wa kupuliza JF-Expert Member Joined Jun 15, 2012 Posts 15,216 Reaction score 37,757 Oct 21, 2021 #61 kipara20 said: acha kupoteza mda uyo jamaa ni moja kati ya watu wa hovyo kuwahi kutokea Jf Click to expand... Nashukuru Sana kwa kunijua vzr mke wangu,mumeo ndivyo nilivyo hivyo.
kipara20 said: acha kupoteza mda uyo jamaa ni moja kati ya watu wa hovyo kuwahi kutokea Jf Click to expand... Nashukuru Sana kwa kunijua vzr mke wangu,mumeo ndivyo nilivyo hivyo.
Amun Ra JF-Expert Member Joined Jul 30, 2021 Posts 4,713 Reaction score 7,218 Oct 21, 2021 #62 wa kupuliza said: Ni stimu nilizipata wkt nakupiga pumbury. Click to expand... Maneno yako tu yana akisi ni familia ya namna gani unayo tokea
wa kupuliza said: Ni stimu nilizipata wkt nakupiga pumbury. Click to expand... Maneno yako tu yana akisi ni familia ya namna gani unayo tokea
wa kupuliza JF-Expert Member Joined Jun 15, 2012 Posts 15,216 Reaction score 37,757 Oct 21, 2021 #63 kipara20 said: Maneno yako tu yana akisi ni familia ya namna gani unayo tokea Click to expand... Ndio familia ya wakwe zako hio mke wangu mzuri.utaendelea kuirekebisha polepole tu.
kipara20 said: Maneno yako tu yana akisi ni familia ya namna gani unayo tokea Click to expand... Ndio familia ya wakwe zako hio mke wangu mzuri.utaendelea kuirekebisha polepole tu.
Miki123 JF-Expert Member Joined Apr 27, 2018 Posts 289 Reaction score 503 Oct 21, 2021 Thread starter #64 Chief said: Uko juu kwa umahiri wa kutafsiri🙂 Click to expand... Nashukuru sana
Miki123 JF-Expert Member Joined Apr 27, 2018 Posts 289 Reaction score 503 Oct 21, 2021 Thread starter #65 Mamserenger said: Tusipangiane maisha... Kila mtu amechagua aina ya maisha yake Kila mtu apambane na hali yake Click to expand... Kabla ya kunikosoa, soma alichoandika maana yeye ndio aninapangia cha kufanya na cha kufikiri.
Mamserenger said: Tusipangiane maisha... Kila mtu amechagua aina ya maisha yake Kila mtu apambane na hali yake Click to expand... Kabla ya kunikosoa, soma alichoandika maana yeye ndio aninapangia cha kufanya na cha kufikiri.
Supu ya kokoto JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 4,194 Reaction score 7,602 Oct 21, 2021 #66 Baraka21 said: Unashangilia ujinga. Hao North Korea hizo hela za Makombora wangewanunulia chakula raia wake. Click to expand... Wamekwambia hawana chakula au ujuaji tu wa hapo kwenu?
Baraka21 said: Unashangilia ujinga. Hao North Korea hizo hela za Makombora wangewanunulia chakula raia wake. Click to expand... Wamekwambia hawana chakula au ujuaji tu wa hapo kwenu?
T Tangantika JF-Expert Member Joined Aug 12, 2018 Posts 5,586 Reaction score 7,087 Oct 23, 2021 #67 Bujibuji Simba Nyanaume said: Masikini nchi yangu, haina hata teknolojia yake yenyewe Click to expand... Majiko ya mkaa, makarai na makoroboi vipi?
Bujibuji Simba Nyanaume said: Masikini nchi yangu, haina hata teknolojia yake yenyewe Click to expand... Majiko ya mkaa, makarai na makoroboi vipi?