Marekani na Israel kuishambulia Iran punde

wanachofanya HAMAS na vikundi vingine mbona ni ukatili wa kuzidi IDF, sometimes kwa watu wao wenyewe
  • Hamas attacked a bus transporting some of its Palestinian workers, killing at least eight people.
  • ‘Strangling Necks’: Abduction, torture and summary killings of Palestinians by Hamas forces during the 2014 Gaza/Israel conflict highlights a series of abuses, such as the extrajudicial execution of at least 23 Palestinians and the arrest and torture of dozens of others, including members and supporters of Hamas’s political rivals, Fatah.
  • Hamas forces also abducted, tortured or attacked members and supporters of Fatah, their main rival political organization within Gaza, including former members of the Palestinian Authority security forces.
  • Gaza Humanitarian Foundation accused Hamas of killing at least five of its Palestinian employees on Wednesday, as almost 40 other Palestinians were killed near the foundation’s aid sites in the Gaza Strip.
wa palestina wanakuwa na amani zaidi kukamatwa na IDF kuliko kuwa na kesi na HAMAS
 
 
Kwahiyo wewe una akili ya vita kuliko MOSSAD na CIA?
Unatakiwa uwaze nje ya box.
Kwahiyo hao CIA na Mossad ni miungu hawakosei?
2006 IDF iliua top commanders wa Hizbollah, lakini IDF ilichezea kichapo pale Bint Jubeir hadi wakakimbia na wakaacha vifaru.
Sasa tujibu wewe,je kuuawa kwa makamanda wa Hizbollah kuliwasaidia nini Israel ilhali walipigwa!?
 
Wacha kuropoka wewe.
Hamas haijaanzishwa na Iran,Hamas iloanzishwa na hao hao Israel kwaajili ya kuipunguza nguvu PLO.
Pia Hamas kutetea ardhi yao wanakuwaje magaidi!?

Hizbollah haijaanzishwa na Iran,bali ilianzishwa kipindi Cha Beirut crisis 1959 ambapo Israel alichochea civil war ndani ya Lebanon.
Hizbollah kutetea Lebanon wanakuwaje magaidi!?

Houthi haikuanzishwa na Iran,bali ilikuja kuungana na Iran pale ilipotaka msaada wa kuondoa utawala wa Mansour ambaye ni mshirika wa Saudi Arabia na USA ilhali raia 99% wa Yemen hawamtaki.
Iran haikuwahi kuvamia taifa la mtu,ila Israel imewahi kuvamia mataifa kibao na kuanzisha migogoro katika hayo mataifa ikiwemo Syria na Lebanon.
Iran haikuwahi kutaka kumiliki nuclear,ila tangu 1995 Israel wanamuundia espionage Iran kumsingizia kuhusu nuclear.

Hivi ninyi mnatugeuza sisi watoto!?
Mnadhani hatusomi na hatufuatilii mambo!?
Kama USA asingekua anaiingilia masuala ya MIDDLE EAST basi kusingekuwa na vita.
Iraq ya Saddam Hussein walimzushia ana mabomu ya mass destruction,kumbe hana silaha za sumu zozote,wameenda wameua raia wasio na hatia na kuharibu nchi.
Libya wameiharibu hivyo hivyo, Gaddafi aliwakosea nini!??

Aisee tunasoma na tunafuatilia mambo muwache kudanganya watu.
Gaidi mkuu ni USA na Iran.
 
Unajua kama hii vita ikitokea anguko la USA litazidi kuonekana.
Hapa tayari USA ameshaanguka,kinachombeba ni rekodi za zamani tu ila USA wa sasa sio wa zamani.
Sasa ikatokea vita ikaanza aisee anguko la moja kwa moja linamjia USA na Israel itapata maafa magumu kurekebishika.
Maafa ya mwanzo hadi sasa hayajarekebishika bado huko Israel bado Kuna magofu hayajajengwa.
Iran ni taifa lenye kuvumilia vita za miaka.
Israel haina historia ya kuvumilia vita za muda mrefu.

Pia makombora ya Iran tayari yashaonesha udhaifu wa ADS za USA na Israel.
Sasa hivi Iran ikipiga itapiga kipigo cha mwana ukome.
Kwa upande wa silaha China naiamini kuliko hata Urusi.
China imekua na silaha za kushangaza.
Hakuna mtu angeamini j10C zinaweza kui outsmart Raffalle.
 
CRIMINALS NA TERRORISTS WANAPIGWA WHEREVER THEY ARE, unintended damages/harms ni collateral damage
mbona we unaona ni sawa HAMAS kuteka na kuua unarmed civilians i,e october attacks on civilans??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…