafsi na Samia? Mbona hapo mwanzo kabla ya uchaguzi hawakua hivyo?Credit kwa Pascal Mayalla
Marekani, US, na washarika wake, EU, kupitia mashirika yao ya kibeberu ikiwemo IMF, WB, US AID, CIA, NATO, etc, ndio nchi zinazoongoza kwa imperialism, wakiamua kiongozi fulani hawamtaki kwa maslahi yao, watamtafutia sababu, wakikosa, watamtungia uongo wa ukiukwaji wa haki za binadamu, mradi wapate justification ya kuingilia mambo ya ndani na kumuondoa.
Walimtoa Saadam Hussein kwa uongo wa kusaka WMD, kisha wakamtoa Ghadafi madarakani kwa kutaka kuwaunganisha Waafrika, na Mugabe wakamtoa kwa sababu ya ku over stay?, na tetesi with no facts JPM kwa kutetea rasilimali.
Haya mauaji ya halaiki hayawezi kuwa sababu? Wameshaanza, US kupitia ma senator wake wamesema uchaguzi haukuwa huru, bunge la Ulaya limesitisha misaada linakwenda kuweka vikwazo.
Hivi hata wewe ukiwa na ufahamu wa system ya uchaguzi Tanzania, unaamini unaweza kushinda uchaguzi? Be realistic, mfumo huu uliopo hakuna Chama cha siasa kinaweza kuishinda CCM, the entire election system and procedures is rigged to favor CCM, ni upuuzi hata huko nyuma kwa nini hivi vyama vilikuwa vinaingia kwenye uchaguzi!Vita zisizoisha unazoziona saaahv ni za mda mrefu sana, ni jamii inazaliwa inakolezwa imani inaishi uku uku, na kwa mda ule hawakua wanajua kuhusu internet, huezi kuta kikundi kipya kimeanzishwa kwa sababu watu wanaenda shule
Demokrasia ina mipaka, wewe haiwezekan umegoma kuingia kwenye uchaguzi alafu unalalamika umeibiwa, huo ni ujinga na pia watu wengi wanaojiita genz wanaadamana kwa kitu wasichokielewa, wameibeba hoja juu juu na wao waonekane hawapo nyuma, ila hawakua na reason yoyote ya kukutana na waliokutana nayo
Pascal Mayalla unataka kusema EU kukata misaada Tz ni Kwa sababu Wana chuki dhidi ya binafsi na Samia? Mbona hapo mwanzo kabla ya uchaguzi hawakua hivyo?
Kwamba EU hawaoni huu ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na Samia?
Kwanini mnamtetea huyu Samia aliye ua maelfu ya Watanzania? Ambaye bila aibu anasimama majukwani anajinasibu yeye ndiye amefanya na yuko tayari kurudia tena?
Aisee... Sijui wenzangu mnatumia akili gani? Hata kama mtu unakosa utu, basi hata akili ya kawaida tu itakuonyesha udharimu wa huyu Samia.
Gadafi alikuwa anakalia malighafi inayowafanya wazungu kutoa roho za yoyote atakae wazuia kuichukuaGaddafi alikuwa na kiburi kuliko hata shetani samia. Ila siku usa, eu, nato waliposhusha silaha toka angani ghadafi aliyeyuka. Muda utazungumza, labda USA na Nato wasiamue kufanya lolote.