City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
"..Trump kathibitisha Israel kapigwa kipigo ambacho hajawahi kuona.."Chawa wa Netanyahu unatapatapa Trump alithibitisha Israel kapigwa kipigo ambacho yeye mwenyewe hajawahi kuona we myahudi wa kazuramimba ambae hujawahi kuskia hata sauti ya Ak 47 unasemaje hajapigwa?
Israel got hit really hard anasema Trump we myahudi wa kazuramimba unasema hajawahi kusema?"..Trump kathibitisha Israel kapigwa kipigo ambacho hajawahi kuona.."
Trump hajawahi kusema hayo uliyosema. Trump anachoweza kusema ni kuwa hii Vita imeleta athari kote, zipo sehemu Israel zimepigwa na missiles na kuharibiwa hasa majengo. Hivyo hivyo kwa Iran zipo sehemu zimeharibiwa kwa makombora
Kusema hujawahi kuona huo ni uongo, kombora likitua popote iwe ndani ya Iran au ndani ya Israel, basi lazima litaharibu hiyo sehemu
Pili, Trump huyuhuyu ambae alikua mara zote akisema amemsaidia kumuepusha ayatollah kutokufa kifo kibaya?
Mwisho, mm sio chawa but kuna vitu siwezi kukubaliana navyo sababu uhalisia upo wazi. Hata akitokea mtu akisema Israel kashinda bado sitakubali nina sababu za msingi kukataa hilo, hivyo hivyo kwa Iran
Mkuu ulichoandika mwanzo hakipo sawa na hiki. Rejea kusoma comment yangu hapo juuIsrael got hit really hard anasema Trump we myahudi wa kazuramimba unasema hajawahi kusema?
View: https://youtube.com/shorts/RQ3uyrOnNuI?si=FlU1O7VZOPFN3ZNK
Iran walinyooshwa na vizuri, Israel mpaka leo wanachezea sharubu za Ayatollah"..Trump kathibitisha Israel kapigwa kipigo ambacho hajawahi kuona.."
Trump hajawahi kusema hayo uliyosema. Trump anachoweza kusema ni kuwa hii Vita imeleta athari kote, zipo sehemu Israel zimepigwa na missiles na kuharibiwa hasa majengo. Hivyo hivyo kwa Iran zipo sehemu zimeharibiwa kwa makombora
Kusema hujawahi kuona huo ni uongo, kombora likitua popote iwe ndani ya Iran au ndani ya Israel, basi lazima litaharibu hiyo sehemu
Pili, Trump huyuhuyu ambae alikua mara zote akisema amemsaidia kumuepusha ayatollah kutokufa kifo kibaya?
Mwisho, mm sio chawa but kuna vitu siwezi kukubaliana navyo sababu uhalisia upo wazi. Hata akitokea mtu akisema Israel kashinda bado sitakubali nina sababu za msingi kukataa hilo, hivyo hivyo kwa Iran
Iran walinyooshwa na vizuri, Mossad mpaka leo wanachezea sharubu za Ayatollah
Hii Vita nimeifatilia kwa ukaribu mno karibu kila kinachotokea, siwezi kukubali uniongopee wakati najionea kinachoendelea.Iran walinyooshwa na vizuri, Israel mpaka leo wanachezea sharubu za Ayatollah
video trump kasema "Israel kachapika sana na makombora ya msafara marefu ya Iran yameharibu majengo mengi sana huko Israel"Mkuu ulichoandika mwanzo hakipo sawa na hiki. Rejea kusoma comment yangu hapo juu
Ulisema Trump kathibisha Israel kapigwa kipigo ambacho hajawahi kuona. Nilichokijibu ni kuwa trump hajawahi kusema hivyo, umeweka video ambayo ni kweli hajasema ulichosema.
Hawawezi zipeleka hizo B-2 itakuwa fedheha kwa USA . walizipeleka kipindi kile kwasababu AD system za Iran zilikuwa downLoh!! Hapo naona patachimbika kweli kweli nina uhakika hata B-2 Bomber lita kuwa swept from the sky like flies😁
Una matatizo weweMkuu ulichoandika mwanzo hakipo sawa na hiki. Rejea kusoma comment yangu hapo juu
Ulisema Trump kathibisha Israel kapigwa kipigo ambacho hajawahi kuona. Nilichokijibu ni kuwa trump hajawahi kusema hivyo, umeweka video ambayo ni kweli hajasema ulichosema.
Tulichoanza kubishana mwanzo na unachoendelea kusema Sasa hivi ni tofauti. Ungeandika hivi toka mwanzo pengine wala hata nisingebisha, sababu bila hata Trump kusema Mimi pia naamini hiko kimetokeavideo trump kasema "Israel kachapika sana na makombora ya msafara marefu ya Iran yameharibu majengo mengi sana huko Israel"
We Myahudi wa kazuramimba unasema Israel hajapigwa kati ya Trump na Padre wako anaekudanganya tumuamini nani?
Kwahiyo tunakubaliana Israel kachapika sana?Tulichoanza kubishana mwanzo na unachoendelea kusema Sasa hivi ni tofauti. Ungeandika hivi toka mwanzo pengine wala hata nisingebisha, sababu bila hata Trump kusema Mimi pia naamini hiko kimetokea
Hapana, nilipinga alichoandika mwanzo. Trump asingeweza kusema vile.Una matatizo wewe
Mkuu hiko kitu cha Israel kupigwa na makombora ya Iran nawezaje kukataa?? Huo ni ukweli makombora yamepiga IsraelKwahiyo tunakubaliana Israel kachapika sana?
Hata ukipigana na mtu ambae hajui ngumi lazima akuotee ngumi chacheMkuu hiko kitu cha Israel kupigwa na makombora ya Iran nawezaje kukataa?? Huo ni ukweli makombora yamepiga Israel
Hoja yangu ilikua ni nani kashinda. Sababu hata fighter jets za Israel zimepiga makombora Iran
Anaweza kukuotea ngumi chache ambazo zikakumaliza kabisaHata ukipigana na mtu ambae hajui ngumi lazima akuotee ngumi chache
mbona Mossad wanaishi Irana na kufuatilia any new evel development, mpaka mademu wa Mossad wanashika sharubu za AyatollahHii Vita nimeifatilia kwa ukaribu mno karibu kila kinachotokea, siwezi kukubali uniongopee wakati najionea kinachoendelea.
Israel hakushinda, Israel angeshinda basi hadi Leo angekua anapeleka ndege zake kupiga popote abapotaka Kama anavyofanya gaza au kusini mwa lebanon
Acha utotoHapana, nilipinga alichoandika mwanzo. Trump asingeweza kusema vile.
But huyu huyu Trump pia amesema kuhusu Iran kupigwa hardly, ikiwemo kuharibiwa kabisa kwa vinu vya nyuklia. Hapa sidhani kama utampinga
Hoja yangu ilikua ni hapo, hii vita kusema fulani kashinda ndio kitu nakataa. Sababu kombora likifanikiwa kupenya lazima madhara uyapate, hivyo hivyo pia fighter jets zikiingia kwenye anga lako na kushambulia lazima madhara uyapate
Pro Israel na Pro Iran nyie ni wagumu sana wa kuelewambona Mossad wanaishi Irana na kufuatilia any new evel development, mpaka mademu wa Mossad wanashika sharubu za Ayatollah
View: https://www.youtube.com/shorts/IwHk5I420sw?t=2&feature=share
Kama nilichozungumzia ni utoto, basi tukubaliane hakuna utu uzimaAcha utoto