Marekani na EU wakitaka kumuondoa Rais yeyote wa 'Third World Countries' hawashindwi

Marekani na EU wakitaka kumuondoa Rais yeyote wa 'Third World Countries' hawashindwi

La mwisho hamna anayetetea wauaji au watekaji hapa napinga njia yenu mliyopanga ya kufanya maandamano yasiyo ya amani
Sawa, kwa situation ilivyo unashauri nini kifanyike tusubiri hadi watawala watakapo sema sasa inatosha kutawala.
 
Credit kwa Pascal Mayalla

Marekani, US, na washarika wake, EU, kupitia mashirika yao ya kibeberu ikiwemo IMF, WB, US AID, CIA, NATO, etc, ndio nchi zinazoongoza kwa imperialism, wakiamua kiongozi fulani hawamtaki kwa maslahi yao, watamtafutia sababu, wakikosa, watamtungia uongo wa ukiukwaji wa haki za binadamu, mradi wapate justification ya kuingilia mambo ya ndani na kumuondoa.

Walimtoa Saadam Hussein kwa uongo wa kusaka WMD, kisha wakamtoa Ghadafi madarakani kwa kutaka kuwaunganisha Waafrika, na Mugabe wakamtoa kwa sababu ya ku over stay?, na tetesi with no facts JPM kwa kutetea rasilimali.

Haya mauaji ya halaiki hayawezi kuwa sababu? Wameshaanza, US kupitia ma senator wake wamesema uchaguzi haukuwa huru, bunge la Ulaya limesitisha misaada linakwenda kuweka vikwazo.

Kwa Tanzania TISS ipo imara Sana kuliko hata MOSSAD na CIA

Ujamaa unatubeba
 
Wakisogeza one of US strike group kama Gerald Ford, B 52 bomber, km kadhaa karibu na ikulu za Dar, Dodoma mafichoni kwake Samia atatengua kauli zake za kejeri, dharau, kebehi na kuanza kuwa mpole.
 
Nato na usa wakiamua kufanya Tanzania kama walichomfanyia Gaddafi wa Libya. Ni suala la muda mchache sana ni coup d'etat ya chapchap au civil war. Kati ya jeshi la ccm na anti-ccm rebels
Kwamba patatokea kundi linajiita
ACR

Anti-Ccm Rebels😂😂
 
Nimecheka kama mazuri. Mkuu,kwamba Gen-Z anakuwa anaona kama anacheza PS kumbe ndio ananyofoa Roho za watu uraiani huko🤣🤣🤣🤣
Mkuu, vijana wakishapewa silaha, wakapewa na madawa ya kuwatia ujasiri (ndivyo wanavyofanya waasi ) inabaki kuua inakuwa kucheza game
 
Credit kwa Pascal Mayalla

Marekani, US, na washarika wake, EU, kupitia mashirika yao ya kibeberu ikiwemo IMF, WB, US AID, CIA, NATO, etc, ndio nchi zinazoongoza kwa imperialism, wakiamua kiongozi fulani hawamtaki kwa maslahi yao, watamtafutia sababu, wakikosa, watamtungia uongo wa ukiukwaji wa haki za binadamu, mradi wapate justification ya kuingilia mambo ya ndani na kumuondoa.

Walimtoa Saadam Hussein kwa uongo wa kusaka WMD, kisha wakamtoa Ghadafi madarakani kwa kutaka kuwaunganisha Waafrika, na Mugabe wakamtoa kwa sababu ya ku over stay?, na tetesi with no facts JPM kwa kutetea rasilimali.

Haya mauaji ya halaiki hayawezi kuwa sababu? Wameshaanza, US kupitia ma senator wake wamesema uchaguzi haukuwa huru, bunge la Ulaya limesitisha misaada linakwenda kuweka vikwazo.
Unasahau ili wakutoe laila wawe na interest, kama hawana interest hawana time na ww

Tz ina nini moaka US iache kupambana na super power wenzio ije imendeee tz?

Mauaji yaliyotokea hayatayumbishwa kwa excuse yoyote
 
Mzee usiwaze kwa kubweteka!
Amani unayoishuhudia ni kudra za mwenyezi Mungu pekee.

Upepo ukibadilika vijana waingie mstuni, nchi haitakalika hii trust me.

Vyama vya upinzani tunavifanya maadui wa bila sababu, sijui kwa maslahi ya nani!

Kwani tukiishi kwa misingi ya demokrasia ya haki tutapungukiwa na kitu gani?
Vita zisizoisha unazoziona saaahv ni za mda mrefu sana, ni jamii inazaliwa inakolezwa imani inaishi uku uku, na kwa mda ule hawakua wanajua kuhusu internet, huezi kuta kikundi kipya kimeanzishwa kwa sababu watu wanaenda shule

Demokrasia ina mipaka, wewe haiwezekan umegoma kuingia kwenye uchaguzi alafu unalalamika umeibiwa, huo ni ujinga na pia watu wengi wanaojiita genz wanaadamana kwa kitu wasichokielewa, wameibeba hoja juu juu na wao waonekane hawapo nyuma, ila hawakua na reason yoyote ya kukutana na waliokutana nayo
 
Jidanganye. Kwa sasa watanzania wana maumivu makubwa sana Mioyoni mwao. Anti-ccm rebels wakianza watapata wapiganaji wengi mno. Ndivyo ilivyotokea Libya. Nato na us walikuwa wanashusha matani na makontena ya silaha kwa ndege toka angani wananchi wanakuwa nazo wanajipanga kuwa rebels mpaka wakamtoa Gaddafi. Hakuna mtu yoyote duniani wa kumzuia USA au Nato au EU na wakichukua ndege zao zikaja Tanzania na wakiamua kushusha shehena ya silaha toka angani mikoa yote Tanzania kama dar,mwanza, arusha mbeya, songwe,n.k na vitabu na video ya jinsi ya kutumia silaha. Ccm watapigika vibaya mno
Jesus rescue our country hatutafka huko!!
 
Maduro huko Caracas 1 haisomi wala 2 haisomi. Mabwana zake kina Putin, Xi na Ayatollah wote wameufyata wanaangalia tu USA anavyo mnyonga taratibu hadi atakapoenda kumkamata kama kuku.
Marekani kwani wameingia nchini kwake? Wameishia kutoa matamko
 
Marekani kwani wameingia nchini kwake? Wameishia kutoa matamko
Kumbe hujausoma mchezo. Unatiwa vichomi kwanza ulegee kama alivyofanyiwa Sadam kisha wanaingia kama wako sebuleni kwao kiulaini kabisa.

Unachelewa sana kuielewa game.
 
Venezuela naona kapewa siku kadhaa tu. Amesema Yes sir
Toka nchi hii ipate uhuru, haijawahi kutokea watu wake wakagawanyika kama ilivyo hivi sasa; mtu akitaka kuangusha hii serikali hivi leo itaanguka kama ubua kwasababu haiungwi mkono na majority of the population!!
 
Back
Top Bottom