let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
hata ikiwa umeuliza ni kwanini swali liwe bepari na sio matrix?.Nimekuuliza swali! Au hujaona alama ya kuuliza.
wazee wa cooked news..Wazee wa misifa
Unaweza nunua chakula hicho kwa mwenye kombora na bado akakudhurumu!!! maksudi tu! utafanyaje? lkn km unakombora kuliko yeye!! MWEE! atakupishilia kwa mbali........ na kukuongezea cha juu!!!North Korea hizo hela za Makombora wangewanunulia chakula raia wake.
Nidham ya oaga, wafungwa huru.Hahahahaha ila Raia wa Korea wana nidham na utulivu hadi raha
Endelea ku-assume sasa, ni haki yako.Kabisa mkuu.
Yaap kwa Stail yao walio jichagulia nchi nzima huwezi kuta Mapunga wala MashogaNidham ya oaga, wafungwa huru.
Hauoni unapoteza muda kukomenti kwenye Uzi WA masiraha? Pia ahsante Kwa hongera.Hivi huko kwenu kijinini watoto wanakaa kwenye madawati na wana vitendea kazi kama teaching aids za walimu?
Wenzio tunawaza Januari inakuja tuanze kuteseka wewe unawaza silaha za maangamizi? Hongera mtoto wa gate kali.
Yote yanayofanyika ni kwa faida ya Kim sio Raia......Raia hawafurahii life style Wanaishi.Yaap kwa Stail yao walio jichagulia nchi nzima huwezi kuta Mapunga wala Mashoga
Hukuti Vurugu wala kelele fujo ugomvi yaan una ishi kwa uhakika sanaaa
Maana wananchi ukiwapa sana uhuru wanakawaida ya kuuchezea na hata kuupotezaa
Tusipangiane maisha...Hauoni unapoteza muda kukomenti kwenye Uzi WA masiraha? Pia ahsante Kwa hongera.
Ama kwel Tanzania iliwai kuwa nchi ya pili kwa upelelezi dunianiIzo zote zimatengenezwa na Russia, wala sio North Korea
Uko juu kwa umahiri wa kutafsiri🙂Ndio
Mwamba wakorea uwezo mdogo wa kufikiri?Izo zote zimatengenezwa na Russia, wala sio North Korea
Wamezuwiliwa kupata habari toka duniani kupitia chombo chochote zaidi ya ya serikali,Wala movie za nje hawaruhusiwi kutazama,wahuni wachche wanazitazama kimagendo,kimsingi wapo gizani wakinyeshewa na propaganda za kimHawa jamaa kama ni kafara la mwenge limewakamata kwelikweli
We pambana na Mbowe kuwekwa ndani,wananchi wa Korea hawajawahi kuja kuimba Chakula geto kwako.
Mumeo Polepole naye kaolewa. CCM ina wenyewe acha kupoteza bando wewe kilaza.
Ni stimu nilizipata wkt nakupiga pumbury.Mbowe anausikaje au ndo bangi za kuvutia chooni?