stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
Bashir yuko jela gan? Au una jela umetengenezq sku iziwewe umeitaja china, china hasaidii yoyote yule, mfano mzuri bashir wa sudani hakuna nchi iliyoinufaisha china afrika kama sudani leo hii bashir yuko jela, alipopinduliwa mbona china haikumkingia kifua? kama mnamtegemea china poleni kwani hata yeye (china) ana mabattle yake kwa nini aje awasaidie ninyi kwa lipi haswa, kwamba kesho akivamiwa na kwa ajili taiwan mtamsaidia, au? …
2) Diplomasia ni uwanja mpana, kila nchi ina namna ina fungamana na mwenzake, ukiskia china na tanzania ina uhusiano wa karibu, wewe unadhan uhusiano huo ni upi? Maana yake china wapo mpaka ndan ya jeshi letu na kusambaza vifaa vya vita, nchi kama hio huezi kuivamia
Sudan haina uhusiano wa karibu na china, sudan ni kundi moja na palestine, pakistan ambao ni adui mkubwa wa china, huezi kuweka diplomasia ya karibu na nchi hii