Marekani na EU wakitaka kumuondoa Rais yeyote wa 'Third World Countries' hawashindwi

Marekani na EU wakitaka kumuondoa Rais yeyote wa 'Third World Countries' hawashindwi

Kama GenZ wa kibongo wakiamua kutengeneza kundi la waasi kama genz rebels anti-samia rebels anti-ccm rebels, genz freedom fighters, genz resistance movement, au MO29 Rebels, wakiomba msaada wa usa au eu watapewa silaha hata kwa ndege toka angani. Kama walivyofanya kwa Gaddafi. Na kwa bahati nzuri hawa vijana wengi sana wamepita JKT kwa hiyo wana ABC za kutumia silaha. CCM watapigika vibaya mno.
It sounds exciting, doesn't it? Hatutofika huko, the system will correct itself.
 
Credit kwa Pascal Mayalla

Marekani, US, na washarika wake, EU, kupitia mashirika yao ya kibeberu ikiwemo IMF, WB, US AID, CIA, NATO, etc, ndio nchi zinazoongoza kwa imperialism, wakiamua kiongozi fulani hawamtaki kwa maslahi yao, watamtafutia sababu, wakikosa, watamtungia uongo wa ukiukwaji wa haki za binadamu, mradi wapate justification ya kuingilia mambo ya ndani na kumuondoa.

Walimtoa Saadam Hussein kwa uongo wa kusaka WMD, kisha wakamtoa Ghadafi madarakani kwa kutaka kuwaunganisha Waafrika, na Mugabe wakamtoa kwa sababu ya ku over stay?, na tetesi with no facts JPM kwa kutetea rasilimali.

Haya mauaji ya halaiki hayawezi kuwa sababu? Wameshaanza, US kupitia ma senator wake wamesema uchaguzi haukuwa huru, bunge la Ulaya limesitisha misaada linakwenda kuweka vikwazo.

Nchi zetu hazina uhuru wa kujitawala. Tunatawaliwa na mabeberu. Angalia orodha ya uvamizi wa Marekani kwa visingizio vya demokrasia. Lengo halisi ni unyonyaji wa utajiri wetu​

Overthrowing other people’s governments: The Master List​

By William Blum

Instances of the United States overthrowing, or attempting to overthrow, a foreign government since the Second World War. (* indicates successful ouster of a government)

  • China 1949 to early 1960s
  • Albania 1949-53
  • East Germany 1950s
  • Iran 1953 *
  • Guatemala 1954 *
  • Costa Rica mid-1950s
  • Syria 1956-7
  • Egypt 1957
  • Indonesia 1957-8
  • British Guiana 1953-64 *
  • Iraq 1963 *
  • North Vietnam 1945-73
  • Cambodia 1955-70 *
  • Laos 1958 *, 1959 *, 1960 *
  • Ecuador 1960-63 *
  • Congo 1960 *
  • France 1965
  • Brazil 1962-64 *
  • Dominican Republic 1963 *
  • Cuba 1959 to present
  • Bolivia 1964 *
  • Indonesia 1965 *
  • Ghana 1966 *
  • Chile 1964-73 *
  • Greece 1967 *
  • Costa Rica 1970-71
  • Bolivia 1971 *
  • Australia 1973-75 *
  • Angola 1975, 1980s
  • Zaire 1975
  • Portugal 1974-76 *
  • Jamaica 1976-80 *
  • Seychelles 1979-81
  • Chad 1981-82 *
  • Grenada 1983 *
  • South Yemen 1982-84
  • Suriname 1982-84
  • Fiji 1987 *
  • Libya 1980s
  • Nicaragua 1981-90 *
  • Panama 1989 *
  • Bulgaria 1990 *
  • Albania 1991 *
  • Iraq 1991
  • Afghanistan 1980s *
  • Somalia 1993
  • Yugoslavia 1999-2000 *
  • Ecuador 2000 *
  • Afghanistan 2001 *
  • Venezuela 2002 *
  • Iraq 2003 *
  • Haiti 2004 *
  • Somalia 2007 to present
  • Honduras 2009 *
  • Libya 2011 *
  • Syria 2012
  • Ukraine 2014 *
 
Unasahau ili wakutoe laila wawe na interest, kama hawana interest hawana time na ww

Tz ina nini moaka US iache kupambana na super power wenzio ije imendeee tz?

Mauaji yaliyotokea hayatayumbishwa kwa excuse yoyote
Nimesema wakiamua hawashindwi au hujanielewa.
 
Vita zisizoisha unazoziona saaahv ni za mda mrefu sana, ni jamii inazaliwa inakolezwa imani inaishi uku uku, na kwa mda ule hawakua wanajua kuhusu internet, huezi kuta kikundi kipya kimeanzishwa kwa sababu watu wanaenda shule

Demokrasia ina mipaka, wewe haiwezekan umegoma kuingia kwenye uchaguzi alafu unalalamika umeibiwa, huo ni ujinga na pia watu wengi wanaojiita genz wanaadamana kwa kitu wasichokielewa, wameibeba hoja juu juu na wao waonekane hawapo nyuma, ila hawakua na reason yoyote ya kukutana na waliokutana nayo
Dah!
Pole mkuu!
Nimekushangaa kukusikia hadi leo ushabakia kukariri kuwa kuna mtu aligomea uchaguzi Tz hii, upo Tz unaishi au ni diaspora?

Maudhui ya NRNE ilikuwa ni kususia uchaguzi?

Enhe, uchaguzi ulifanyika, kura zilihesabiwa na walioahidi kulinda kura waliweza?

Tuwe wakweli na kweli humuweka mtu huru
.
Hayo mengine ya 'amani' sijui nini, ni kudra za Mungu na si nguvu za Serikali kama ulivyokaririshwa.

Tuombe uzima na Serikali ijivue maouvu irekebishe sera zake za utawala, vinginevyo mbele ni kiza totoro.
 
bashir yuko lupango looong time …
Al Bashir ana hati ya kukamatwa lkn bado hajakamatwa. Soma hii story yake.....
======!=====
Al Bashir.

Alifunguliwa mashitaka tarehe 4 Machi 2009 kwa makosa matano ya uhalifu dhidi ya binadamu na makosa mawili ya uhalifu wa kivita kuhusiana na hali ya Darfur, Sudan.

Mnamo tarehe 12 Julai 2010 alishtakiwa kwa makosa matatu ya mauaji ya kimbari.

Wakati wa mzozo wa Darfur (haswa kuanzia Aprili 2003 hadi 14 Julai 2008), al-Bashir, akiwa Rais wa Sudan, anatuhumiwa kutekeleza sera ya serikali iliyotumia vyombo vya dola (jeshi, polisi, usalama na vikosi vya Janjaweed) kushambulia vikundi vya Fur, Masalit, na Zaghawa ambavyo vilionekana kuasi.

Al-Bashir anatuhumiwa kuamuru ubakaji, mauaji, kuangamizwa, uhamisho wa nguvu, na mateso ya raia, pamoja na uporaji wa vijiji na kambi nyingi.

Mahakama imetoa hati mbili za kukamatwa kwa al-Bashir lakini kwa sasa hajakamatwa na anaishi kwa uwazi nchini Sudan.

Tangu waranti hiyo kutolewa, al-Bashir amesafiri katika nchi nyingine kadhaa na hajakamatwa. Miongoni mwa nchi alizosafiri ni pamoja na Chad, Djibouti, Kenya, Malawi, na Afrika Kusini ambazo ni nchi wanachama wa Mkataba wa Roma, na zilitakiwa kumkamata.
 
Hawawezi mtoa, marekani hua ni waongeaji wakubwa, silaha yao ni sanctions tu nje ya apo hakuna kingine
Sadam alitolewa kwa matamko, Afghanistan ilipigwa kwa matamko, Gaddafi je? Uwe unaongea kwa data sio kwa matamanio yako.
 
Jidanganye. Kwa sasa watanzania wana maumivu makubwa sana Mioyoni mwao. Anti-ccm rebels wakianza watapata wapiganaji wengi mno. Ndivyo ilivyotokea Libya. Nato na us walikuwa wanashusha matani na makontena ya silaha kwa ndege toka angani wananchi wanakuwa nazo wanajipanga kuwa rebels mpaka wakamtoa Gaddafi. Hakuna mtu yoyote duniani wa kumzuia USA au Nato au EU na wakichukua ndege zao zikaja Tanzania na wakiamua kushusha shehena ya silaha toka angani mikoa yote Tanzania kama dar,mwanza, arusha mbeya, songwe,n.k na vitabu na video ya jinsi ya kutumia silaha. Ccm watapigika vibaya mno
Father chukulia kwamba mimi nipo tiyari hata leo jioni
 
Kumbe hujausoma mchezo. Unatiwa vichome kwanza ulegee kama alivyofanyiwa Sadam kisha wanaingia kama wako sebuleni kwao kiulaini kabisa.

Unachelewa sana kuielewa game.
Mara nyingi huyu stakehigh anaongea kwa hisia zake zinakompeleka.
 
Ilikua zaman sio sasa, karne hii lazima uchague upande mfano wa wamarekani na genge lake ama upande wa china na genge lake
Na kwa upepo wa sasa unadhan ukichagua upande wa chin choo utapona?
 
Brother hii nchi ngumu kuingilika...kamuulize Kagame... TISS wapo imara Sana Kila idara wapo imara mno
Peleka porojo zako huko Kimbiji. TISS gani iko imara wakati imeshafanywa kama kikundi cha kigaidi na imejaa rushwa tele. Mkuu wake amesheheni magari ya kifahari nyumbani, fedha kapata wapi?
 
Brother hii nchi ngumu kuingilika...kamuulize Kagame... TISS wapo imara Sana Kila idara wa

Nailinganisha TISS na CIA na NSA ya Kagame. Sisi tupo imara sana
Uimara wa TISS sio kulinda serikali bali kulinda rasilimali za nchi kama masilahi ya bandari na kufanya ujasusi wa kiuchumi kama inavyofanya CIA hata NSA ya Kagame inavyopora madini huko Goma Congo.

TISS yetu fahari yake ni kuzunguruka na Cruza mitaani kuvaa suti na kutisha watu kwenye mabaa.
 
kwamba china wamekaa walinda nchi 🤣🤣, kumbe huna uelewa wa diplomasia
Kama Kiswahili kinakushinda utaweza kujua ishu za kimataifa?
Nchi ipi ya Africa ambayo inasaidiwa fedha za maendeleo bila kutegemea wazungu?
Usikurupuke Tu kama mbwa !!!
 
Back
Top Bottom