Marekani na EU wakitaka kumuondoa Rais yeyote wa 'Third World Countries' hawashindwi

Hawa watoto wa genz wengi wamepita jkt wakiletewa silaha kwa ndege na wakipewa shehena ya fpv drones na Ai drones za kutungua tokea mbali Mtu katulia geto huku ana control drone kama anacheza video game linalipua maccm. CCM watapigika vibaya mno
Nimecheka kama mazuri. Mkuu,kwamba Gen-Z anakuwa anaona kama anacheza PS kumbe ndio ananyofoa Roho za watu uraiani huko🤣🤣🤣🤣
 
Aendelee tena kuwaua tena D9.
Labda ajiuzulu mwenyewe au jeshi liamue kupindua. Ila akiendelea kuua watu, halafu USA au Nato wakiamua kushusha shehena ya silaha toka angani nchi itangia kwenye civil war moja kubwa mno kati ya jeshi la ccm na anti-ccm rebels. Civil war inazaga kidogo kidogo hasa pakiwa na kiongozi mwenye kiburi, kama Sadam Hussein wa Iraq, Gaddafi wa Libya, Assad wa Syria
 
Credit kwa Pascal Mayalla

Marekani, US, na washarika wake, EU, kupitia mashirika yao ya kibeberu ikiwemo IMF, WB, US AID, CIA, NATO, etc, ndio nchi zinazoongoza kwa imperialism, wakiamua kiongozi fulani hawamtaki kwa maslahi yao, watamtafutia sababu, wakikosa, watamtungia uongo wa ukiukwaji wa haki za binadamu, mradi wapate justification ya kuingilia mambo ya ndani na kumuondoa.

Walimtoa Saadam Hussein kwa uongo wa kusaka WMD, kisha wakamtoa Ghadafi madarakani kwa kutaka kuwaunganisha Waafrika, na Mugabe wakamtoa kwa sababu ya ku over stay?, na tetesi with no facts JPM kwa kutetea rasilimali.

Haya mauaji ya halaiki hayawezi kuwa sababu? Wameshaanza, US kupitia ma senator wake wamesema uchaguzi haukuwa huru, bunge la Ulaya limesitisha misaada linakwenda kuweka vikwazo.

Hapana Mkuu.

Chochote kutakacho tokea Tanzania kwa sasa ni Internal Politics.

Marekani kama wanapata wanachotaka hawanaga hizo mambo.
 
Haya mauaji ya halaiki hayawezi kuwa sababu? Wameshaanza, US kupitia ma senator wake wamesema uchaguzi haukuwa huru, bunge la Ulaya limesitisha misaada linakwenda kuweka vikwazo.
Kuna viongozi km watatu km sio wanne nawaona wanaenda kukata kamba mmoja baada ya mwingine 2025-2026... wait & see
 
Ilikua zaman sio sasa, karne hii lazima uchague upande mfano wa wamarekani na genge lake ama upande wa china na genge lake

kwa hiyo unaamini kabisa kwamba china wako tayari kurisk kila kitu na west ili kutetea utawala wa tanzagiza? nipe mfano mmoja tu ambapo china alimtetea yoyote against the west na ikafanikiwa.

btw kwa nini tanzagiza haikuhudhuria (alikwa) g20 iliyofanyika AK juzi kati …
 
Nitakuwa mwisho kuamini hilo, bado sijaona hizo nchi kama zina interest na chochote Tanzania kama kipo basi wangeshaanza ***** ***** muda mrefu...hiki kinachotokea ni internal conflicts,
 
Fuatilia, Magufuli aligusa interest zao (makinikia) etc wakamuondoa kivingine.
 
Mimi ni mtu mzima sana kwa umri. 🤣🤣 Ila hawa watoto wa 2000 ninawaogopa mno. Hawa genz wakipewa shehena ya drone wanaweza wakakaa geto wakamtungua sir100 live kwenye tv. Huku yeye anajiona kama anacheza gemu la ps la kurusha ndege.
CC Ritz
 
Credit kwa Pascal Mayalla

Marekani, US, na washarika wake, EU, kupitia mashirika yao ya kibeberu ikiwemo IMF, WB, US AID, CIA, NATO, etc, ndio nchi zinazoongoza kwa imperialism, wakiamua kiongozi fulani hawamtaki kwa maslahi yao, watamtafutia sababu, wakikosa, watamtungia uongo wa ukiukwaji wa haki za binadamu, mradi wapate justification ya kuingilia mambo ya ndani na kumuondoa.

Walimtoa Saadam Hussein kwa uongo wa kusaka WMD, kisha wakamtoa Ghadafi madarakani kwa kutaka kuwaunganisha Waafrika, na Mugabe wakamtoa kwa sababu ya ku over stay?, na tetesi with no facts JPM kwa kutetea rasilimali.

Haya mauaji ya halaiki hayawezi kuwa sababu? Wameshaanza, US kupitia ma senator wake wamesema uchaguzi haukuwa huru, bunge la Ulaya limesitisha misaada linakwenda kuweka vikwazo.
Kwakweli watusaidie kuondoa KIBURI hiki hata Leo.
 
Kama GenZ wa kibongo wakiamua kutengeneza kundi la waasi kama genz rebels anti-samia rebels anti-ccm rebels, genz freedom fighters, genz resistance movement, au MO29 Rebels, wakiomba msaada wa usa au eu watapewa silaha hata kwa ndege toka angani. Kama walivyofanya kwa Gaddafi. Na kwa bahati nzuri hawa vijana wengi sana wamepita JKT kwa hiyo wana ABC za kutumia silaha. CCM watapigika vibaya mno.
Ndoto mbaya hii!!
 
Ndoto mbaya hii!!
Kwa jinsi ccm na shetani samia wanavyong'ang'ania madaraka njia pekee ya kuwatoa ni coup d'etat (au wanajeshi wa jwtz wamtoe samia Na ccm yote nadarakani) au Tanzanian civil war. Labda genz waamue kutulia ila wakiendelea kuuliwa kwa wingi na Mmarekani na NATO wakiingilia kati tutafika huko.
 
Credit kwa Pascal Mayalla

Marekani, US, na washarika wake, EU, kupitia mashirika yao ya kibeberu ikiwemo IMF, WB, US AID, CIA, NATO, etc, ndio nchi zinazoongoza kwa imperialism, wakiamua kiongozi fulani hawamtaki kwa maslahi yao, watamtafutia sababu, wakikosa, watamtungia uongo wa ukiukwaji wa haki za binadamu, mradi wapate justification ya kuingilia mambo ya ndani na kumuondoa.

Walimtoa Saadam Hussein kwa uongo wa kusaka WMD, kisha wakamtoa Ghadafi madarakani kwa kutaka kuwaunganisha Waafrika, na Mugabe wakamtoa kwa sababu ya ku over stay?, na tetesi with no facts JPM kwa kutetea rasilimali.

Haya mauaji ya halaiki hayawezi kuwa sababu? Wameshaanza, US kupitia ma senator wake wamesema uchaguzi haukuwa huru, bunge la Ulaya limesitisha misaada linakwenda kuweka vikwazo.

Kosa alilolifanya Maza ni kujisingle out mwenyewe kwenye hii issue.

EU walikuwa wameichukulia issue nzima kama Tanzania government. Sasa itakapobadilika na kuwa ni issue ya Samia na EU we all know who is likely to loose.

Wameondoka akina Gadhaff ndiyo iwe Maza..... absolutely, a JOKE!!
 
Kama GenZ wa kibongo wakiamua kutengeneza kundi la waasi kama genz rebels anti-samia rebels anti-ccm rebels, genz freedom fighters, genz resistance movement, au MO29 Rebels, wakiomba msaada wa usa au eu watapewa silaha hata kwa ndege toka angani. Kama walivyofanya kwa Gaddafi. Na kwa bahati nzuri hawa vijana wengi sana wamepita JKT kwa hiyo wana ABC za kutumia silaha. CCM watapigika vibaya mno.
Mnaichukulia hii nchi kizembe sanaa.... Wajaribu tu
 
Kwa hiyo hao jwtz ndio wa kuzuia USA na Nato kuleta silaha tz kuwatoa ccm madarakani. Au Tanzania itashusha mabomu usa na nchi za ulaya zote. Au Tanzania itaipiga Usa vikwazo vya kiuchumi usa na ulaya yote mpaka mmarekani aiombe msamaha Tanzania kwa vikwazo vikali vya kiuchumi Na viongozi wote wa ulaya waiombe msamaha Tanzania kwa vikwazo vikali vya kiuchumi toka Tanzania. Nchi ambayo imeshindwa kuwapa watu maji tu, nchi imeshindwa kuwa na vyoo kwenye shule za msingi, imeshindwa kuwapa vijana ajira watoto wanamaliza shule na vyuo wapo tu ndani, Ndio ishushe bomu kwa mmarekani na kushusha mabomu ulaya yote?
 
Back
Top Bottom