Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Baada ya Kiduku kupitisha kombora hatari la balistiki Japan, lililokaa angani zaidi ya dakika 20 huku Japan ikishindwa hata kulidungua, South Korea + Marekani walijaribu nao kurusha kombora wakijitoa kimasomaso eti kujibu mashambulizi ya Kiduku. Ha ha haa...kombora likawafelia na kuwalipukia😄😄😅😅🤣🤣😇😇😇
Sasa Mtemi Kiduku leo kama haitoshi kawatumia kifurushi kingine cha nyongeza...kawatupia makombora mawili ya balistiki kwa mkupuo.🤣🤣😂😂
Marekani yaishia kulialia kwa Urusi na China.
======
Sasa Mtemi Kiduku leo kama haitoshi kawatumia kifurushi kingine cha nyongeza...kawatupia makombora mawili ya balistiki kwa mkupuo.🤣🤣😂😂
Marekani yaishia kulialia kwa Urusi na China.
======