Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Tulia dawa ๐๐๐๐๐๐๐ ikuingie...Sijaelewa....Tumetoka kujipendekeza kwa Putin saivi tunajipendekeza kwa Kiduku...
Kwani Quran inasemaje?
Baada ya Kiduku kupitisha kombora hatari la balistiki Japan, lililokaa angani zaidi ya dakika 20 huku Japan ikishindwa hata kulidungua, South Korea + Marekani walijaribu nao kurusha kombora wakijitoa kimasomaso eti kujibu mashambulizi ya Kiduku. Ha ha haa...kombora likawafelia na kuwalipukia๐๐๐ ๐ ๐คฃ๐คฃ๐๐๐
Sasa Mtemi Kiduku leo kama haitoshi kawatumia kifurushi kingine cha nyongeza...kawatupia makombora mawili ya balistiki kwa mkupuo.๐คฃ๐คฃ๐๐
Marekani yaishia kulialia kwa Urusi na China.
======
View attachment 2378687
Habari za Kiduku(N.KOREA) ni kama zile za putin tuliaminishwa ni bonge la jitu,kumbe ni mgambo tu.Leo hii NATO wamuamulie hata wiki haiishi tayari anakuwa ametepeta.wanaona na hajawa tishio ki hivyo.
inasemaje kaka?Sijaelewa....Tumetoka kujipendekeza kwa Putin saivi tunajipendekeza kwa Kiduku...
Kwani Quran inasemaje?
Baada ya Kiduku kupitisha kombora hatari la balistiki Japan, lililokaa angani zaidi ya dakika 20 huku Japan ikishindwa hata kulidungua, South Korea + Marekani walijaribu nao kurusha kombora wakijitoa kimasomaso eti kujibu mashambulizi ya Kiduku. Ha ha haa...kombora likawafelia na kuwalipukia[emoji1][emoji1][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji56][emoji56][emoji56]
Sasa Mtemi Kiduku leo kama haitoshi kawatumia kifurushi kingine cha nyongeza...kawatupia makombora mawili ya balistiki kwa mkupuo.[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Marekani yaishia kulialia kwa Urusi na China.
======
View attachment 2378687
View attachment 2378689
Sijui, nlikuwa nataka kujua Hawa mashehe wenzangu wanatumia vifungu gani kuchagua maraisi wa kuwashabikia...Maana tulikuwa tunaambiwa msikitini tumshabikie Putin. Saiv naona wameanza kwa Kiduku wengine bado tupo 3Ginasemaje kaka?
wao lini watatushabikia!! Huu ni utumwa tuwaache wapambane na hali zao. Tuwe busy na kuzalisha mali na kutatua shida zetu.Sijui, nlikuwa nataka kujua Hawa mashehe wenzangu wanatumia vifungu gani kuchagua maraisi wa kuwashabikia...Maana tulikuwa tunaambiwa msikitini tumshabikie Putin. Saiv naona wameanza kwa Kiduku wengine bado tupo 3G
Beberu mkuu ajue wapo wababe wametulia tu wakimzoom na upuuzi wake wakimwaga uchafu wake hapo Ukraine ๐คธ๐คธ๐คธBaada ya Kiduku kupitisha kombora hatari la balistiki Japan, lililokaa angani zaidi ya dakika 20 huku Japan ikishindwa hata kulidungua, South Korea + Marekani walijaribu nao kurusha kombora wakijitoa kimasomaso eti kujibu mashambulizi ya Kiduku. Ha ha haa...kombora likawafelia na kuwalipukia๐๐๐ ๐ ๐คฃ๐คฃ๐๐๐
Sasa Mtemi Kiduku leo kama haitoshi kawatumia kifurushi kingine cha nyongeza...kawatupia makombora mawili ya balistiki kwa mkupuo.๐คฃ๐คฃ๐๐
Marekani yaishia kulialia kwa Urusi na China.
======
View attachment 2378687
View attachment 2378689
Kitabu cha waarabu kinahusiana vipi na kiduku? Au wewe ndo wale watumwa wa kiakili wa mwarabuSijaelewa....Tumetoka kujipendekeza kwa Putin saivi tunajipendekeza kwa Kiduku...
Kwani Quran inasemaje?
NdiooooooMambo ya Vita bhana Urusi alikua akifanya mazoezi ya pamoja mara live fire drills akiungana na China mara India leo anasaka suruhu yeye kupitia Wabunge wake..mazoezi ni tofauti na Vita Mura..
Ha ha ha ha haSijaelewa....Tumetoka kujipendekeza kwa Putin saivi tunajipendekeza kwa Kiduku...
Kwani Quran inasemaje?
Ha ha ha ha ha mnanichekesha saaana wakuuSijui, nlikuwa nataka kujua Hawa mashehe wenzangu wanatumia vifungu gani kuchagua maraisi wa kuwashabikia...Maana tulikuwa tunaambiwa msikitini tumshabikie Putin. Saiv naona wameanza kwa Kiduku wengine bado tupo 3G
Mara hii North Korea amekuwa mtemi wa US, sio Russia tena?Hawa ndio watemi wa Marekani...Kiduku kasindikiza makombora hayo ya nyongeza na ndegevita kumi na mbili zikinya mabomu.
View attachment 2378929
View attachment 2378930